stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Umeona hoja zako zinapoanzia.Kabla ya kuprove physically mambo ya Mungu na uungu wake unaanzia mentally pamoja na spiritually. Kama kiakili na kiroho hujamdhibitisha Mungu how can you prove His existence physically?.
PhD Mujwahuzi alikuwa imara kwa hoja yake.
Huwezi sema huyu sio mbuzi ina maana mbuzi unamjua ndio maana ukaweza kusema sio.
Kwahiyo ukisema Mungu hayupo huyo Mungu ni kinini?. Na ukisema Mungu yupo hicho kiilichopo ni kinini?.
Inaonekana kwamba huna maarifa sahihi kuhusu Mungu, na ndiyo maana unatumia chatGPT kujibu hoja zako.Your question touches on the nature of God’s existence and His relationship to the world. Here’s a response to address both parts of your question:
In summary, God’s existence is necessary and unchanging, regardless of whether the world exists or not. The world, on the other hand, exists contingently—meaning it is dependent on God’s will to exist but does not affect God’s necessary being.
- Why do we see a world that could potentially exist without God? The idea that the world "could" potentially exist without God reflects the contingent nature of the created world, not the necessary existence of God. In other words, the world could have been different or might not have existed at all, but God, as a necessary being, exists regardless of whether this world exists or not. The fact that we see a world is due to God’s free will to create it, but that doesn’t mean God’s existence depends on it. God’s existence is independent of creation—He exists necessarily, meaning His existence is not contingent on the world or anything else.
- Does God’s existence depend on the decision to create this world? No, God’s existence is necessary and independent of His decision to create the world. God would still exist even if the world had never been created. His existence does not depend on any external decision or action. The world and everything in it are contingent, meaning their existence depends on God’s will to create them, but God Himself has always existed in an uncaused, eternal state. The act of creation is a reflection of God’s will, not a necessity for His existence.
Umeona hata wewe uhakika wako kumthibitisha Mungu niSubiri. We are living in the end times. Siku ya hukumu utamuona Mungu physically akiwa ameketi kwenye kiti cha hukumu. Ila utakapomuona physically utakuwa umechelewa kumuamini. You better believe in Him now.
Asante kwa maoni yako. Hata hivyo, ningependa kusema hivi: Suala la uwepo wa Mungu linahitaji kutazamwa kwa kina na lina vipengele vingi.HUU NI UJINGA MTUPU.
MUNGU YUPO NA HATAKIWI KUTHIBITISHWA UWEPO WAKE BALI KUAMINIWA.
MAMBO YA MUNGU NI MAMBO YA KIIMANI SIO MAMBO YA KISAYANSI.
HUWA MNAPOTEZA MUDA SANA KUTAKA MUNGU ATHIBITISHIKE.
HATA UKISOMA VITABU VYA DINI,HAKUNA SEHEMU VIMETAKA MUNGU ATHIBITISHIKE BALI AAMINIKE UWEPO WAKE.
MSIMKOSEE MUNGU KUTAKA ATHIBITISHIKE KISAYANSI,KILA KITU KITAKATAA MAANA YEYE SIO WA HIVYO MNAVYOTAKA KUMUONYESHA.
MUNGU YUPO,HUAMINI ACHA,UNAAMINI UTAOKOLEWA NA KUONA HAKI ZAKE.
Kumbe inaonekana? Kwa taarifa yako namjua Mungu na nguvu zake. Nimemuona akinitendea mambo makubwa ya kupita kawaida. Muda hautoshi kuelezea yote aliyonitendea Mungu tangu nilipoanza kumuamini.Inaonekana kwamba huna maarifa sahihi kuhusu Mungu, na ndiyo maana unatumia chatGPT kujibu hoja zako.
Hii inatoa hisia kwamba hujafikiria kwa kina au kuuliza maswali ya msingi kuhusu dini yako kwa viongizi wako wa dini.
Ninashaka kuhusu uelewa wako wa kina kuhusu masuala haya, kwani inaonekana unatumia teknolojia kama chatGPT badala ya kutumia akili yako mwenyewe kufikiri na kufikia majibu.
Kwa jinsi unavyoshughulikia na kuelewa masuala haya kwa kiwango kidogo, naona kuwa ni vigumu kujadiliana nawe kwa sasa.
Inaonekana kama haujali kuuliza maswali ya msingi au kufanya uchunguzi wa kina kutoka kwa taasisi yako ya dini, Infact ni mkurupukaji.
Kwa hiyo, kwa sasa, sioni kuwa na manufaa yoyote kuendelea na majadiliano haya.
Ahsante!!
Soma Ufu 21:8 (SUV)Nipe andiko lisemalo. Watu watachomwa mwoto wasio waadilifu.
Najua kuna ufufuo kwa waadilifu tu.
