Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Kabla ya kuprove physically mambo ya Mungu na uungu wake unaanzia mentally pamoja na spiritually. Kama kiakili na kiroho hujamdhibitisha Mungu how can you prove His existence physically?.

PhD Mujwahuzi alikuwa imara kwa hoja yake.
Huwezi sema huyu sio mbuzi ina maana mbuzi unamjua ndio maana ukaweza kusema sio.

Kwahiyo ukisema Mungu hayupo huyo Mungu ni kinini?. Na ukisema Mungu yupo hicho kiilichopo ni kinini?.
Umeona hoja zako zinapoanzia.

Umeweka Sharti "lazima aumini Mungu yuko Kiroho".

Mungu ni illusion/kiini macho
 
Your question touches on the nature of God’s existence and His relationship to the world. Here’s a response to address both parts of your question:
  1. Why do we see a world that could potentially exist without God? The idea that the world "could" potentially exist without God reflects the contingent nature of the created world, not the necessary existence of God. In other words, the world could have been different or might not have existed at all, but God, as a necessary being, exists regardless of whether this world exists or not. The fact that we see a world is due to God’s free will to create it, but that doesn’t mean God’s existence depends on it. God’s existence is independent of creation—He exists necessarily, meaning His existence is not contingent on the world or anything else.
  2. Does God’s existence depend on the decision to create this world? No, God’s existence is necessary and independent of His decision to create the world. God would still exist even if the world had never been created. His existence does not depend on any external decision or action. The world and everything in it are contingent, meaning their existence depends on God’s will to create them, but God Himself has always existed in an uncaused, eternal state. The act of creation is a reflection of God’s will, not a necessity for His existence.
In summary, God’s existence is necessary and unchanging, regardless of whether the world exists or not. The world, on the other hand, exists contingently—meaning it is dependent on God’s will to exist but does not affect God’s necessary being.
Inaonekana kwamba huna maarifa sahihi kuhusu Mungu, na ndiyo maana unatumia chatGPT kujibu hoja zako.

Hii inatoa hisia kwamba hujafikiria kwa kina au kuuliza maswali ya msingi kuhusu dini yako kwa viongizi wako wa dini.

Ninashaka kuhusu uelewa wako wa kina kuhusu masuala haya, kwani inaonekana unatumia teknolojia kama chatGPT badala ya kutumia akili yako mwenyewe kufikiri na kufikia majibu.

Kwa jinsi unavyoshughulikia na kuelewa masuala haya kwa kiwango kidogo, naona kuwa ni vigumu kujadiliana nawe kwa sasa.

Inaonekana kama haujali kuuliza maswali ya msingi au kufanya uchunguzi wa kina kutoka kwa taasisi yako ya dini, Infact ni mkurupukaji.

Kwa hiyo, kwa sasa, sioni kuwa na manufaa yoyote kuendelea na majadiliano haya.

Ahsante!!
 
Subiri. We are living in the end times. Siku ya hukumu utamuona Mungu physically akiwa ameketi kwenye kiti cha hukumu. Ila utakapomuona physically utakuwa umechelewa kumuamini. You better believe in Him now.
Umeona hata wewe uhakika wako kumthibitisha Mungu ni
1. Siku ya Mwisho 😄😄, ambayo yeye tu anaijua so one here Leo na kesho ata prove uwepo wake
2. Watu wakifa, no one amewahi kwenda mbinguni akarudi akatangaza zaidi ya wale vichaa akina Zumaridi
 
HUU NI UJINGA MTUPU.

MUNGU YUPO NA HATAKIWI KUTHIBITISHWA UWEPO WAKE BALI KUAMINIWA.

MAMBO YA MUNGU NI MAMBO YA KIIMANI SIO MAMBO YA KISAYANSI.

HUWA MNAPOTEZA MUDA SANA KUTAKA MUNGU ATHIBITISHIKE.

HATA UKISOMA VITABU VYA DINI,HAKUNA SEHEMU VIMETAKA MUNGU ATHIBITISHIKE BALI AAMINIKE UWEPO WAKE.

MSIMKOSEE MUNGU KUTAKA ATHIBITISHIKE KISAYANSI,KILA KITU KITAKATAA MAANA YEYE SIO WA HIVYO MNAVYOTAKA KUMUONYESHA.

