Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Labda ndio sababu wanakuita mbishi. Umethibitishiwa tayari uwepo wa Mungu. Pangua hizo hoja kwa hoja badala ya kudai uthibitisho zaidi.
 
Ukishaleta hapa jukwaani kutuhubiria unakuwa umevuka mipka ya imani unless ufanye hivyo ukiwa kanisani.

Leta uthibitisho kuonesha huyo Mungu wako yupo.
 
Achana na AI hizi hazitakusaidia chochote

Thibitisha Mungu yupo
 
Kama Mungu anauwezo wote ilikuwaje akaawambia watu wake kuwa kuna wakifa kwa kujitoa muhanga kuua binadamu wengine atawapa mabikira 72.

Je Mungu na uwezo wake wote ilikuwaje akaona Ngono Ndio zawadi kubwa
 
Unapotaka kumfundisha mtu kuhusiana na kitu fulani asichokijua unapaswa kuanza na Tafsiri kwanza.

Huwezi ukaelezea maana ya "Mungu" kwa kutaja kazi ambazo unadai amezifanya. Je, Tusiomjua tutakua na uhakika gani kwamba kafanya kazi hizo?

Ngoja nikupe maana ya viumbe tofauti tofauti:

•Nyani ni kiumbe wa aina ya wanyama wa jamii ya sokwe wenye mwili uliofunikwa na manyoya na wenye sura inayofanana kwa kiasi na binadamu.

•Binadamu ni kiumbe wa jamii ya Homo sapiens, mwenye mwili wa kipekee, unaotofautiana na viumbe wengine, Anaongea na kutembea kwa miguu miwili, Anatumia akili kufanya maamuzi na sio hisia.

•Nzi ni mdudu mdogo mwenye mabawa mawili, ambaye ni sehemu ya familia ya diptera.

Hapo nimetafsiri maana ya hao viumbe kwa mtindo wa kuwaelewa jinsi walivyo, Sijatafsiri kwa mtindo wa kutaja kazi wanazozifanya.

Hivyo basi kwa kutumia mifano tajwa hapo juu, elezea maana ya Mungu, Je ni nini? au Ni nani?


Setfree
 
You have explained the works done by that God but we don't need that.

We need to understand the meaning of God first, and then what His/Her/It's origin is?

If we know what God's origin is, Then we'll accept those works were done by Him/Her/It.
Your comment raises profound questions about understanding God and His origin. However, the concept of God, as understood in many philosophical and theological traditions, is fundamentally different from created or contingent beings. Here's a breakdown:
  1. The Meaning of God: God is often defined as a necessary being—one who exists by necessity and is the ultimate source of all existence. Unlike contingent beings, which depend on external factors for their existence, God is self-existent, eternal, and uncaused.
  2. The Origin of God: By definition, God has no origin. An origin implies a beginning, which would make God contingent. If God required a cause, then that cause would be greater, leading to an infinite regress. To avoid this, God is understood as the uncaused cause or the ultimate foundation of all that exists.
  3. Why Understanding Origin is Challenging: The human mind is conditioned to think in terms of beginnings and causes within time and space—concepts that apply to the created universe. God, however, transcends these limitations. Asking for God’s origin assumes He operates within the same framework as created things, which is a category error.
  4. Accepting God's Works: The evidence of God’s works—such as the order in the universe, the existence of moral law, and the fine-tuning of nature—points to a source that matches the characteristics of God as defined: eternal, self-existent, and powerful. These works are not meant to prove a creator like us but to affirm a being unlike any other.
In summary, understanding the concept of God requires shifting from thinking of origins in the created sense to recognizing a being whose essence is existence itself. Without this shift, we risk misapplying the logic of contingent beings to a necessary one.
 
Huyo mwalimu alikuwa dhaifu sana wa hoja..

Watu wa Mungu mnapenda kumthibitisha Mungu kupitia gaps, you need to prove yuko physically
 
Kama Mungu anauwezo wote ilikuwaje akaawambia watu wake kuwa kuna wakifa kwa kujitoa muhanga kuua binadamu wengine atawapa mabikira 72.

