Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeremia?Mungu anazungumza na watu wote: Weupe, weusi, maji ya kunde nk. Mungu amesema nami si mara moja. Ameahidi kwamba tukimuita atasikia naye atatuonyesha mambo makubwa, magumu, tusiyoyajua. Soma Yeremia
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.Nimeongeza points mbili za uthibitisho. I presume umezisoma na kuzielewa.
"Kanyaga polepole" mwanangu, huo ulimi usije ukakuponza! Mungu ameweka rekodi ya hayo uliyoyaandika!Mnahangaika sana kumwelezea, kumtetea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe, Yeye kama yeye kwamba yupo.
Ni ninyi tu mnahangaika kufosi aonekane yupo, Kumbe hayupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea uwepo wake.
Imani yangu ni ya kweli kwa sababu nilikuwa kipofu lakini sasa ninaona! Kama nyie hamumuamini aliyenifanya niweze kuona, ni juu yenu. Mimi ninajua nilikuwa kipofu na Mungu ameniwezesha kuona tena. Haleluya!Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ina ukweli?
Eti mtu anataka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo!!
Hivi hii inawezekana vipi?
Uthibitisho ukisha kuwepo ni kwamba kitu kipo.
Uthibitisho ukikosekana ni kwamba kitu hakipo.
Tatizo la hawa watu wanakaza mafuvu yao, Na wanataka ubishi usio na tija.
Wanataka tu, kutetea imani zao uchwara za kidini zisizo na logic wala reasoning.
Ujinga.Imani ni "bayana," ni uhakika wa mambo yasiyoonekana. Sio tu kwamba ninaamini kuwa Mungu yupo bali nimethibitisha kuwa yupo. Hayo mambo 10 ni baadhi tu ya mambo mengi yanayothibitisha uwepo wa Mungu. Nakuongezea jambo jingine zaidi. Nilikopa mamilioni ya pesa benki. Siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni sikuwa na pesa ya kulipa deni. Nikamuomba Mungu aniwezeshe kulipa deni. Mungu akamuotesha ndoto mtu fulani tajiri na kumuambia anisaidie kulipa deni. Huyo mtu akaniambia kama asingeonyeshwa katika ndoto anisaidie, asingenisaidia. Akanipa pesa nikalipa deni lote! Maombi yangu Mungu aliyasikia, akatumia ndoto kumuotesha mtu anisaidie kulipa deni. Ushuhuda huo ukusaidie kujua Mungu yupo na anasikia tunapomuomba. Haleluya!
Wewe bado mtoto kojoa ukalaleLabda ndio sababu wanakuita mbishi. Umethibitishiwa tayari uwepo wa Mungu. Pangua hizo hoja kwa hoja badala ya kudai uthibitisho zaidi.
Maneno matupu hayavunji mfupa .Kuna ndugu yangu alikuwa anaishi kijijini anaumwa VVU Yan UKIMWI na anatumia vidonge zaidi ya mwaka na alikuwa na hofu ya Mungu sanaa siku Moja alipo pita nyumban kwenda kuchukua dawa kama kawaida usiku tulimuomba Mungu .na asubuh aliomba sana.. alipo enda hospital akapima hakakutwa Hana kabisa virus vya UKIMWI..ashukuliwe Bwana Yesu ndie alimponya ...
Soma ulichoandika halafu rudia nilichokiandika mimi.Umelazimishwa kuamini kvp yani?
Mnaposema hamtaki kuamini mnataka kujua mna maana gani?
bado hazielewekiMimi kama mimi, nimeishatoa uthibitisho wa aina mbili kuhusu uwepo wa Mungu. Soma replies zangu zote, please!
naunga mkono hojaWewe bado mtoto kojoa ukalale
Safi Sana.Wale wasioamini kwamba Mungu yupo, someni kwa makini sababu hizi 10 zinazothibitisha uwepo wa Mungu. Asiyeelewa lugha iliyotumika atumie google translator, itampa tafsiri ya Kiswahili:
1. Orderly Laws of Nature
Science reveals that the universe operates under unchanging natural laws, such as gravity, planetary motion, and the speed of light. This order suggests the presence of a supreme Designer(God) who established and sustains these principles.
Scientific Example: Einstein's equation, E=mc², demonstrates the precise balance between energy and matter, pointing to an intelligently structured universe.
2. Fine-tuning of the Universe
Fundamental constants like gravitational force, the mass of electrons, and the expansion rate of the universe are finely calibrated to support life. Such precision implies an intelligent Creator(God).
Scientific Example: The "Anthropic Principle" highlights that slight changes in these constants would make life impossible.
3. Origin of Life
Life depends on DNA, a highly complex system containing detailed genetic instructions. The existence of such intricate "code" raises the question of who or what authored it - God.