MUNGU YUPO,HUAMINI ACHA,UNAAMINI UTAOKOLEWA NA KUONA HAKI ZAKE.
Asante kwa maoni yako. Hata hivyo, ningependa kusema hivi: Suala la uwepo wa Mungu linahitaji kutazamwa kwa kina na lina vipengele vingi.
  1. Imani na Ushahidi: Ingawa ni kweli kwamba uwepo wa Mungu ni jambo la imani, watu wengi hujifunza imani kwa kutumia sababu na ushahidi. Katika dini nyingi, imani katika Mungu haionekani kama mtu kipofu, bali ni kitu kinachoweza kuungwa mkono na hoja za kifalsafa, uzoefu wa kibinafsi, na ulimwengu wa asili. Kwa mfano, Hoja ya Kosmolojia au Hoja ya Teleolojia hutoa udhibitisho wa kimantiki unaokamilisha imani.
  2. Sayansi na Imani: Ni kweli kwamba kuwepo kwa Mungu ni jambo la imani, siyo jambo linaloweza kuthibitishwa kisayansi kwa njia ile ile ambavyo mambo ya kimwili yanathibitishwa. Hata hivyo, hili halimaanishi kuwa sayansi na dini ni vitu vinavyokinzana. Sayansi inasema vipi ulimwengu unavyofanya kazi, wakati imani inashughulikia kwa nini. Kuna wanasayansi na wafalsafa wengi wanaoamini kuwa kuwepo kwa Muumbaji kunaendana kabisa na uelewa wa kisayansi.
  3. Haja ya Kuthibitisha Kuwepo kwa Mungu: Haja ya "kuthibitisha" kuwepo kwa Mungu mara nyingi hutokana na hitaji la binadamu la kutaka kupata uhakika, au ufafanuzi. Watu wengi wanataka kuona ushahidi halisi wa imani zao, hasa katika ulimwengu ambapo ushahidi wa kimwili mara nyingi unachukuliwa kuwa na uzito zaidi. Hata hivyo, kama ulivyosema, njia za Mungu mara nyingi ni zaidi ya uwezo wa kuelewa wa wanadamu, na hakuna ushahidi wa dunia unaweza kumuelezea kikamilifu.
  4. Siri ya Mungu: Mwishowe, ni muhimu kukumbuka kwamba asili ya Mungu ni ya siri. Jaribio la kuelezea au "kuthibitisha" Mungu kwa maneno ya kibinadamu linaweza kuwa na mipaka kwa sababu Yeye sio "mfungwa" wa vikwazo vya kibinadamu. Hapa ndipo imani na kuamini vinapojitokeza—kuamini katika Mungu Mkuu kuliko sisi, ingawa hatuwezi kumuelezea kikamilifu.
 
Inaonekana kwamba huna maarifa sahihi kuhusu Mungu, na ndiyo maana unatumia chatGPT kujibu hoja zako.

Hii inatoa hisia kwamba hujafikiria kwa kina au kuuliza maswali ya msingi kuhusu dini yako kwa viongizi wako wa dini.

Ninashaka kuhusu uelewa wako wa kina kuhusu masuala haya, kwani inaonekana unatumia teknolojia kama chatGPT badala ya kutumia akili yako mwenyewe kufikiri na kufikia majibu.

Kwa jinsi unavyoshughulikia na kuelewa masuala haya kwa kiwango kidogo, naona kuwa ni vigumu kujadiliana nawe kwa sasa.

Inaonekana kama haujali kuuliza maswali ya msingi au kufanya uchunguzi wa kina kutoka kwa taasisi yako ya dini, Infact ni mkurupukaji.

Kwa hiyo, kwa sasa, sioni kuwa na manufaa yoyote kuendelea na majadiliano haya.

Ahsante!!
Kumbe inaonekana? Kwa taarifa yako namjua Mungu na nguvu zake. Nimemuona akinitendea mambo makubwa ya kupita kawaida. Muda hautoshi kuelezea yote aliyonitendea Mungu tangu nilipoanza kumuamini.
 
Nipe andiko lisemalo. Watu watachomwa mwoto wasio waadilifu.

Najua kuna ufufuo kwa waadilifu tu.
Soma Ufu 21:8 (SUV)
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Ukishamaliza...relate hizo sababu kumi na kwamba mungu huyo ni myahudi aliyezaliwa miaka elfu mbili iliyopita palestina kwa bikira na akatenda miujiza na akafa akafufuka...na baadae atarudi na farasi mwenye mabawa.. na kuja kupeleka watu mawinguni na wengine motoni...

Maana DNA, Order in the universe, Sijui Nini hivyo ni evidence ya kwamba huna majibu...inabidi utoke hapo utuelezee jibu lake limekuwaje Yesu/Yahweh na sio Allah, Krishna, Zeus etc maana na wao wanaweza tumia hoja hizo hizo ambazo kwako hazina majibu kusema Mungu wao kafanya

Twende kazi
Umechanganya mambo mengi, nashindwa nianzie wapi kukujibu.
 
