iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
All The TimeGod is good[emoji3531]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All The TimeGod is good[emoji3531]
Habari za Mungu zilianzia na zimeanzia kwenu nyie waamini Mungu(Theists).Tutaelewana tu.
Mimi sijafananisha atheist na agnostic bali nakuonyesha kuwa hayo MADAI YAKO kudai kwamba hakuna Mungu hata Agnostic anakushangaa umewezaje kujua kiuhakika kwamba hakuna Mungu hadi uje kudai hakuna Mungu?
Shetani hayupo.Siku inakuja ambapo kila mtu atajua kuwa Mungu yupo. Soma Ufunuo wa Yohana kuhusu matukio yajayo. "CV" ya shetani umeisoma? Huyo anahangaika usiku na mchana kuwafanya watu wasiamini kuwa Mungu yupo.
Hii ndiyo “CV” ya Shetani. Hafai kuajiriwa popote!
Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili: Name: Satan (aka...www.jamiiforums.com
Narudia tena ukisema kwa uhakika kuwa hakuna Mungu basi hata Agnostic anakushangaa umejuaje hakuna huyo Mungu? Unajua ni kwanini? Kwa sababu kwanza hayo ni madai na si kupinga, pili umewezaje kujua kiuhakika kuwa hayupo hadi utoe madai ya kuwa hayupo?Habari za Mungu zilianzia na zimeanzia kwenu nyie waamini Mungu(Theists).
Ninyi waamini Mungu(Theists) ndio mlianzisha hii dhana na jina "Mungu"
Ninyi waamini Mungu(Theists) ndio mlisema, mnasema, mlidai na mnadai kuna Mungu.
Kwa hiyo mpaka hapa Madai ya kwamba kuna Mungu, Ni ya kwenu nyie Theists.
Sio madai yetu, sisi Wakana Mungu(Atheists).
Sisi Atheists tunapinga madai yenu nyie Theists ya kusema kwamba kuna Mungu. Maana nyie ndio mlianzisha haya madai ya uwepo wa huyo Mungu.
Hivyo ninyi waamini Mungu(Theists) ndio mna jukumu na ndio mnapaswa kuthibitisha hayo madai yenu ya kwamba kuna Mungu.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yenu ya kusema kuna Mungu ni madai ya UONGO.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Ni imani zenu uchwara tu, mlizo pumbazwa na kujitungia huko vichwani mwenu kwamba kuna Mungu.
Hakuna Mungu kwa sababu ninyi Theists mlioanzisha madai na mnaodai kuna Mungu, Mmeshindwa kuelezea na kuthibitisha huyo Mungu yupoje?Narudia tena ukisema kwa uhakika kuwa hakuna Mungu basi hata Agnostic anakushangaa umejuaje hakuna huyo Mungu?
Sio madai.Unajua ni kwanini? Kwa sababu kwanza hayo ni madai na si kupinga,
Kwa sababu nyie waamini Mungu Theists, Mmeshindwa kuelezea huyo Mungu yupoje.pili umewezaje kujua kiuhakika kuwa hayupo hadi utoe madai ya kuwa hayupo?
Sasa wewe ambaye unasema kuna Mungu, Ulijuaje kwa uhakika kwamba kuna Mungu mpaka ukafikia hatua ya kusema kwamba yupo?Kupinga ungesema mimi sikubali madai ya uwepo wa Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho wa hilo,
Mungu hayupo kwa sababu HATHIBITISHIKI kwa namna yoyote ile kwamba yupo.ila wewe unadai kujua kwamba Mungu hayupo si kwa sababu sisi tumenza kudai kuwa yupo kisha hatujaweza kuthibitisha hadi sasa bali wewe unajua kuwa hayupo na ndio maana sisi hatuwezi kuthibitisha kuwepo Mungu kwa sababu wewe unajua bila ya shaka kuwa hayupo.
Kama umeshindwa kuthibitisha kitu kipo, Uliwezaje kujua kipo?Kwahiyo swali je sisi tumeshindwa tu kuthibitisha tunachokidai au kwamba sisi tumedai kitu ambacho wewe unajua si cha kweli?
Huu mfano wa Magufuli narudia kukwambia tena ni illogical.Ni sawa na mtu aje adai Magufuli yupo hai wakati wewe unajua hayupo kiuhakika kwamba kafa.
