Mambo 7 yanayodhihirisha ubora wa katiba inayopendekezwa.

Kweli wewe hujaisoma na hujaelewa kitu hapo, hizo ni baadhi ya sehemu ama vipengele muhimu vilivyomo kwenye Katiba hiyo, sio kwamba viko hivyo tuuu, dah kusoma kumbe ni shidaaah eenh! duh rudi darasani tena kwanza.

wew ndo haujanielewa eb soma tena post yangu...hz division 5 huwa hazielewi kabisa duh
 
wew ndo haujanielewa eb soma tena post yangu...hz division 5 huwa hazielewi kabisa duh

HUNA JIPYA WEWE KALALE TU KAMA UNAUSINGIZI ILI UKUE, weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.
 

HUNA JIPYA WEWE KALALE TU KAMA UNAUSINGIZI ILI UKUE, weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.
 

HUNA JIPYA WEWE KALALE TU KAMA UNA USINGIZI ILI UKUE, weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.
 

isome, ielewe, then ndo uje kwangu ukiwa na hoja za msingi na sio pumba unazoendelea kubwabwaja humu ndani.
 

isome, ielewe, then ndo uje kwangu ukiwa na hoja za msingi na sio pumba unazoendelea kubwabwaja humu ndani.
 
Katiba iliyoandikwa na wezi.... .mafisadi......wala rushwa........unategemea iwe safi???........ipo kimasrahi ya mafisadi kuwatanulia mianya yao ya kula fedha za walala hoi...... Am sorry mr. Chenge Vijisenti...

isome, ielewe, then ndo uje na hoja za msingi na sio pumba unazoendelea kubwabwaja humu ndani.USIWE BENDERA FATA UPEPO.
 
HUNA JIPYA WEWE KALALE TU KAMA UNA USINGIZI ILI UKUE, weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.
Before posting anything serious like this You should remember first that you are not the determinant of my sleepy, Only God know when I am going to sleep. I am seeing you as among the national killers who roaming about day and night in the social networks to defend the public fund fraudsters. You are claiming to be a saint, while you are not. Who knows may be you are among the beneficiaries of the daily scams in our beloved nation, you are eating the human fresh by swindling the public funds. Off-course there is no difference the cannibals and the fraudsters. I am seeing with my open beautiful eyes, you are fighting to death to make sure your agenda passes. Worry not it will pass, And if it doesn't it will be made pass through the tunnel, everything is possible. But note that the day will come all this will end, and that time is very near when the sons of darkness will be overpowered by sons of light. Remember the light of Calvary can't overshadowed. Take it or leave
 
weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.
Read between the lines, acha mihemko. Kama umeumia kwa nilichoandika pole halikuwa lengo langu kukujeruhi bali kukuelewesha misingi iliyong'olewa na akina chenge
 
HUNA JIPYA WEWE KALALE TU KAMA UNAUSINGIZI ILI UKUE, weka porojo zako at the end of the day you will vote "yes" kama umeielewa.

B 2 Stealth Bomber minus Bombs and stealth properties! (i.e Brains without gray matter!) Bs; usifanye kupost post thread hapa hobby au kupoteza idle tme yako; you need to have what it takes kupost kitu hapa kikapata positive acclaim; ukileta uji uji na story za vijiweni utakutana na mawe mpaka upate msongo wa mawazo, unacheza wewe na JF; Linaitwa jamvi la Great thinkers; kama unaelewa maana ya kauli hiyo!! sio watu wa mipasho na bongo flava! great thinker; you have to put your mind into gear! think; cogitate and ponder kabla hujabatuka kupost ujiuji hapa! pole. you are not in my league!
 
katiba iliyoandikwa na wezi.... .mafisadi......wala rushwa........unategemea iwe safi???........ipo kimasrahi ya mafisadi kuwatanulia mianya yao ya kula fedha za walala hoi...... Am sorry mr. Chenge vijisenti...

kaisome wewe acha kelele humu ndani, hujasoma unabwata bwata.
 

jamaa kakuumiza sana eeenh? Pole sana ndo ukubwa huo vumilia tu lakini hii ngoma inapita hata uende kwa sangoma!!
 

majibu yako tuu yanajidhihirisha jinsi ulivyo shabby, hata katiba yenyewe inayopendekezwa hujui hata rangi ya cover, sembuse sura zake na ibara zake? Hujui kuweka hoja unajifanya kuchanganya lugha za kihuni huni humu ndani tukuone wewe mmarekani au unajua sana kiingereza? Huna jipya kasome "ngumbaru" uelimike maana madarasa yamekupita hata kuchambua hoja na kujibu hujui, pole sana ndugu yangu vumilia najua maneno yangu yamekuumiza akili sana, lakini ndo basi tena...katiba hii ni "yes" mwisho wa siku, na hata wewe utapiga "yes" coz unajua uzuri wake.
 

kwanza nautilia shaka uraia wako, inabidi nikufuatilie, pili tumia lugha ya taifa usijifanye unajua kiingereza humu ndani ukataka sifa, nenda katika mada husika tumia kiswahili kwa faida ya wengi, mie sie mwenzako, kama maneno yangu yamekuuma sana basi vumilia ndo ukubwa huo lakini katiba hii imetulia, ushauri wangu ni kwamba nenda kaisome upya kipengele hadi kipengele kisha uje na hoja zenye mantiki tena utumie lugha ya taifa ili wengi wajue. Hatupo kutambishiana kiingereza humu jf.
 

kwa kweli umejitahidi sana kujifanya mstaarabu sanaa.... kwa kutumia swaeglish,haijalishi,nadhani swala la msingi hapa ni wewe kujielimisha kwanza kabla ya kuingia hapa na kuanza kuchangia mada ili uwe na uelewa wa kutosha na pale unapoishiwa basi utulie,nimesoma kwa umakini hoja zako du kweli kaa chini ujitafakari tena na tena kama unaendana na uliyoyaandika,sina maana hijitambui la hasha, ila nimeshangaa kuona hayo uloyaandika. uwe na mawazo chanya itakusaidia kujenga hoja,Unaonekana umekata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…