Mambo 3 muhimu ambayo Xi amemuonya Trump wakiwa ana kwa ana kwenye mkutano Beijing

Kwa sasa ni Raia wa Marekani na vitu vyote wametengeneza wakiwa Marekani,
Swali langu ni kipi hasa China alichonacho cha kuweza kutishia Dunia?
We unataka kutishia dunia?.. marekani wanajua china ni nani mpaka wanaweka vikwazo,walianza kuiogopa Huawei na kuiwekea vikwazo
Unaamini hata ulaya hawana gunduzi za kisayansi sababu huzioni sokoni
Kimsingi china inaongoza kwa gunduzi nyingi za kisayansi kwa mwaka ukilinganisha na marekani,maamuzi huja ikiwa wa-comercialize au laa
 
Imekuaje Marco Rubio akaingia China? Umesoma kilichofanyika?
 
Attachments

  • Screenshot_20260516_092429_Chrome.jpg
    Screenshot_20260516_092429_Chrome.jpg
    218.9 KB · Views: 17
History umetoa kwenye kitabu kipi?

Swali jingine, wakati Marekani anafanya operation pale Straight of Hormuz na kuleta madhara ya Fuel Prices world wide nilitegemea China angeenda kumzuia
Wakati Marekani ananenda Kumteka Maduro nilitegemea China ingeenda kumzuia
Wakati Russia anawekewa vikwazo vya Kiuchumi nilitegemea Nchi kubwa na yenye uwezo kama China ingeingilia kati na kwenda kumzuia

Je mpaka leo ni kipi China amefanya cha kuionya Marekani kwa matendo yake hayo na kuiwekea vikwazo?
Ww jamaa una uwelewa mdogo sana kuhusu siasa za kimataifa kiasi kwamba mpaka mtu anaona uvivu kujadiliana na ww.
 
Marekani ni bingwa wakununua watu na vitu akishakuona unakitu unaweza kumsaidia basi yupo radhi akuhonge hata uraia!, fatilia asili za hao waliogundua hivyo vitu wengi wao utakuta sio raia asilia wa huko!
Hii sio kweli, wagunduzi wengi ni wamarekani labda useme mababu zao ndio walihamia Marekani kutokea maeneo mengine na hasa Ulaya.
Wewe inaonekana hujui chochote hapo nenda usome utaelewa na uache ushabiki au imani za kidini maanake hupumbaza tu watu.
 
We unataka kutishia dunia?.. marekani wanajua china ni nani mpaka wanaweka vikwazo,walianza kuiogopa Huawei na kuiwekea vikwazo
Unaamini hata ulaya hawana gunduzi za kisayansi sababu huzioni sokoni
Kimsingi china inaongoza kwa gunduzi nyingi za kisayansi kwa mwaka ukilinganisha na marekani,maamuzi huja ikiwa wa-comercialize au laa
Gunduzi gani hizo za China..!!
 
Marekani ni bingwa wakununua watu na vitu akishakuona unakitu unaweza kumsaidia basi yupo radhi akuhonge hata uraia!, fatilia asili za hao waliogundua hivyo vitu wengi wao utakuta sio raia asilia wa huko!
Raia asili wa Marekani ni wapi tofauti na Wahindi Wekundu?
 
hili taifa kubwa la China ni kipi wanajivunia kwa kukivumbua wao na kuuzia dunia?
Kwa Marekani kuna
Nuclear Bombs
F35
Boeing
A.I
Android
Windows
Mac
IOS
ARV’s
Internet
reUsable Rockets

Na mengine mengi mengi mengi kwenye sector ya Afya kama chanjo kede kede amabyo yamefanya binadamu tuweze kufika hapa
Kwa Upande wa China ni kipi alichonacho ambacho amefaidisha Dunia na kufanya apate jeuri mbele ya USA?
Nuclear bomb teknolojia ilipelekwa Marekani na mjerumani aliye kimbia nchi yake.
Re-usable rocket shughuli ya Mwafrika Kusini kaburu Elon Musk.
 
Kabla ya wamarekani kwenda kuwekeza China baada ya kifo cha Mao 1976 nchi hiyo haikuwa na chochote cha maana cha kujivunia hawakuwa tofauti sana na sisi.

China owes a lot to the American investment in that country as prior to it China was akin to any third world country existing today.

China views the demise of their communist dictator the late Mao Zedong as a blessing in disguise owing to the fact that his departure is what led to the advent of the reformists like the late Zhao Ziyang and others whose pragmatic politics led to China abandoning its hardline communist economic policies in favour of the fancied market economy.

It's evident that if the late Mao Zedong would be alive today China would have been quite different from what it is.

And even today United States is still the China's major source of economic prosperity bearing in mind that the US is the China's main economic partner in the world.

China accounts for about 6.2% of total U.S. foreign trade. In terms of total U.S. imports, China accounts for roughly 9.0%, making it the third-largest source. For U.S. exports, China accounts for about 4.9%, ranking as the fourth-largest export market.

The total breakdown of U.S.-China trade highlights the following key points:

Total Trade Volume:
U.S. goods trade with China sits at approximately US$ 414.7 billion.

