Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Kwanza nitataka kujua wewe umewezaje kujua hilo suala?
 
Umeelewa kwanza nilichoandika?

Nimesema hivi wewe unadai hakuna Mungu na hajawahi kuwepo, hakuna namna ya Mungu kuwepo kivyovyote vile. Ndipo nikakwambia wakati wewe unadai kwa uhakika kuwa hakuna Mungu na hajawahi kuwepo na wenzako hawaamini Mungu kwa sababu hakuna namna ya kuweza kujua kuwa Mungu yupo au hayupo, ndipo nikauliza je wewe umewezaje kujua kwa uhakika kuwa Mungu hayupo na si vinginevyo?
 
Hata hicho unachokidai kinakupa muongozo, unahakika gani kuwa hauko Paranoia au some sort of hallucinations?
One day when we all dead and unlimited to human brain we may be able to understand creation and everything will make Sense 👍
 
Amekariri
Anaogopa kuhoji
Ameambiwa ni dhambi
Anaogopa kwelikweli

Kwamba Tuamini kabla ya wazungu kuja Afrika hakukuwa na Mungu?
So Mungu huyu alichagua kuzungumza na weupe tu!
Africans were illiterate
 
Ndio elezea ili wengine tujue pia.
Umeona tunapoelekea?

Hivi ningesema nina vidole vitano kwenye mkono ungeuliza nimejuaje?

Umeona haya maswali yako yanavyozidi kuongezeka?

Hiyo ndio proof kuwa tuhuma nzito zinataka uthibitisho mzito. Na ndio maana unaanzia kwangu kutaka kujua nimejuaje.

Namimi nakuambia unataka maelezo kuhusu mimi ili iweje wakati maelezo uliyopewa yamejitosheleza?

Kwani hukubaliani na hayo maelezo?

Haya lets say nimesema nimejua kupitia kitabu chake ambacho nimekipoteza na sina backup yeyote ya kuweza kukupatia usome.

Then what?
 
Huyo Mungu hayupo.

Ni wewe tu unahangaika kufosi aonekane yupo.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ina ukweli?
Thibitisha hayupo tuamini Imani yako ni kweli
 
Leta uthibitisho wa ambao hayupo?!
Kwanini nijisumbue ku disprove kitu ambacho hakijawahi kuwa proved??

Hujui kuwa madai yeyote yasiyokuwa na ushahidi yanaweza kuwa dismissed bila ushahidi?
 
Kwanini nijisumbue ku disprove kitu ambacho hakijawahi kuwa proved??

Hujui kuwa madai yeyote yasiyokuwa na ushahidi yanaweza kuwa dismissed bila ushahidi?
Huna ushahidi madai Yako yamekuwa dismissed 😉
 
Kwanini nijisumbue ku disprove kitu ambacho hakijawahi kuwa proved??

Hujui kuwa madai yeyote yasiyokuwa na ushahidi yanaweza kuwa dismissed bila ushahidi?

Umejuaje hilo ? Tupe mfano.

Pili, ushahidi kwako wewe una sifa gani ?
 
Chanzo cha kila kitu hakihitaji kuwa na chanzo. Sababu huo ni udhaifu na Mola wetu ameepukana na udhaifu wowote.

Kingine, Infinity series haipo.
Kila siku najadili nawewe naona sina haja ya kujadili tena na wewe asante.
 
Kuamini ni haki ya kila mmoja shida inakuja pale unachokiamini wewe kulazimisha kila mtu aamini ndio maana unatakiwa uthibitishe.

Wapi nimeandika kujua ni kinyume cha kuamini?
 
All this is rubbish on the concrete evidence of the existence of God! Labda kama unataka kusema science ndiye Mungu. All these are laws of nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…