2 na 4 tu ndiyo na-buy, tena 2 naiboresha, kwenye rushwa naweka 'wala rushwa'.Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .
Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.
Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Hilo la kwanza atakuja kuandika Kitabu Cha majuto kama wenzake akina Mwinyi na Mkapa.Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .
Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.
Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Bila kushughulika na la kwanza atapiga march time kama mtangulizi wake tu.Kupenda kutukuzwa
1. Hilo la Katiba limekaa vibaya kwa sababu njia pekee ambayo Wasaliti wetu watamshangilia ni kushindwa CCM. Njia pekee kumridhisha mtu kama Maria Sarungi ni kuona Rais wa upinzani sijui mbowe sijui tundulissu. It is tails you lose, heads I win.Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .
Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.
Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Atavuna anachopandaUkilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .
Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.
Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Kwahiyo b… tumekubaliana kwenye namba 4?2 na 4 tu ndiyo na-buy, tena 2 naiboresha, kwenye rushwa naweka 'wala rushwa'.
Ova
Kwa wanaokumbatiwa kikweli huyo aliyetajwa ndiye asiye na madhara kabisa, sema yeye anaponzwa na umaarufu wake.Kwahiyo b… tumekubaliana kwenye namba 4?
$250 milioni ndani ya miaka mitano. Tafsiri ni $50 milioni kila mwaka! Baada ya hapo mwarabu anavuna kwa miaka mingine 25 bila ya bugdha toka kwa yeyote.Kuuza bandari kwa Bei ya kutupa
Ngoja nifafanue nilivyo elewa mimi.Atavuna anachopanda