Je Mungu na uwezo wake wote ilikuwaje akaona Ngono Ndio zawadi kubwa
Sijaona/sijasoma hoja hizo kwenye Biblia yangu!
 
Huyo mwalimu alikuwa dhaifu sana wa hoja..

Watu wa Mungu mnapenda kumthibitisha Mungu kupitia gaps, you need to prove yuko physically
Subiri. We are living in the end times. Siku ya hukumu utamuona Mungu physically akiwa ameketi kwenye kiti cha hukumu. Ila utakapomuona physically utakuwa umechelewa kumuamini. You better believe in Him now.
 
If God is a necessary being, why do we see a world that could potentially exist without God, such as a world where God does not exist?

Does the existence of God depend on the decision to create this world, or is God's existence necessary regardless of whether this world exists?
 
Huyo mwalimu alikuwa dhaifu sana wa hoja..

Watu wa Mungu mnapenda kumthibitisha Mungu kupitia gaps, you need to prove yuko physically
Kabla ya kuprove physically mambo ya Mungu na uungu wake unaanzia mentally pamoja na spiritually. Kama kiakili na kiroho hujamdhibitisha Mungu how can you prove His existence physically?.

PhD Mujwahuzi alikuwa imara kwa hoja yake.
Huwezi sema huyu sio mbuzi ina maana mbuzi unamjua ndio maana ukaweza kusema sio.

Kwahiyo ukisema Mungu hayupo huyo Mungu ni kinini?. Na ukisema Mungu yupo hicho kiilichopo ni kinini?.
 
Additional questions, Answer them clear.

If God has no origin, then how can't you claim that the world also has no origin?

The concept of cause and effect governs everything we know—if God has no cause, how can we justify the belief that God exists at all?

If everything else in existence requires a cause, why would God be the exception?
 
HUU NI UJINGA MTUPU.

MUNGU YUPO NA HATAKIWI KUTHIBITISHWA UWEPO WAKE BALI KUAMINIWA.

MAMBO YA MUNGU NI MAMBO YA KIIMANI SIO MAMBO YA KISAYANSI.

HUWA MNAPOTEZA MUDA SANA KUTAKA MUNGU ATHIBITISHIKE.

HATA UKISOMA VITABU VYA DINI,HAKUNA SEHEMU VIMETAKA MUNGU ATHIBITISHIKE BALI AAMINIKE UWEPO WAKE.

MSIMKOSEE MUNGU KUTAKA ATHIBITISHIKE KISAYANSI,KILA KITU KITAKATAA MAANA YEYE SIO WA HIVYO MNAVYOTAKA KUMUONYESHA.

MUNGU YUPO,HUAMINI ACHA,UNAAMINI UTAOKOLEWA NA KUONA HAKI ZAKE.
 
Your question touches on the nature of God’s existence and His relationship to the world. Here’s a response to address both parts of your question:
  1. Why do we see a world that could potentially exist without God? The idea that the world "could" potentially exist without God reflects the contingent nature of the created world, not the necessary existence of God. In other words, the world could have been different or might not have existed at all, but God, as a necessary being, exists regardless of whether this world exists or not. The fact that we see a world is due to God’s free will to create it, but that doesn’t mean God’s existence depends on it. God’s existence is independent of creation—He exists necessarily, meaning His existence is not contingent on the world or anything else.
  2. Does God’s existence depend on the decision to create this world? No, God’s existence is necessary and independent of His decision to create the world. God would still exist even if the world had never been created. His existence does not depend on any external decision or action. The world and everything in it are contingent, meaning their existence depends on God’s will to create them, but God Himself has always existed in an uncaused, eternal state. The act of creation is a reflection of God’s will, not a necessity for His existence.
In summary, God’s existence is necessary and unchanging, regardless of whether the world exists or not. The world, on the other hand, exists contingently—meaning it is dependent on God’s will to exist but does not affect God’s necessary being.
 
YOTE HAYA ULIYOANDIKA,WAKIJA WATU WAPUUZI WASIOTAKA IMANI,WATAKUPINGA KA HAKIKA WAFAKUSHINDA.

YAANI TU EINSTEIN EQUATION TAYARI IME-PROVE KUWA MUNGU YUPO?,HIVI UMEANDIKA NINI MKUU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…