Laptop, Computerz za kawaida na vifaa vyake vyote, ulaya na America wameanzisha viwanda China.Exactly! Apple kwa mfano 98% of its products are manufactured in China. Huo ni mfano mmoja. And this isndue to cheap labour! But technology yote inatoka USA.
Ila China iko very innovative, akiangalia tu anaiga na kutengeneza your products.
Ishu za madawa, nguo n.k magharibi wameweka viwanda China, sasa huo usuperior wa China sijui unatoka wapi kama huyu shabiki wa China anaouleta hapa.
Peros alikuwa na safari ya kwenda Taiwan miaka michache nyuma. Jamaa huyu huyu mleta mada akawa anaanzisha mathread balaa kwamba Rais wa China ataanzisha vita na US, mara US kaufyata hatoenda Taiwan n.k ngoja nitafute ile thread kisha nitaipandisha. Matokeo yake Peros alienda Taiwan na China akaufyata mkia, jamaa akawa hana majibu. Ana ushabiki wa kipuuzi sana juu ya China na US.