Laptop, Computerz za kawaida na vifaa vyake vyote, ulaya na America wameanzisha viwanda China.Exactly! Apple kwa mfano 98% of its products are manufactured in China. Huo ni mfano mmoja. And this isndue to cheap labour! But technology yote inatoka USA.
Ila China iko very innovative, akiangalia tu anaiga na kutengeneza your products.
Umesema vyema, yule mzee ni muongo na mjinga halafu anasumbuliwa na egoTrump hana sifa hata moja ya mtu smart bali ana sifa zote za mtu juha
Lete hapa hizo nyuzi kama ushahidiJamaa huyu huyu mleta mada akawa anaanzisha mathread balaa kwamba Rais wa China ataanzisha vita na US,
Nina maswali 2Laptop, Computerz za kawaida na vifaa vyake vyote, ulaya na America wameanzisha viwanda China.
Sasa mbona China wana brands zao za hizo bidhaa ukiacha brands za Ulaya na Marekani?Laptop, Computerz za kawaida na vifaa vyake vyote, ulaya na America wameanzisha viwanda China.
Ishu za madawa, nguo n.k magharibi wameweka viwanda China, sasa huo usuperior wa China sijui unatoka wapi kama huyu shabiki wa China anaouleta hapa.
Umesema vyema
Unajua nchi za Magharibi huwa zinashangazwa sana China, maana ni taifa ambalo limeibuka na kuwa na nguvu kiuchumi bila kutumia nguvu za vita kama wao.
Marekani wanaamini kwa kuwa Marekani ilinyanyuka na kuwa Superpower kwa njia ya mtutu basi ili kumaintain hilo waendelee kutumia matumizi ya nguvu. Dunia imebadilika
Tatizo lingine la Trump ni ego, mshindani wake kiuchumi anamwambia U.S is a declining state anamtupia lawama Biden
Kwa mtu mwenye upeo angeelewa Xi anachomaanisha na angemshukuru
Marekani kwa miaka 12 (Trump, Biden, Trump) imeongozwa na marais ambao hawaendani na dunia ya sasa
Raisi atakayekuja atakuwa na kazi ya ziada
YeahHayo maneno aliyo ambiwa trump na Xi aliambiwa huku watu wengine wakiwa wanasikia !?
Hana mpinzani katika angle gani? Maana kama sokoni BYD kashampita1. Hii ya EV cars Tesla hamna mpinzani
2. Hizo electronics unazoongelea ni hizi Design in USA, Made in China au kuna zingine ambazo ni Made in China, From China
Nipe mfano wa hizo electronics?
Hakuna internet ya Marekani ni internet ya kimataifa3.Internet inatoka Marekani inasambazwa Duniani kote
China ndiyo nchi yenye kasi kubwa zaidi duniani ya kujenga vinu vipya vya nyuklia, na tayari inaongoza dunia kwa idadi ya vinu vilivyo kwenye ujenzi4. Nuclear bombs ni za Energy sio Vita,
Ikiwa China ingekuwa inauza tu bidhaa Kariakoo au nchi masikini pekee unafikiri ingeweza kuwa taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani?5. Hizi bidhaa za Made in China zinazopatikana Home City, Kariakoo, na Maduka mengi ya Kichina ndio amezitumia kuteka soko la Dunia? Huwezi kua Serious
Trump amechelewa kuingia ikulu akina Obama na Biden ndo wamesababisha hadi nchi kama Iran inajijenga kijeshi nahao China, Trump anajitajid kusort out japo amechelewaTrump ni rais ambae analisababishia taifa lake litumie nguvu kubwa mno katika kujisafisha!,kujitetea na kujiimarisha!. Naweza kusema trump ni rais mwenye upeo mdogo haendani na dunia katika kusukuma kete zake ni kama rais tu wengi wao wa huku bara la giza!, akiamini matumizi ya nguvu, hisia n.k
-China sera zake za kimataifa sio za kujiingiza katika vita. Hiyo Iran unayoiona hadi ilipofikia wakati wa vita ilipewa silaha na China pamoja na msaada wa satellite images kutoka China wa kambi za Marekani na Israel mashariki ya kati. China ina war pact na nchi moja tu North Korea. Ukiivamia North Korea tegemea China ikushukie kama mwewe.History umetoa kwenye kitabu kipi?
