Mambo 3 muhimu ambayo Xi amemuonya Trump wakiwa ana kwa ana kwenye mkutano Beijing

But why were Trump and the CEOs of major American corporations in Beijing just one day ago, asking for wider access to Chinese consumers, financial markets, technology sectors, and manufacturing opportunities?
Muwe mnaelewa haya mambo! Mnaharibiwa na uchawa.

Mfano 98% ya products za Apple zinatengenezwa China!
 
Muwe mnaelewa haya mambo! Mnaharibiwa na uchawa.

Mfano 98% ya products za Apple zinatengenezwa China!
Ndio maana nikaandika wamefuata "manufacturing opportunities" we call it supply chain

Na sio tu products za Apple, hata Pentagon na defense contractors wa Marekani hununua components na madini muhimu yaliyokuwa refined kutoka kwa Chinese suppliers ili watengeneze silaha za kisasa za maangamizi
 
Sawa kabisa. Uko sahihi
 
Marekani ni bingwa wakununua watu na vitu akishakuona unakitu unaweza kumsaidia basi yupo radhi akuhonge hata uraia!, fatilia asili za hao waliogundua hivyo vitu wengi wao utakuta sio raia asilia wa huko!
Kwani kuna ubaya gani hapo,si sawa tu na timu zinavyofanya usajiri
 
Mbona kuna maandiko yanasema huyu Mao ndie mhasisi wa sera ya kupeleka vipanga wa china uko marekani ili wakaibe teknolojia. Na ndio msingi wa maendeleo ya china leo. Jamaa wametoboa kwa kufanya wizi wa maarifa na kuboresha ndio maana hawana chochote walichobuni wao from scratch
 
Nafikiri ni historia china anazidi kujiongezea, Jamaa wanapiga Sana kazi kweli halafu uzalendo wao ni wa juu Sana, kufikia level walizofika inahitaji commitment ya kiwango kisichoelezeka kabisa na ni watu wanaojivunia Sana historia zao hata zikiwa za kale, Xi anamuonyesha Trump miti yenye miaka Mia moja mingine miambili, anasema ipo Hadi mti wa miaka elfu moja, aisee...Kila sekta muhimu utawakuta wapo kwenye chati za juu, ukweli usemwe tu kuwa juu Kwa china kumeleta Balance Fulani hivi duniani...
 
Umesema vyema
 
China's economy grew rapidly due to a combination of market-oriented reforms, massive infrastructure investments, and deep integration into global trade. Initiated in the late 1970s, these transformations shifted China from a closed, agrarian society into the world's leading manufacturing powerhouse, effectively lifting hundreds of millions of people out of poverty.

Key Drivers of Growth.

Economic Reforms & Market Incentives:
Starting in 1978, the government introduced market mechanisms into a heavily planned economy. By allowing private enterprise, dismantling communal farming, and encouraging competitive markets, producers and consumers were given the freedom to respond to financial incentives.

Global Trade Integration:
China formally joined the World Trade Organization (WTO) in 2001, granting its manufacturers unprecedented, low-tariff access to affluent Western markets. This supercharged its export sector and earned the country the title of "the factory of the world".Foreign Direct Investment & Technology Transfer: Strategic state interventions actively courted foreign capital. By providing tax breaks and favorable regulatory environments, China attracted massive multinational investments. Through joint ventures, China absorbed advanced technologies and managerial expertise to rapidly close the gap with developed economies.

Massive Infrastructure Investments:
The state heavily funded modern infrastructure, building state-of-the-art ports, power plants, highways, and extensive high-speed rail networks. This relentless development connected rural labor to urban manufacturing hubs efficiently.

A Vast, Productive Labor Force:
A huge supply of low-wage, disciplined workers transitioned from agricultural jobs into modern manufacturing sectors, allowing the country to achieve rapid scaling and productivity gains. For a deeper visual and analytical breakdown of China's economic transformation:
 

1. 80% ya market share ya EV cars duniani, zinatoka china
2. Marekani Hutegemea kwa kiasi kikubwa kununua Electronics kutoka China account to approximately $120 billion yearly. Geuza hiyo hela kwa shilingi....
3. China Ina Internet yake Yenyewe (haitegemei ya marekani)
4. Nuclear Bomb china inayo miaka mingi...
5. Stay turned, china imeshateka soko la Africa na sehemu kubwa tu ya Ulaya na marekani
UPENDE USIIWAPENDE, UTAWAKUBALI TU
 
Nuclear bomb teknolojia ilipelekwa Marekani na mjerumani aliye kimbia nchi yake.
Re-usable rocket shughuli ya Mwafrika Kusini kaburu Elon Musk.
Let me put the record straight:

The nuclear bomb was invented by the United States-led Manhattan Project during World War II, with theoretical physicist J. Robert Oppenheimer serving as the director of the secret Los Alamos Laboratory where the weapons were designed. While Oppenheimer is widely recognized as the "father of the atomic bomb," the creation of the weapon was a massive collaborative effort involving thousands of scientists, engineers, and military personnel.

