min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sio tuseme hayupo ni hayupo kweli.Mgumu sana kuelewa wewe!
Tuseme hayupo basi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tuseme hayupo ni hayupo kweli.Mgumu sana kuelewa wewe!
Tuseme hayupo basi!!
Thibitisha kwa kujua wewe🤔Wapo wanao potosha kwa kujuwa wengine kwa kutojua
God is from everlasting to everlasting 🙃Hayo ni maneno ya kiimani tu, ambayo tunaweza kuiita makosa ya kimantiki tu , kama haujaelewa kitu ni bora usijibu tu.
Kama kuna uwezekano wa kuwa na kitu ambacho hakina mwanzo, kwanini binadamu na kila kilichopo kisiweze kutokuwa na mwanzo? Thibitisha hili.God is from everlasting to everlasting 🙃
Mkuu unasoma hoja zao?Cosmological Argument ni hoja zilizojaribu ku-assume kuwa ku Mungu kupitia mifano ya mazingira, hazithibitishi Mungu yupo.
Utaenda jehanam mkuu shauri yakoMleta mada wewe huamini miungu 16,999 iliyoundwa na binadamu tokea kale.
Mimi siamini miungu yote 17,000 iliyoundwa na binadamu.
Si unaona hatutofautiani sana?😊
Basi tuishi kwa amani na upendo, tusibaguane wala kutishiana. Maisha yenyewe mafupi mno.
God is OneUwepo wa Mungu haupaswi kutiliwa shaka na yoyote mwenye akili ya ufamu.
Isipo kuwa kumuelezea ndio kunaacha mashaka mengi na maswali yasio kuwa na majibu .
Unacho hitaji ni mabishano hauko tayari kujifunzaThibitisha kwa kujua wewe🤔
Kujifunza kuamini au kujua?Unacho hitaji ni mabishano hauko tayari kujifunza
Moja ya udhaifu mkubwa wa binadamu ni ubinfsi.Sio tuseme hayupo ni hayupo kweli.
Nyie ndio wabinafsi mnataka watu waamini imani zenu bila uthibitisho, tukiwapoteza dakika mbili tu mnaanza kutukanana kati ya Allah na yesu nani zaidi na yupi ni wa ukweli🤔Moja ya udhaifu mkubwa wa binadamu ni ubinfsi.
Apate yeye akose mwingine, lake yeye ni bora kuliko mwingine, hoja yake yeye ina maana kuliko ya mwingine, imani yake yeye ni sahihi kuliko mwingine.
Udhaifu huu wa ubinafsi ndio umesababisha malumbano visa mapigano na mashindano mengi duniani ambayo imezaa vita .
Kama binadamu tungejaliwa kuushinda ubinafsi basi maisha yangekuwa bora sana.
Mimi najaribu kuushinda ubinafsi wangu wa usahihi wa imani yangu juu ya uwepo wa Mungu na ili usahihi wa hoja yako ya kutokuwepo kwa Mungu uwe bayana.
Because we can never be like GodKama kuna uwezekano wa kuwa na kitu ambacho hakina mwanzo, kwanini binadamu na kila kilichopo kisiweze kutokuwa na mwamzo? Thibitisha hili.
Hakuna mwanadamu anayeweza kumuelezea Mwenyezi Mungu.Kuna wengine wamepofushwa. Inabidi kuwaeleza waujue ukweli.