Swali jingine, wakati Marekani anafanya operation pale Straight of Hormuz na kuleta madhara ya Fuel Prices world wide nilitegemea China angeenda kumzuia
Wakati Marekani ananenda Kumteka Maduro nilitegemea China ingeenda kumzuia
Wakati Russia anawekewa vikwazo vya Kiuchumi nilitegemea Nchi kubwa na yenye uwezo kama China ingeingilia kati na kwenda kumzuia
Je mpaka leo ni kipi China amefanya cha kuionya Marekani kwa matendo yake hayo na kuiwekea vikwazo?
EV Kwasasa anayeongoza kwa mauzo na uundaji wa best EV ni BYD China. Embu acha ubishani wa kitoto mtu mzima wewe. BYD imeipiku tesla kwenye uundaji wa EV bora na uuzaji pia.1. Hii ya EV cars Tesla hamna mpinzani,
Electronics ambazo ni designed na made in China zinauzwa ndani ya USA. Kuna muda embu fanya tafiti internet unayo.2. Hizo electronics unazoongelea ni hizi Design in USA, Made in China au kuna zingine ambazo ni Made in China, From China
Big NO ubishani mwingine wa KIPUMBAVU. China ina internet yake yenyewe haitegemei toka popote hususan USA.Nipe mfano wa hizo electronics?
3.Internet inatoka Marekani inasambazwa Duniani kote
China ina nuclear weapons za kivita zenye nguvu kuliko za USA. Na imeunda HYDROGEN BOMB ambayo ni hatari na ina uharibifu mara kumi ya nuke na hilo bomu analo CHINA peke yake. Na kuhusu nuclear energy China ndio anaongoza.4. Nuclear bombs ni za Energy sio Vita,
China anaunda bidhaa kulingana na uhitaji wa nchi.5. Hizi bidhaa za Made in China zinazopatikana Home City, Kariakoo, na Maduka mengi ya Kichina ndio amezitumia kuteka soko la Dunia? Huwezi kua Serious
Copy wewe kama ni rahisi. Mbona taifa lako maskini hadi sasa limeshindwa ku copy!?Vipo vingi sana saana kwa upande wa US na Ulaya. Mchina anachojua yeye ni wenzake waanzishe kisha yeye acopy.
Mbona Marekani hawakuenda kuanzisha hivyo viwanda Taiwan au hata hapa Tanzania!?? Stupid fool China kuna BEST SKILLED LABOURS ambao ukiwapa kazi wanakuundia kitu bora ndio maana hao wenzako wameenda kuwekeza huko. Na licha ya yote mbona hawataki kuondoa hivyo viwanda!?Laptop, Computerz za kawaida na vifaa vyake vyote, ulaya na America wameanzisha viwanda China.
Wametafuta highly skilled labours and great supply chain ndio maana hujawaona wakiwekeza kwingine.Ishu za madawa, nguo n.k magharibi wameweka viwanda China, sasa huo usuperior wa China sijui unatoka wapi kama huyu shabiki wa China anaouleta hapa.
China hakuwahi kuufyata Nancy Pelosi alipotembelea Taiwan. Alitoa onyo na alichukua hatua za kidiplomasia.Peros alikuwa na safari ya kwenda Taiwan miaka michache nyuma. Jamaa huyu huyu mleta mada akawa anaanzisha mathread balaa kwamba Rais wa China ataanzisha vita na US, mara US kaufyata hatoenda Taiwan n.k ngoja nitafute ile thread kisha nitaipandisha. Matokeo yake Peros alienda Taiwan na China akaufyata mkia, jamaa akawa hana majibu. Ana ushabiki wa kipuuzi sana juu ya China na US.
Unajua huyu jamaa kuna muda unaweza ukajiuliza ni anaishi sayari ya Jupiter ama vipi!?Ikiwa China ingekuwa inauza tu bidhaa Kariakoo au nchi masikini pekee unafikiri ingeweza kuwa taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani?
Nenda Ulaya, Marekani, Canada, Australia uone malls zilivyojaa bidhaa "Made in China"
China is utilizing all those at highlyhili taifa kubwa la China ni kipi wanajivunia kwa kukivumbua wao na kuuzia dunia?
Kwa Marekani kuna
Nuclear Bombs
F35
Boeing
A.I
Android
Windows
Mac
IOS
ARV’s
Internet
reUsable Rockets
Na mengine mengi mengi mengi kwenye sector ya Afya kama chanjo kede kede amabyo yamefanya binadamu tuweze kufika hapa
Kwa Upande wa China ni kipi alichonacho ambacho amefaidisha Dunia na kufanya apate jeuri mbele ya USA?