Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Nimeishia kucheka.

Hiyo siku ni unknown, ila tu katika pitapita zako unazosoma, itafika wakati utakiri tu.
Mimi kukiri wala si issue.

Inawezekana kabisa nikapata sababu za kukiri Mungu yupo. Watu wengine huwa wanalemewa na matatizo na kuishia kukubali kuwepo kwa Mungu kama kimbilio la kuwapoza moyo kisaikolojia.

Au wengine hupata mafanikio makubwa sana wakajiona hawajaweza kupata mafanikio wao wenyewe, lazima wamesaidiwa na Mungu.

Kwa hivyo, hata kama Mungu hayupo, mtu anaweza kukiri Mungu yupo.

Hivyo, kukiri tu si jambo muhimu. Kwa sababu halithibitishi Mungu yupo.

Issue ni, hata nikikiri, huyo Mungu atakuwepo kweli? Inawezekana kuthibitisha yupo? Inawezekana kuondoa contradictions katika hoja za kuwepo huyo Mungu?

Mpaka sasa hoja za kimantiki zinaonesha hayupo.
 
Kwanza kabisa, umefanya logical fallacy ya non sequitur, umelazimisha supernatural power iwe Mungu.

Lakini pia, hoja yako, kwamba kila kitu chenye complex order ni lazima kiwe kimeumbwa na kilicho na complex order kubwa zaidi, ingawa kijuujuu hoja hii inaonekana inatetea uwepo wa Mungu, ukiitazama kwa kina utakuta haitetei uwepo wa Mungu.

Hoja yako inatuonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo.

Kwa sababu, ukisema tu kwamba kila complex order ni lazima iwe imeumbwa na complex order kubwa zaidi, utajikuta hata huyo Mungu naye atahitaji Mungu wake wa kumuumba, na Mungu wake naye atahitaji Mungu wake wa kumuumba, hivyo hivyo bila mwisho.

Na hapo utaona kuwa hakuna Mungu muumba vyote.

Hoja yako inathibitisha Mungu huyo hayupo.

Wewe hujaiangalia kwa kina tu.
 
Bahati mbaya, Yesu halazimishi watu kumkubali. Hata kipindi yupo anafanya kazi live, wala hakujisimbua kulazimisha mafarisayo na wengine waliompinga kumwamini
Yesu anataka umkubali kwa hiari yako, wala hatumii mabavu
Yesu halazimishi watu kumkubali.

Kwa sababu hayupo.

Ili alazimishe watu kumkubali, inabidi awepo kwanza.
 
Aiseee
 
Khaaaaaa
 
Kwamba Yesu alisulubiwa akafa, halafu akafufuka na kupaa🤣🤣🤣
Kweli wagalatia ni zaidi ya mapoyoyo
Ndio maana kutapeli ni kawaida kwa wagalatia kutumia hiyo dini ya kizwazwa
Mwamposa anapita mulemule, na sasa TB Joshua tulisema ni kibaka tu ndio sasa wameelewa
 
Kwa Mungu hatuna mantiki, ni mwendo wa imani tu.
Kama ni jambo la imani tu, hata mimi naweza kukuambia mimi ndiye huyo Mungu, amini tu, kwa sababu kwa Mungu hakuna mantiki, ni imani tu.

Utabisha vipi bila kutumia mantiki?
 
Ukiweka Logic mbele, Biblia inaweza kujitetea kuliko Quran
 
Ukiweka Logic mbele, Biblia inaweza kujitetea kuliko Quran
Lakini pia Boblia nayo imejaa contradictions ambazo nikikuwekea hapa huwezi kuzitatua kimantiki.

Kitu kinachoonesha Biblia ni kitabu kikichoandikwa na watu tu, kina makosa ya basic logic yanayoonesha hilo, na hakina utakatifu wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…