Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Aogope Sana 'Binadamu' ni Wanafiki mno na wenye kubadilika ghafla kutokana na Maslai hasa wanaomzunguka.
 
Kuupigapiga chenga mchakato wa katiba na kuwafanya watu wote hawana akili, inamfanya aonekane ni mtu mnafiki sana. Mara sijui eti watu wapewe elimu ya katiba miaka mitatu, mara sijui tume ikusanye maoni, lakini kumbe lengo lake kuu ni kuhakikisha katiba mpya haipatikani, ni unafiki wa hali ya juu na inamfanya asiaminike.
 
La katiba mpya linadhihirisha unafiki wa Rais Samia.

Kutoa sababu sijui za CHADEMA, sijui Mbowe ni kuthibitisha uduni wa fikra wa mchangiaji hoja. Watu wanazungumzia katiba ya nchi yeye amekwisharukia mambo ya CHADEMA!!
 
Akitaka aache Legacy ya kukumbukwa angalau alete katiba mpya. Hicho ndo kikubwa zaidi

Hilo haliwezi. Mambo yote makubwa ya msingi yamemshinda. Ameshindwa la katiba, ameshindwa kutengeza mifumo, anafurahia kusifiwa na low minds, wanafiki na wevi wa pesa za nchi.
 
Mada kama hizi ni Kaa la moto lililo chomekwa kwenye visambwanda vya lucas Mwashambwa
 
 
Kuna style mpya makungwi tume introduce ya mamaKauzaBandar ukajaribu hii humuachi kamwe
 
Kabisa huyu mama ni mhalifu na mtapanyaji mkubwa wa fedha za umma.
 
Jambo la tano nafikiri kwa sasa haliwezi kuonekana- uwekezajo bandarini. Walituambia miundombinu itaboreshwa, ufanisi utaongezeka na mapato yataongezeka maradufu. Walisema mapato ya bandarini yatakuwa zaidi ya thelusi (1/3) ya bajeti ya Tanzania. Sasa subiria matokeo yake.
 
Sahihi..
 
Kutukana Kiongozi mkuu wa nchi ni sawa na kula nyama ya Mtu hauwezi kuacha ๐Ÿผ
 
Ukiacha Mwinyi, huyu ndio worst president ever to happen to this country.
 
Tuambie nn kafanya kuinua uchumi wa nchi. Sisi tunataka maendeleo na si kujivunia kuunganishwa. We want a great nation economically. Ni dhaifu na Hafai kuendelea kuongoza nchi yetu
 
Muulizeni Lema na yule mmbwa wa mbeya(mdude)
 
Misukule ya mzee Mbowe ni laana ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