So Mungu huyu alichagua kuzungumza na weupe tu!
Mungu anazungumza na watu wote: Weupe, weusi, maji ya kunde nk. Mungu amesema nami si mara moja. Ameahidi kwamba tukimuita atasikia naye atatuonyesha mambo makubwa, magumu, tusiyoyajua. Soma Yeremia
 
Uchochezi! Ungesema: "Mkifikia kuelewana na kuwa na imani moja mniite niwanunulie nyama choma!"
Hawatokaa wapatane hata huyo Yesu na Muddy warudi, bora wachapane kisha niwapongeze kwa kitimoto choma wote 😹😹
 
Ila nachojua Mungu angekuwepo basi angejua kwa hakika ni uthibitisho upi ambao ungeni satisfy mimi kukubali uwepo wake.
Yesu Mwana wa Mungu alikuja physically duniani, na kuwathibitishia wanadamu kwa ishara na miujiza kuwa Yeye na Baba ni wamoja, lakini bado watu walimkataa.
 
Yesu Mwana wa Mungu alikuja physically duniani, na kuwathibitishia wanadamu kwa ishara na miujiza kuwa Yeye na Baba ni wamoja, lakini bado watu walimkataa.
Hujathibitisha, hapo umehubiri.

Mimi nataka ulete uthibitisho sio mahubiri.
 
Kumbe inaonekana?
Ndiyo, inaonekana tu kwamba unatumia chatGPT na sio akili zako kujibu hoja.
Kwa taarifa yako namjua Mungu na nguvu zake.Nimemuona akinitendea mambo makubwa ya kupita kawaida.
Kama unamjua elezea "Mungu ni nani?" na "Katokea wapi?" Sio - blah! blah! blah.
Muda hautoshi kuelezea yote aliyonitendea Mungu tangu nilipoanza kumuamini.
Ukiachana na muda tu, Hata mimi sihitaji unitolee maelezo ya kitu usichokua na Maarifa nacho, Inafikia hatua mpaka unatumia chatGPT.

Infact, umeshindwa kuelezea maana ya Mungu hivyo bhasi kama hujui maana yake moja kwa moja pia huna uhakika kama yupo.

Setfree
 
mnalazimisha yawe ya uhakika wakati ni imani tu.
Imani ni "bayana," ni uhakika wa mambo yasiyoonekana. Sio tu kwamba ninaamini kuwa Mungu yupo bali nimethibitisha kuwa yupo. Hayo mambo 10 ni baadhi tu ya mambo mengi yanayothibitisha uwepo wa Mungu. Nakuongezea jambo jingine zaidi. Nilikopa mamilioni ya pesa benki. Siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni sikuwa na pesa ya kulipa deni. Nikamuomba Mungu aniwezeshe kulipa deni. Mungu akamuotesha ndoto mtu fulani tajiri na kumuambia anisaidie kulipa deni. Huyo mtu akaniambia kama asingeonyeshwa katika ndoto anisaidie, asingenisaidia. Akanipa pesa nikalipa deni lote! Maombi yangu Mungu aliyasikia, akatumia ndoto kumuotesha mtu anisaidie kulipa deni. Ushuhuda huo ukusaidie kujua Mungu yupo na anasikia tunapomuomba. Haleluya!
 
The fact that an almighty God and all powerful God needs Humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.

If the theists all shut up, God would be speechless.
My friend, read the following Bible verse:
Psalm 19:1-4 (NIV)
"The heavens declare the glory of God; the skies proclaim the work of his hands. Day after day they pour forth speech; night after night they reveal knowledge. They have no speech, they use no words; no sound is heard from them. Yet their voice goes out into all the earth, their words to the ends of the world."

This verse highlights that God’s existence and glory are proclaimed not only through human speech but also through creation itself. The natural world speaks of God's power and majesty, even without words. Therefore, God's existence is not dependent on human defense or speech—His presence is revealed through all that He has made.
 
Imani ni "bayana," ni uhakika wa mambo yasiyoonekana. Sio tu kwamba ninaamini kuwa Mungu yupo bali nimethibitisha kuwa yupo. Hayo mambo 10 ni baadhi tu ya mambo mengi yanayothibitisha uwepo wa Mungu. Nakuongezea jambo jingine zaidi. Nilikopa mamilioni ya pesa benki. Siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni sikuwa na pesa ya kulipa deni. Nikamuomba Mungu aniwezeshe kulipa deni. Mungu akamuotesha ndoto mtu fulani tajiri na kumuambia anisaidie kulipa deni. Huyo mtu akaniambia kama asingeonyeshwa katika ndoto anisaidie, asingenisaidia. Akanipa pesa nikalipa deni lote! Maombi yangu Mungu aliyasikia, akatumia ndoto kumuotesha mtu anisaidie kulipa deni. Ushuhuda huo ukusaidie kujua Mungu yupo na anasikia tunapomuomba. Haleluya!
Huyo mtu ulikua unafahamiana naye au vp?
 
Back
Top Bottom