Mbona Agnostic hawasemi hakuna Mungu kama unavyosema wewe japokuwa na wao(Agnostic) hawaamini Mungu? Hebu wajibu Agnostic kwanini wewe unasema hakuna Mungu kwa uhakika kabisa waeleze Agnostic umejuaje kuwa hakuna Mungu?Hakuna Mungu kwa sababu ninyi Theists mlioanzisha madai na mnaodai kuna Mungu, Mmeshindwa kuelezea na kuthibitisha huyo Mungu yupoje?
Sio madai.
sisi Atheists tunapinga madai yenu ya kusema kuna Mungu.
Madai ya kwamba "kuna Mungu"yameanzishwa na nyie Theists.
Sisi Atheists tunapinga madai yenu kwa kusema "Hakuna Mungu"
Hivyo nyie waamini Mungu(Theists) ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ili mtu prove wrong.
Ukishindwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, Na ukishindwa kuelezea huyo Mungu yupoje? Ina maana kwamba madai yako ya kusema "kuna Mungu" ni madai ya UONGO.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Una elewa kiswahili wewe?
Kwa sababu nyie waamini Mungu Theists, Mmeshindwa kuelezea huyo Mungu yupoje.
Pia mmeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu kwa uhakika na ushahidi.
Hivyo kwa uhakika kabisa, Huyo Mungu wenu mnayedai yupo, HAYUPO kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Ndio maana mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha huyo Mungu yupoje.
Na madai yenu ya kusema "kuna Mungu" ni madai ya UONGO.
Sasa wewe ambaye unasema kuna Mungu, Ulijuaje kwa uhakika kwamba kuna Mungu mpaka ukafikia hatua ya kusema kwamba yupo?
Kama unakataa kwamba hakuna Mungu, mbona umeshindwa kuthibitisha kwa uhakika Mungu yupo?
Kama unakataa kwamba Hakuna Mungu, Na hapohapo umeshindwa kuthibitisha kwamba Kuna Mungu, Sasa unataka nini?
Mungu hayupo kwa sababu HATHIBITISHIKI kwa namna yoyote ile kwamba yupo.
Kama umeshindwa kuthibitisha kitu kipo, Uliwezaje kujua kipo?
Kama uliweza kujua kipo, Unashindwaje kuthibitisha kipo?
Kama unakataa kwamba kitu hakipo, halafu hapohapo umeshindwa kuthibitisha kipo, Sasa unataka nini?
Huu mfano wa Magufuli narudia kukwambia tena ni illogical.
Hivi mimi nikikwambia kwamba kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao, Halafu nikashindwa kukuonyesha hao Dragons wako wapi, Pia nikashindwa kukuthibitishia hao Dragons wapoje.Mbona Agnostic hawasemi hakuna Mungu kama unavyosema japokuwa hawaamini Mungu? Hebu wajibu Agnostic kwanini wewe unasema hakuna Mungu kwa uhakika kabisa waeleze Agnostic umejuaje kuwa hakuna Mungu.
Mbona unakwepa swali? Agnostic nao hawaani Mungu kama ambavyo wewe pia hauamini Mungu ila mbona wao hawasemi hakuna Mungu?Hivi mimi nikikwambia kwamba kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao, Halafu nikashindwa kukuonyesha hao Dragons wako wapi, Pia nikashindwa kukuthibitishia hao Dragons wapoje.
Je wewe utakubaliana na mimi hivyo hivyo tu, kwamba kuna Dragons watemao moto midomoni mwao?
Au utataka mimi niliyekwambia kwamba kuna hao Dragons, Nieleze wapoje na pia nitoe uthibitisho wa namna gani hao Dragons walivyo?
Ndipo wewe ukubali kwamba wapo.
Kama nikishindwa kuelezea na kuthibitisha hao Dragons 🐉 watemao moto midomoni wapoje?
Si ina maana kwamba hawapo?
Au wewe utaona kwamba hawapo kwa sababu huna uthibitisho kwamba hawapo?
Wakati mimi niliyekwambia wapo, nimeshindwa kutoa uthibitisho hao Dragons wapoje.
