Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Marekani ni bingwa wakununua watu na vitu akishakuona unakitu unaweza kumsaidia basi yupo radhi akuhonge hata uraia!, fatilia asili za hao waliogundua hivyo vitu wengi wao utakuta sio raia asilia wa huko!hili taifa kubwa la China ni kipi wanajivunia kwa kukivumbua wao na kuuzia dunia?
Kwa Marekani kuna
Nuclear Bombs
F35
Boeing
A.I
Android
Windows
Mac
IOS
ARV’s
Internet
reUsable Rockets
Na mengine mengi mengi mengi kwenye sector ya Afya kama chanjo kede kede amabyo yamefanya binadamu tuweze kufika hapa
Kwa Upande wa China ni kipi alichonacho ambacho amefaidisha Dunia na kufanya apate jeuri mbele ya USA?
Umesema vyemaTrump ni rais ambae analisababishia taifa lake litumie nguvu kubwa mno katika kujisafisha!,kujitetea na kujiimarisha!. Naweza kusema trump ni rais mwenye upeo mdogo haendani na dunia katika kusukuma kete zake ni kama rais tu wengi wao wa huku bara la giza!, akiamini matumizi ya nguvu, hisia n.k
Kwa sasa ni Raia wa Marekani na vitu vyote wametengeneza wakiwa Marekani,Marekani ni bingwa wakununua watu na vitu akishakuona unakitu unaweza kumsaidia basi yupo radhi akuhonge hata uraia!, fatilia asili za hao waliogundua hivyo vitu wengi wao utakuta sio raia asilia wa huko!
Hata kwa China kuna nuclear bombshili taifa kubwa la China ni kipi wanajivunia kwa kukivumbua wao na kuuzia dunia?
Kwa Marekani kuna
Nuclear Bombs
Kwa China kuna J35 na 6th gen fighter jetKwa Marekani kuna
F35
Je hapo ndio umejibu?Hata kwa China kuna nuclear bombs
Kwa China kuna COMACKwa Marekani kuna
Boeing
Kwa Marekani kuna
A.I
Kwa China kunaKwa Marekani kuna
Android
Windows
Mac
IOS
Nilichogundua unaipigia chapuo China ila “reality” China inategemea invention na innovation kutoka USACEO wa NVIDIA Jensen Huang alipoulizwa: “How far is China behind the US in AI?” hili ndio jibu lake
“China is not behind! Remember that 50% of world’s best AI researchers are Chinese and many of those work at U.S.-based AI labs. This is a long race.
It would be a tremendous loss to miss the Chinese AI market."
-Nvidia CEO Jensen Huang
ARV ni ubunifu wa dunia nzima hakuna nchi moja iliyotengeneza ARVKwa Marekani kuna ARV’s
Hayo sio maneno yangu. Unabishana na Jensen Huang CEO wa NVIDIA?Nilichogundua unaipigia chapuo China ila “reality” China inategemea invention na innovation kutoka USA
Mpaka pale itakapokuja nchi ya kuiwekea vikwazo Marekani ila kwa sasa China bado ni mtengenezaji na muuzaji wa bidhaa kutoka Marekani
Internet haikugunduliwa na mtu mmoja au nchi moja. Ni matokeo ya kazi ya watafiti wengi kwa miaka mingiKw Marekani kuna Internet
China zipo kwenye hatua za majaribio (testing stage)Kwa Marekani kuna reUsable Rockets
History umetoa kwenye kitabu kipi?Internet haikugunduliwa na mtu mmoja au nchi moja. Ni matokeo ya kazi ya watafiti wengi kwa miaka mingi
China hatishii dunia china anaitishia marekani kwani hakutegemea likawa taifa lililoibuka nakuimarika kiuchumi,kisiasa na technology kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba kutishia ushawishi wakinguvu katika sekta hizo!, china inaendelea kujiimarisha nakuaminika duniani na hata bidhaa zake nyingi kukubalika Asia, Africa na mashariki ya kati.Kwa sasa ni Raia wa Marekani na vitu vyote wametengeneza wakiwa Marekani,
Swali langu ni kipi hasa China alichonacho cha kuweza kutishia Dunia?
Umeandika na ka ushabiki kidogo. Technology yote ya china ni technologies za USA with some modifications!
1. Xi alimuonya Trump kuhusu "Thucydides Trap."
"Can China and the US overcome the Thucydides Trap"
–Xi Jinping
Nini maana ya Thucydides Trap?
Nchi mpya yenye nguvu inapoinuka, nchi kubwa ya zamani huanza kuhofu kupoteza nafasi yake na mvutano huongezeka.
China inaendelea kukua kwa nguvu kiuchumi, kiteknolojia, na kijeshi.
Marekani inaona ukuaji huo kama tishio kwa nafasi yake duniani. Marekani ina wasiwasi kwamba China inaweza kuipiku au kupunguza ushawishi wake duniani.
Xi alikuwa akijaribu kusema China haitaki kurudia historia ya vita (Thucydides Trap) kama Sparta na Athens.
Vita kati ya mataifa yenye nguvu kubwa si lazima itokee. Mataifa yanaweza kuepuka mgogoro kupitia mazungumzo, biashara, na ushirikiano.
2. Xi alimuonya Trump kuhusu suala la Taiwan.
“Ikiwa Marekani haitashughulikia vizuri suala la Taiwan, inaweza kusababisha migongano na hata vita”
–Xi JinpingView attachment 3589379
Xi alisisitiza Marekani isivuke mstari kuhusu Taiwan. Kwa mtazamo wa China Taiwan ni suala muhimu zaidi katika uhusiano wa China na Marekani.
Baada ya mkutano na Xi
3. Xi alimuonya Trump kuwa "United States is a declining nation.”
View attachment 3589378
Hili la "U.S is a declining nation" limemuuma sana Trump, ikabidi aandike gazeti kumtupia lawama Biden.
Trump na Marekani wakubali tu kuwa dunia ya sasa ni ya ushindani na sio ya utawala wa taifa moja. Rising Dragon, fading Eagle.
Wakati Xi akitoa hoja zenye mashiko na nzito zinazogusa China na Marekani na mustakabali wa dunia. Hizi ni baadhi ya quotes za Trump alipokuwa na Xi:
"It’s an honor to be your friend."
"You are a great leader."
"We’re going to have a fantastic future together.”
Huu mkutano umedhihirisha kuwa Xi is smarter than Trump kwa mbali sana na Marekani haina lolote la kuitambia China kwa sasa.