Scientific Example: DNA stores billions of instructions in a microscopic structure, functioning like sophisticated software.
4. Human Consciousness
Human abilities like reasoning, dreaming, and moral awareness transcend physical processes, suggesting a higher source of intellect and soul - God.
Scientific Example: Science has yet to explain how biological impulses alone could produce self-awareness.
5. Moral Laws
Universal moral values shared across cultures reflect an inherent sense of right and wrong, hinting at a moral Lawgiver(God).
Scientific Example: The consistency of moral principles across societies, regardless of cultural differences, supports the argument for a universal source.
6. Fossil Records
The fossil record shows a progression of life forms in a way that suggests a purposeful plan rather than random evolution.
Scientific Example: The absence of transitional "missing links" in the evolutionary chain supports the concept of creation.
7. Origin of the Universe
The Big Bang theory indicates that the universe had a beginning, prompting the question: What or who caused it? God. Scientific Example: The law of cause and effect states that everything with a beginning must have a cause.
8. Beauty and Order in Nature
The natural world displays remarkable beauty and order, from ecosystems to galaxies, suggesting intentional design. Who designed? God.
Scientific Example: Photosynthesis is a highly complex and efficient process vital for life, reflecting intelligent planning.
9. Complexity of the Human Brain
The human brain is one of the most intricate systems known, capable of reasoning, creativity, and problem-solving at an unparalleled level. Who created it? God.
Scientific Example: The brain’s trillions of neurons enable advanced functions such as learning and memory.
10. Personal Experiences
Millions of people testify to spiritual experiences that affirm the existence of God. I am one of them. While not strictly scientific, such testimonies are impactful due to their transformative effects on individuals. I was under the bondage of sin, but now I am set free!
Scientific Example: Studies on prayer and faith have shown positive effects on mental and physical health.
Kama kuna mtu bado tu anahitaji uthibitisho zaidi ya huo, asubiri siku ya hukumu ambapo kila goti litapigwa mbele za Mungu. Ila wakati huo itakuwa "too late" kuamini kwamba Mungu yupo.
Wasioamini watatupwa katika moto wa milele. Wanaoamini wataingia mbinguni katika raha ya milele.
Tusikubali shetani atupotoshe. Yeye anajua Mungu yupo na anajua mbingu ipo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni ndio sababu anajaribu kutushawishi tusiamini ili tuangamie pamoja naye. Tumpinge kwa Jina la Yesu.
Statement yako inaonyesha uvivu wa kufikiri au labda kuna tatizo la akili,...Uthibitisho ukikosekana ni kwamba kitu hakipo.
1. Unathibitishaje kwamba mungu aliongea na watu na akawaambia Cha kuandika?Mkuu, Biblia ni kitabu kilichojaa ufunuo wa Mungu kwa wanadamu, na siyo uongo wala uzushi. Ni kweli Mungu aliongea na watu na akawatumia manabii na mitume kutoa ujumbe wake. Huu siyo uongo.
Soma 2 Timotheo 3:16 utagundua kuwa Maandiko yana pumzi ya Mungu.
Mtu anayempenda Mungu, anaelewa uongozi wa Roho Mtakatifu. Mtu anapokuwa na uhusiano wa karibu na Mungu kwa njia ya maombi na Neno la Mungu, anakuwa na uwezo wa kutambua sauti ya Roho Mtakatifu. Katika Yohana 14:26 imeandikwa hivi:
"Lakini huyo Msaidizi, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, yeye atawafundisha mambo yote na kuwaonyesha vitu vyote."
Haka hakajui hata anachokisema yeye mwenyewe, kusumbuka kumweleza mtu wa hivi ni kupoteza mda tu.naunga mkono hoja
Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza , ukimaliza uthibitishe ni Mungu yupi wa ukweli kati ya hawa 10000 kwa sababu wote wapo tofauti kitabia.Msomi mzuri Ni yule mwenye conclusion nzuri juu ya kipi Cha kuamini baada yakutafakari kwa kina kuhusu Nani muanzilishi wa maisha.
Uwezo wa Mungu kwa bahati nzuri, hata asiye na elimu hutambua vizuri tu.
Nilidhani eti ukiwa msomi ndipo utatambua kirahisi uwepo wa Mungu kumbe mambo Ni tofauti kwa sababu, hata kwa wale wapingaji wa Mungu imani yao vilevile huja kwa kusikia. Waatasikiliza huko hata ule utambuzi na utafakari utakwisha kabisa na kubaki Kama mambumbumbu.
Mtu yeyote anaweza kumuamini Mungu kwa kuchunguza hata jani tu la mti likamtosha kabisa kuamini.