Pia ina maana kwamba madai yangu ya kusema kwamba "Kuna Dragons watemao moto midomoni mwao" ni madai ya uongo.
Na hao Dragons 🐉 watemao moto midomoni ni uongo, Hawapo. Ni mafikirio yangu tu yasiyo na uhalisia wowote ule.
The same concept kwa nyie Theists mnaosema na kudai kuna Mungu.
Wao ni Agnostic na sisi ni Atheists.Mbona unakwepa swali? Agnostic nao hawaani Mungu kama ambavyo wewe pia hauamini Mungu ila mbona wao hawasemi hakuna Mungu?
Kwa hivyo wewe unakubali kwamba Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao hawapo, Kwa sababu umeshindwa kuthibitisha kwamba hawapo.Kama ingekuwa mtu kushindwa kuthibitisha madai inatoa moja tu kuwa hicho alichodai hakipo basi hata Agnostic nao wangesema hakuna Mungu, ila wao hawasemi moja kwa moja hakuna Mungu hivyo wewe kusema hakuna Mungu kwa mtazamo wa Agnostic ni kwamba umetoa madai.
Mtu kutoa madai ya uwepo wa kitu na akashindwa kuthibitisha hajakulazimisha kukubali hicho kitu, wewe unaweza kueleza kwanini hicho kitu hakipo kama unajua au usikubali tu kwa sababu hakuna ushahidi ila ukisema hakuna hicho kitu kisa tu hakuna uthibitisho hapo ndio palipo na tatizo.
Hata katika hali ya kawaida watu wanakosa njia ya kuweza kuthibitisha hata katika vitu ambavyo ni vya kweli, mara ngapi watu hushindwa kesi kwa kushindwa kuthibitisha hali ya kuwa ni kweli?
Nawataja sana Agnostic kwa sababu ya hiyo hoja yako ya kusema kwamba kama mtu atashindwa kuthibitisha uwepo wa kitu anachodai kipo basi tafsiri yake ni moja tu kuwa hakuna hicho kitu, kwahiyo nawataja Agnostic kuonyesha wapo wenye mtazamo tofauti na huo wako japokuwa nao hawaamini Mungu kama wewe.Wao ni Agnostic na sisi ni Atheists.
Watu wawili tofauti.
Tatizo lako wewe unataka Atheists tuwe Agnostic.
Unataka tufanane, Hatuwezi kufanana.
Kwa hivyo wewe unakubali kwamba Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao hawapo, Kwa sababu umeshindwa kuthibitisha kwamba hawapo?
Au unakubali kwamba hawapo kwa sababu mimi ninaye kwambia wapo, Nimeshindwa kuthibitisha wapo, Hivyo hawapo?
Unakubali kwa jinsi gani kati ya hizo mbili hapo juu?
Najuaje? Nimesoma Biblia, imeniambia hivyo.Umeelezea claims zako kumi....hizo hazidhibitishi mungu yupo zinaprove kwamba we huna maji so umempachika mungu...so si hatuna shida...shida yetu ni moja...unajuaje Yesu ndo kafanya hayo na sio Yahweh na Allah...na usiniambie ni mtu mmoja ...na ukitoka hapo unielezee unajuaje sio Zeus au Odin au Krishna ndo kafanya hayo sijui kuumba cjui nini...maana mi sijui jua limetoka wapi naweza kukuambia ni Osiris utabisha? So swala sio kujua au kutokujua...swala ni tupe evidence kwamba ni Yesu Kristo ...
Unataka uthibitisho wa aina gani kwa kitu ambacho hakipo?Thibitisha
Ndio hakipo.Nawataja sana Agnostic kwa sababu ya hiyo hoja yako ya kusema kwamba kama mtu atashindwa kuthibitisha uwepo wa kitu anachodai kipo basi tafsiri yake ni moja tu kuwa hakuna hicho kitu,
Sisi hatudai, narudia tena kukwambia sisi Atheists hatudai hakuna Mungu.kwahiyo nawataja Agnostic kuonyesha wapo wenye mtazamo tofauti na huo wako japokuwa nao hawaamini Mungu kama wewe.
Kwahiyo wewe kusema hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho huo ni mtazamo wako na wengine wana mtazamo tofauti na huo kama Agnostic, wewe atheist umeshahitimisha hakuna Mungu hivyo mnadai uthibitisho kama upo ili tuwa prove wrong kusema kwenu hakuna Mungu ni tofauti na Agnostic.
