Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mleta mada wewe huamini miungu 16,999 iliyoundwa na binadamu tokea kale.

Mimi siamini miungu yote 17,000 iliyoundwa na binadamu.

Si unaona hatutofautiani sana?😊

Basi tuishi kwa amani na upendo, tusibaguane wala kutishiana. Maisha yenyewe mafupi mno.
 
Sio tuseme hayupo ni hayupo kweli.
Moja ya udhaifu mkubwa wa binadamu ni ubinfsi.
Apate yeye akose mwingine, lake yeye ni bora kuliko mwingine, hoja yake yeye ina maana kuliko ya mwingine, imani yake yeye ni sahihi kuliko mwingine.
Udhaifu huu wa ubinafsi ndio umesababisha malumbano visa mapigano na mashindano mengi duniani ambayo imezaa vita .
Kama binadamu tungejaliwa kuushinda ubinafsi basi maisha yangekuwa bora sana.

Mimi najaribu kuushinda ubinafsi wangu wa usahihi wa imani yangu juu ya uwepo wa Mungu na ili usahihi wa hoja yako ya kutokuwepo kwa Mungu uwe bayana.
 
Umeandika mambo ya wazungu ambayo mengi yapo kwenye vitabu. Gravity mfano yaani wamesema wao kwa namna zao. Mungu yupo ila sio kwa namna ambazo zinathibifishwa na watu wa upande flan tu. Ndio kusema sisi Waafrika hakuna letu hata moja linalothibitisha uwepo wa Mungu?
 
Moja ya udhaifu mkubwa wa binadamu ni ubinfsi.
Apate yeye akose mwingine, lake yeye ni bora kuliko mwingine, hoja yake yeye ina maana kuliko ya mwingine, imani yake yeye ni sahihi kuliko mwingine.
Udhaifu huu wa ubinafsi ndio umesababisha malumbano visa mapigano na mashindano mengi duniani ambayo imezaa vita .
Kama binadamu tungejaliwa kuushinda ubinafsi basi maisha yangekuwa bora sana.

Mimi najaribu kuushinda ubinafsi wangu wa usahihi wa imani yangu juu ya uwepo wa Mungu na ili usahihi wa hoja yako ya kutokuwepo kwa Mungu uwe bayana.
Nyie ndio wabinafsi mnataka watu waamini imani zenu bila uthibitisho, tukiwapoteza dakika mbili tu mnaanza kutukanana kati ya Allah na yesu nani zaidi na yupi ni wa ukweli🤔

Kwa hiyo point yako bado ipo kwa nyie mnaoshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.
 
Back
Top Bottom