U.S. Imports from China: Approximately US $ 308.4 billion of the trade represents imports from China.

U.S. Exports to China:
The U.S. exports about US$ 106.3 billion in goods to China.

So the US is arguably holding a key of life to the China's economy.
 
Swali ni kwamba, kwa nini wasiyafanye hayo wakiwa kwenye nchi zao za awali?

Usifikiri uvumbuzi unafanyika tu kwa akili ya mtu mmoja, kuna michango ya mawazo kutoka kwa wengine japo hawatajwi moja kwa moja katika uvumbuzi wenyewe.

Sasa inapofikia hapo ndipo unakuta kwamba Marekani inakuwa na fursa ya kipekee ambayo nchi zingine hazina na kwa maana hiyo ndio maana hata Elon Musk hakuweza kutajirika alipokuwa Afrika Kusini na hata sasa akirejea huko ni kufirisika tu ndicho kitamuandama.
 
Swali jingine, wakati Marekani anafanya operation pale Straight of Hormuz na kuleta madhara ya Fuel Prices world wide nilitegemea China angeenda kumzuia
Wakati Marekani ananenda Kumteka Maduro nilitegemea China ingeenda kumzuia
Kwa hiyo China ndio police wa dunia? Je, Venezuela na Iran walihitaji msaada wa China?
 
Wakati Russia anawekewa vikwazo vya Kiuchumi nilitegemea Nchi kubwa na yenye uwezo kama China ingeingilia kati na kwenda kumzuia

Je mpaka leo ni kipi China amefanya cha kuionya Marekani kwa matendo yake hayo na kuiwekea vikwazo?
Ulitaka China iingilie masuala ya ndani ya mataifa mengine? Uliza China ili-react jinsi gani Marekani ilipoongeza ushuru kwa China?
 
Umeandika na kanushaniki kidogo. Technology yote ya china ni cooies za Ua with some modifications! Uchina haijawahi gundua kitun from scratch! Ila wanaweza kuwa very innovative, wakiona kitubwanaiga na kukiboresha. Hawajawahi gundua lolote from scratch!

Kama alivyosema Japan kuwa "We do not have to invent the wheel, let innovate what others have invented/ discovered. Carnot cycle will remain as it is, let us revolve around that to suit our needs! Ndiyo wakabuni magari yao yote and the like in all fields of science and technology.
Tunaishi dunia ya innovations
 
Kabla ya wamarekani kwenda kuwekeza China baada ya kifo cha Mao 1976 nchi hiyo haikuwa na chochote cha maana cha kujivunia hawakuwa tofauti sana na sisi.

China owes a lot to the American investment in that country as prior to it China was akin to any third world country existing today.

China views the demise of their communist dictator the late Mao Zedong as a blessing in disguise owing to the fact that his departure is what led to the advent of the reformists like the late Zhao Ziyang and others whose pragmatic politics led to China abandoning its hardline communist economic policies in favour of the fancied market economy.

It's evident that if the late Mao Zedong would be alive today China would have been quite different from what it is.

And even today United States is still the China's major source of economic prosperity bearing in mind that the US is the China's main economic partner in the world.

China accounts for about 6.2% of total U.S. foreign trade. In terms of total U.S. imports, China accounts for roughly 9.0%, making it the third-largest source. For U.S. exports, China accounts for about 4.9%, ranking as the fourth-largest export market.

The total breakdown of U.S.-China trade highlights the following key points:

Total Trade Volume:
U.S. goods trade with China sits at approximately US$ 414.7 billion.

U.S. Imports from China: Approximately US $ 308.4 billion of the trade represents imports from China.

U.S. Exports to China:
The U.S. exports about US$ 106.3 billion in goods to China.

So the US is arguably holding a key of life to the China's economy.
But why were Trump and the CEOs of major American corporations in Beijing just one day ago, asking for wider access to Chinese consumers, financial markets, technology sectors, and manufacturing opportunities?
 
Hii sio kweli, wagunduzi wengi ni wamarekani labda useme mababu zao ndio walihamia Marekani kutokea maeneo mengine na hasa Ulaya.
Wewe inaonekana hujui chochote hapo nenda usome utaelewa na uache ushabiki au imani za kidini maanake hupumbaza tu watu.
Teknolojia nyingi kubwa duniani hazikutokea kutoka nchi moja pekee

Mara nyingi huwa ni mnyororo wa uvumbuzi ambapo taifa moja linaweka msingi, lingine linauboresha, na jingine linausambaza kwa kiwango kikubwa duniani
 
Kwa kitendo cha Trump kufunga safari kwenda mpaka China kujichekesha chekesha mbele ya Rais Xi Jingping, ni ushahidi tosha nchi yake inaanza kupoteza ule ubabe wake wa kipuuzo iliokuwa nao hapo kabla.
 
Hii sio kweli, wagunduzi wengi ni wamarekani labda useme mababu zao ndio walihamia Marekani kutokea maeneo mengine na hasa Ulaya.
Wewe inaonekana hujui chochote hapo nenda usome utaelewa na uache ushabiki au imani za kidini maanake hupumbaza tu watu.
Yes huyu ni shabiki tu hajui lolote
 
Back
Top Bottom