Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Tuambie nn kafanya kuinua uchumi wa nchi. Sisi tunataka maendeleo na si kujivunia kuunganishwa. We want a great nation economically. Ni dhaifu na Hafai kuendelea kuongoza nchi yetu
Ndo haondoki sasa. Mama bado yupo sana na akimaliza yake mitano tena watoto wa mjini wanampa mwenzao mwingine.
 
katika mambo tunayokosea sisi watanzania ni wepesi wa kulaumu na kukosoa kuliko kushauri na kupendekeza...
 
Mengine no comment siyajui mimi ila Mama kupenda kutukuzwa kwangu hapana, binafsi sijaona mahali Mama anasema atukuzwe naona ni watu wamebuni staili yao ya kujipendekeza kwa Mama wapate vyeo
 
Back
Top Bottom