Biblia ni uthibitisho au hadithi zisizo na uthibitisho?We si unapinga? Pinga kwa uthibitisho. Mimi nimethibitisha kwa Biblia na yale niliyoya-experience
Hawaamini asili , wanaamini Mungu kupitia dini za za asili , hata ukristo ni dini ya asili ya wayahudi yaani waisrael na warumi . Hata uislam ni dini ya asili ya waarabu . Mifano michache nikupe wajapan dini ya asili ni Shinto na Tao , Wachina ni Buddha na Confunsionism , India ni Hinduism hii ndio oldest wanazo nyingi sana , Korea ni Shaman , Kila watu wana dini zao za asili , sema sasa wakoloni na dini zao za kuleta a.k.a mapokeo wamezipamba na kuzifanya zionekane Bora kuliko za Mwafrika kitu ambacho ni uongo mtupu.Kuamini dini ya asili yako ndio sahihi zaidi .Wakoloni walikuja na hila kuua dini za asili ili zao zionekane bora. Mfano mwingine mzungu asili yake ni kusali kanisani, mwarabu asili yake ni kusali msikitini Buddha ni Hekaluni, Wao wakristo na waislam kusali kwenye dini zao za asili ni sahihi ila Mwafrika kusali kwenye dini zake za asili wanakwambia dhambi, shetani, shirki kitu ambacho ni uongo mkubwa lengo ni kupata wafuasi hiyo ni ufupi .Ila sasa vipi kuhusu hawa ambao wanaamini asili kuliko Mungu?!
Biblia inaelezea historian ya kabila la wayahudi na imani zao kuhusu uwepo wa Mungu hata Waarabu wana imani zao kupitia kitabu chao Quran, hata wajapan Shinto na Tao Wachina ni Buddha na Confunsionism India ni Hinduism, Korea ni Shaman Kila watu wana imani zao tatizo kulazimishs kwamba imani ya wayahudi na warumi na kitabu chao ndio source ya Kila kitu na ndio ukweli kitu ambacho ni uongo mkubwa hata waarabu wanaamini Quran na Mungu wao ndio kila kitu wakati sio kweli , hata wahindi waamini dini yao ndio sahihi zaidi , kifupi Kila jamii Ina imani tatizo wakoloni na dini zao za mapokeo kutaka zionekane Bora kuliko zingine kwa maslahi Yao , Soma New World Order , Natural Remedy Encycleopedia , Also you have to learn how America and Europe use Biological weapon and black magic to Africa , hiyo ni ufupi.Biblia inaeleza mambo mengi kuhusu Mungu. Na Biblia imeandikwa na wanadamu wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Kwa maneno mengine, ukisoma Biblia utajua habari za Mungu na unaweza kuwaelezea wengine wasiomjua Mungu.
Na Hawa ambao asili Yao ...ni ardhi....jua ....miti tunawawwka katika kundi lipiHawaamini asili , wanaamini Mungu kupitia dini za za asili , hata ukristo ni dini ya asili ya wayahudi yaani waisrael na warumi . Hata uislam ni dini ya asili ya waarabu . Mifano michache nikupe wajapan dini ya asili ni Shinto na Tao , Wachina ni Buddha na Confunsionism , India ni Hinduism hii ndio oldest wanazo nyingi sana , Korea ni Shaman , Kila watu wana dini zao za asili , sema sasa wakoloni na dini zao za kuleta a.k.a mapokeo wamezipamba na kuzifanya zionekane Bora kuliko za Mwafrika kitu ambacho ni uongo mtupu.Kuamini dini ya asili yako ndio sahihi zaidi .Wakoloni walikuja na hila kuua dini za asili ili zao zionekane bora. Mfano mwingine mzungu asili yake ni kusali kanisani, mwarabu asili yake ni kusali msikitini Buddha ni Hekaluni, Wao wakristo na waislam kusali kwenye dini zao za asili ni sahihi ila Mwafrika kusali kwenye dini zake za asili wanakwambia dhambi, shetani, shirki kitu ambacho ni uongo mkubwa lengo ni kupata wafuasi hiyo ni ufupi .