Key Figures and Facts: J. Robert Oppenheimer:

Coordinated the scientific research and directed the team at the Los Alamos site in New Mexico.

Maj. Gen. Leslie Groves:
The U.S. Army Corps of Engineers officer who directed the entire Manhattan Project.

Albert Einstein:
Did not directly build the bomb, but his famous letter to President Franklin D. Roosevelt in 1939 helped prompt the U.S. to research and develop nuclear weapons.

The First Test:
The first successful detonation of a nuclear device took place at the Trinity Test site in New Mexico on July 16, 1945.
 
1. Hii ya EV cars Tesla hamna mpinzani,
2. Hizo electronics unazoongelea ni hizi Design in USA, Made in China au kuna zingine ambazo ni Made in China, From China
Nipe mfano wa hizo electronics?
3.Internet inatoka Marekani inasambazwa Duniani kote
4. Nuclear bombs ni za Energy sio Vita,
5. Hizi bidhaa za Made in China zinazopatikana Home City, Kariakoo, na Maduka mengi ya Kichina ndio amezitumia kuteka soko la Dunia? Huwezi kua Serious
 
Je hapo ndio umejibu?
Ni kipi hasa China alichonacho cha kuweza kutishia Dunia?
Au tuseme cha kuweza kuionya Marekani na kuichukulia hatua kma kumuwekea vikwazo?
Vyote alivyo navyo Us china hashindwi kua navyo tena kwa production kubwa na gharama ndogo
 
Trump hana sifa hata moja ya mtu smart bali ana sifa zote za mtu juha
 
Vipo vingi sana saana kwa upande wa US na Ulaya. Mchina anachojua yeye ni wenzake waanzishe kisha yeye acopy.
 
Nilichogundua unaipigia chapuo China ila “reality” China inategemea invention na innovation kutoka USA

Mpaka pale itakapokuja nchi ya kuiwekea vikwazo Marekani ila kwa sasa China bado ni mtengenezaji na muuzaji wa bidhaa kutoka Marekani
Asipokuelewa na hapa mpotezee tu mkuu
 
Hapo atakupinga, jamaa humwambii kitu kuhusu China, ni kama vile ana bifu fulani na US.

Huwezi mkuta raia wa US anakuja kukapigania maisha huku dunia ya tatu. Wachina wanagombana na wazawa hadi serikali inaombwa kuingilia kati.

Investments walizofanya Magharibi huko China ni kubwa sana na hizi ndio zimeifanya China ipae juu kiuchumi. Bila Magharibi China isingefika hapo ilipofika.
 
Exactly! Apple kwa mfano 98% of its products are manufactured in China. Huo ni mfano mmoja. And this isndue to cheap labour! But technology yote inatoka USA.

Ila China iko very innovative, akiangalia tu anaiga na kutengeneza your products.
 
Hakipo kabisa, ushabiki tu wa mleta mada na mazezeta wengine.

Teknolojia kubwa leo hii tunazotumia, asilimia kubwa zimetoka America na Ulaya. Ni vile tu hii nchi ni masikini na tunashikamana na China sababu anafurahia upuuzi wetu wa kuuana.

Laiti tungeshikamana na Ulaya, bidhaa za ulaya zingeingizwa humu ndani na kuuzwa kwa bei rafiki, mbona watu wangepuuza kabisa bidhaa za China.
 
Ondoa ushabiki, kaa chini msome uliyemjibu alichouliza. Yeye ameuliza China ina kitu gani amekianzisha yeye from scratch? Hapo umetaja EV, internet, Nuclear bomb, hii ni sehemu ndogo ya maendeleo yote duniani. Je hata hizo sehemu ulizotaja, aliyeanzisha from scratch ni nani?

Hapa ndipo tunarudi kusema kuwa, sehemu kubwa ya maendeleo ya kiteknolojia duniani, waasisi wake ni America na Ulaya, China ni mtu anayefanya muendelezo tu.

Sasa tukirudi ktk mada aliyeleta huyo uliyemquote ndo anasema kuwa, China ni bado saana mbele ya US sababu US ni kama mwalimu wake na yeye China ni mwanafunzi anayechukua maarifa kutoka kwa mwalimu wake USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…