Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Unataka uthibitisho gani kwa kitu ambacho hakipo?

Kisichokuwepo hakithibitishiki kwa namna yoyote ile, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Una elewa hilo?
Hawa hata uwaeleweshe hata miaka 50 mambo yao ni yale yale tu
 
Umeelewa kwanza nilichoandika?
Wewe ndiye ambaye huelewi.
Nimesema hivi wewe unadai hakuna Mungu na hajawahi kuwepo, hakuna namna ya Mungu kuwepo kivyovyote vile.
Mimi Sidai kwamba hakuna Mungu.

Mimi NAPINGA madai yenu ya kusema kwamba kuna Mungu.

Kwa sababu madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu.

Ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu hayo, Ya kusema kuna Mungu.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo, Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.

Una elewa hilo?
Dhana ya Mungu imeanzia kwenu nyie waamini Mungu, Lakini mmeshindwa kutoa uthibitisho wa uwepo wake.

Sasa huoni tu kwamba madai yenu ni ya uongo?

Huoni kwamba huyo Mungu mnayedai yupo, Hayupo?
 
Hawa hata uwaeleweshe hata miaka 50 mambo yao ni yale yale tu
Eti mtu anataka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo!!

Hivi hii inawezekana vipi?

Uthibitisho ukisha kuwepo ni kwamba kitu kipo.

Uthibitisho ukikosekana ni kwamba kitu hakipo.

Tatizo la hawa watu wanakaza mafuvu yao, Na wanataka ubishi usio na tija.

Wanataka tu, kutetea imani zao uchwara za kidini zisizo na logic wala reasoning.
 
Africans were illiterate
Walikuwa na namna zao za maisha hii illiterate nayo ni ya wazungu. Wao ndio wana standards za illiterate. Waliturubuni tu. Tumefuata yao ona Sasa tunapambana kuwa Kama wao kwa namna ambazo sio asili yetu
 
Kitendo cha kuamini kitu kingine superior kuliko yeye ndio uthibitisho kuwa MUNGU yupo swala la unamfahamu kwa namna gani hiyo itategemea chanzo cha uelewa wako . Ndio maana Mungu ameeleqeka kwa namna tofauti ma hata kuabudiwa
Ila sasa vipi kuhusu hawa ambao wanaamini asili kuliko Mungu?!
 
Unataka uthibitisho gani kwa kitu ambacho hakipo?

Kisichokuwepo hakithibitishiki kwa namna yoyote ile, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Una elewa hilo?
Basi usipinge kile ambacho tunadhibitisha kwamba Mungu yupo..God is good
 
Walikuwa na namna zao za maisha hii illiterate nayo ni ya wazungu. Wao ndio wana standards za illiterate. Waliturubuni tu. Tumefuata yao ona Sasa tunapambana kuwa Kama wao kwa namna ambazo sio asili yetu
Kabla ya wazungu Africa kulikuwa na spirits...deits who africans used as intermediarries between them and God...kumaanisha Mungu alikuwepo na Waliamini Hilo kabla ya wazungu kuja
 
Walikuwa na namna zao za maisha hii illiterate nayo ni ya wazungu. Wao ndio wana standards za illiterate. Waliturubuni tu. Tumefuata yao ona Sasa tunapambana kuwa Kama wao kwa namna ambazo sio asili yetu
Usilolijua sawa swa na usiku wa giza ..God is good
 
Mkuu Setfree
Kitabu chako chenye hizi chapter 10 za kibabe sana kinatoka lini?

Mchanyato huu wa systematic theology, core science, technology, archeology na mengineyo bila kuuweka kwenye kitabu itakuwa umetunyima maarifa nyeti.

super stuff!
 
Kwanza mtoa mada huelewi Mungu ni nini? Wengi hawaelewi Mungu ni cheo na sio jina linalomilikiwa na kiumbe au nguvu yoyote , ni kama unavosema rais, hujui rais wa nini , au wa kitu Gani. Mungu yupi huyo mkuuu, mana wapo 300k+
 
Kuna God and gods( are work of men)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…