Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mungu anazungumza na watu wote: Weupe, weusi, maji ya kunde nk. Mungu amesema nami si mara moja. Ameahidi kwamba tukimuita atasikia naye atatuonyesha mambo makubwa, magumu, tusiyoyajua. Soma Yeremia
Yeremia?
 
Nimeongeza points mbili za uthibitisho. I presume umezisoma na kuzielewa.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.
 
"Kanyaga polepole" mwanangu, huo ulimi usije ukakuponza! Mungu ameweka rekodi ya hayo uliyoyaandika!
 
Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ina ukweli?
Imani yangu ni ya kweli kwa sababu nilikuwa kipofu lakini sasa ninaona! Kama nyie hamumuamini aliyenifanya niweze kuona, ni juu yenu. Mimi ninajua nilikuwa kipofu na Mungu ameniwezesha kuona tena. Haleluya!
 
Biblia ni madai sio ushahidi.
Ndio, Biblia sio ushahidi ila ina ushahidi. Nenda Israeli kamuombe Mheshimiwa Netanyahu akuonyeshe baadhi ya mambo yaliyoandikwa katika Biblia, yaliyotendeka wakati Yesu alipokuwa duniani.
 

Ujinga.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa .
 
Safi Sana.
 
Uthibitisho ukikosekana ni kwamba kitu hakipo.
Statement yako inaonyesha uvivu wa kufikiri au labda kuna tatizo la akili,...

Absence of evidence is not evidence of absence.
mifano michache;

  • Presumption of Innocence: In law, the absence of evidence against a defendant does not automatically prove innocence; it only indicates a lack of sufficient proof for guilt.

Philosophical Perspective

  • Epistemological Limits: Human knowledge and understanding are inherently limited. Absence of evidence often reflects these limits rather than a definitive absence of the phenomenon.

Scientific Context

  • Exploration and Discovery: Many scientific discoveries were made after periods of no evidence. For instance:
    • The existence of microorganisms was unknown until the invention of the microscope.
 
1. Unathibitishaje kwamba mungu aliongea na watu na akawaambia Cha kuandika?
2. Kwanini watu wengi wanaclaim Mungu aliongea nao lakini maandiko yao hayafanani na yanapingana . je Mungu alikuwa anawaambia watu mbalimbali mambo yanayopingana?
3. Kwanini mungu hakuongea na mtu yeyote kutoka Afrika ili tupate neno lake? Kwanini awaambie wazungu na waarabu ndiyo wake kutuambia? Je mungu anatuchukulia poa?
 
Msomi mzuri Ni yule mwenye conclusion nzuri juu ya kipi Cha kuamini baada yakutafakari kwa kina kuhusu Nani muanzilishi wa maisha.

Uwezo wa Mungu kwa bahati nzuri, hata asiye na elimu hutambua vizuri tu.
Nilidhani eti ukiwa msomi ndipo utatambua kirahisi uwepo wa Mungu kumbe mambo Ni tofauti kwa sababu, hata kwa wale wapingaji wa Mungu imani yao vilevile huja kwa kusikia. Waatasikiliza huko hata ule utambuzi na utafakari utakwisha kabisa na kubaki Kama mambumbumbu.

Mtu yeyote anaweza kumuamini Mungu kwa kuchunguza hata jani tu la mti likamtosha kabisa kuamini.
 
Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza , ukimaliza uthibitishe ni Mungu yupi wa ukweli kati ya hawa 10000 kwa sababu wote wapo tofauti kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…