Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Mtume aliacha mrithi wake aliyeitwa abubakar baadae akaja umar na baadae akaja ,othman na baadae aliy,huyu aliy ndio aliwazaa husein ana hasan kupitia mtoto wa mtume fatma.nadhani effect ya mtu imeonekana sana hadi hii leo na kaburi lake lipo dunia imeharibika sana kupitia falsafa zake,hao wengine sijui lakini huyu inaonekana alikuwepo na aliasisiwa na roman catholic ili apambane na wayahudi
 
Mtume hakuacha mrithi

Kulikuwa na kwa makundi mawili moja lilikuwa linamuunga mkono Ali lingine Aboubakari
 
Ha ha ha

Kumbe unasoma pia kuhusu Yesu. Unamjua hadi Josephus
Nimefarijika sana. Kile kitendo cha kutafuta habari nje ya biblia kuna tumaini sana...!! Ni wachache sana, wewe, mimi na wengine tunasoma.

Iko siku utasema, Mungu yupo.

Ni kweli Yesu alikuwa na ndugu zake hata maandiko yanasema. Biblia imewataka kaka zake, Yakobo huyu James na Yohana, imetaja pia umbu(, dada) zake.
 
Shida yako, humjui Mungu na hujui tabia zake, hujui mipango yake.

Yaani unavyomuwaza au unavotaka awe, sivyo hivo, ndio maana unapata tabu na kuamua kusema hakuna Mungu.

Hivi kweli Kiranga jinsi binadamu alivyotengenezwa, wanyama, dunia, mimea na viumbe vyote kwamba kuna super natural poewe behind??
 
Mabikra 72 muislam akifa shahidi
 
Mimi natafuta elimu sana, nimesoma si Biblia tu, bali mpaka Dhamapada,Tripitaka, Rig Veda, Talmud, Egyptian Book of the Dead, Tibetan Booknof the Dead, Tao Te Ching na anthologies kibao za falsafa ya dini.

Ukisema ipo siku nitajua Mungu yupo, hiyo ni statement ya imani, mimi sipendi kuzungumzia imani, napenda kuzungumzia facts.

Hivyo ukiniambia ipo siku nitajua Mungu yupo, niambie umejuaje, hiyo siku ni lini, ikiwezekana tuijue turudi hapa kuhakiki.

Yesu alikuwa mtu tu, ndiyo maana alikuwa mpaka na kaka na dada zake.
 
Huwezi kujua kile ambacho hakipo.

Sijaongelea lolote kuhusu ninavyotaka Mungu awe, naongelea logical inconsistensies katika maelezo ya kuwepo kwake.

Unajuaje kuna supernatural power?

Unaelewa kwamba ukisema kwamba order haiwezi kutokea yenyewe ni lazima itengenezwe na order kubwa zaidi, kimsingi unakataa uwepo wa Mungu muumba vyote hapo?
 
Bahati nzuri ni kuwa Kila mmoja anajua anachofikiria kichwani make, tuishi halafu tufe.
 
FaizaFoxy ni mfuasi wa fuska mudi
 
Kwa nini mnahangaika kumtetea Yesu....kama vile hayupo...si alifufuka na kupaa na kuahidi kurudi...sa nguvu/povu za nini wakati yupo hai...mwacheni ajitetee mwenyewe. Siku akiona uzi huu na nyuzi nyingine nyingi kama za Kiranga ataamua mwenyewe nini cha kufanya acheni kupoteza muda.
 
Huu ndo ukweli ila wajukuu wa mudi watakuja kukutukana
 
Wanahangaika kumtetea kwa sababu hayupo.

Angekuwepo angesawazisha mwenyewe.

Yesu hana roho mbaya ya kutuchunia na kutupotezea hivyo.
 
Nimeishia kucheka.

Hiyo siku ni unknown, ila tu katika pitapita zako unazosoma, itafika wakati utakiri tu.
 
Acha uongo na wewe...
 
Kwa jinsi binadamu alivoumbwa, mifumo inavyofanya kazi, viungo vilivipangiliwa n.k, nikiangalia wanyama, mimea, na viumbe wengine, bahari, upepo, mvua, naona wazi kuna kitu au mtu au nguvu fulani aliyefanya hivi, Super natural power...ambaye ni Mungu.
 
Kwani unafikiri hata wakati yupo, alihangaika basi kujitetea kwa waliompinga? Aliwaacha tu.
 
Wanahangaika kumtetea kwa sababu hayupo.

Angekuwepo angesawazisha mwenyewe.

Yesu hana roho mbaya ya kutuchunia na kutupotezea hivyo.
Bahati mbaya, Yesu halazimishi watu kumkubali. Hata kipindi yupo anafanya kazi live, wala hakujisimbua kulazimisha mafarisayo na wengine waliompinga kumwamini
Yesu anataka umkubali kwa hiari yako, wala hatumii mabavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…