Umechanganya mambo mengi, nashindwa nianzie wapi kukujibu.Ukishamaliza...relate hizo sababu kumi na kwamba mungu huyo ni myahudi aliyezaliwa miaka elfu mbili iliyopita palestina kwa bikira na akatenda miujiza na akafa akafufuka...na baadae atarudi na farasi mwenye mabawa.. na kuja kupeleka watu mawinguni na wengine motoni...
Maana DNA, Order in the universe, Sijui Nini hivyo ni evidence ya kwamba huna majibu...inabidi utoke hapo utuelezee jibu lake limekuwaje Yesu/Yahweh na sio Allah, Krishna, Zeus etc maana na wao wanaweza tumia hoja hizo hizo ambazo kwako hazina majibu kusema Mungu wao kafanya
Twende kazi
Mungu anazungumza na watu wote: Weupe, weusi, maji ya kunde nk. Mungu amesema nami si mara moja. Ameahidi kwamba tukimuita atasikia naye atatuonyesha mambo makubwa, magumu, tusiyoyajua. Soma YeremiaSo Mungu huyu alichagua kuzungumza na weupe tu!
Hawatokaa wapatane hata huyo Yesu na Muddy warudi, bora wachapane kisha niwapongeze kwa kitimoto choma wote 😹😹Uchochezi! Ungesema: "Mkifikia kuelewana na kuwa na imani moja mniite niwanunulie nyama choma!"
Yesu Mwana wa Mungu alikuja physically duniani, na kuwathibitishia wanadamu kwa ishara na miujiza kuwa Yeye na Baba ni wamoja, lakini bado watu walimkataa.Ila nachojua Mungu angekuwepo basi angejua kwa hakika ni uthibitisho upi ambao ungeni satisfy mimi kukubali uwepo wake.
Hujathibitisha, hapo umehubiri.Yesu Mwana wa Mungu alikuja physically duniani, na kuwathibitishia wanadamu kwa ishara na miujiza kuwa Yeye na Baba ni wamoja, lakini bado watu walimkataa.
Ndiyo, inaonekana tu kwamba unatumia chatGPT na sio akili zako kujibu hoja.Kumbe inaonekana?
Kama unamjua elezea "Mungu ni nani?" na "Katokea wapi?" Sio - blah! blah! blah.Kwa taarifa yako namjua Mungu na nguvu zake.Nimemuona akinitendea mambo makubwa ya kupita kawaida.
Ukiachana na muda tu, Hata mimi sihitaji unitolee maelezo ya kitu usichokua na Maarifa nacho, Inafikia hatua mpaka unatumia chatGPT.Muda hautoshi kuelezea yote aliyonitendea Mungu tangu nilipoanza kumuamini.
Imani ni "bayana," ni uhakika wa mambo yasiyoonekana. Sio tu kwamba ninaamini kuwa Mungu yupo bali nimethibitisha kuwa yupo. Hayo mambo 10 ni baadhi tu ya mambo mengi yanayothibitisha uwepo wa Mungu. Nakuongezea jambo jingine zaidi. Nilikopa mamilioni ya pesa benki. Siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni sikuwa na pesa ya kulipa deni. Nikamuomba Mungu aniwezeshe kulipa deni. Mungu akamuotesha ndoto mtu fulani tajiri na kumuambia anisaidie kulipa deni. Huyo mtu akaniambia kama asingeonyeshwa katika ndoto anisaidie, asingenisaidia. Akanipa pesa nikalipa deni lote! Maombi yangu Mungu aliyasikia, akatumia ndoto kumuotesha mtu anisaidie kulipa deni. Ushuhuda huo ukusaidie kujua Mungu yupo na anasikia tunapomuomba. Haleluya!mnalazimisha yawe ya uhakika wakati ni imani tu.
My friend, read the following Bible verse:The fact that an almighty God and all powerful God needs Humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.
If the theists all shut up, God would be speechless.
Poa.Kila siku najadili nawewe naona sina haja ya kujadili tena na wewe asante.
Huyo mtu ulikua unafahamiana naye au vp?Imani ni "bayana," ni uhakika wa mambo yasiyoonekana. Sio tu kwamba ninaamini kuwa Mungu yupo bali nimethibitisha kuwa yupo. Hayo mambo 10 ni baadhi tu ya mambo mengi yanayothibitisha uwepo wa Mungu. Nakuongezea jambo jingine zaidi. Nilikopa mamilioni ya pesa benki. Siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni sikuwa na pesa ya kulipa deni. Nikamuomba Mungu aniwezeshe kulipa deni. Mungu akamuotesha ndoto mtu fulani tajiri na kumuambia anisaidie kulipa deni. Huyo mtu akaniambia kama asingeonyeshwa katika ndoto anisaidie, asingenisaidia. Akanipa pesa nikalipa deni lote! Maombi yangu Mungu aliyasikia, akatumia ndoto kumuotesha mtu anisaidie kulipa deni. Ushuhuda huo ukusaidie kujua Mungu yupo na anasikia tunapomuomba. Haleluya!