Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Sema nimetania ila hatuja pishana sana, sema ndio hivyo nilipata mtoto mapema asee , kijana wangu wa kwanza now ana 18😊 katimiza juzi tu ina raha yake na karaha pia.
Me Binti yangu yupo darasa la 4
Nilikazaa nikiwa mwaka 1 chuo
 
Watu miaka 35 na hakuna Ata mtoto wa kusingiziwa bado tunnatafuta hela
Sema nimetania ila hatuja pishana sana, sema ndio hivyo nilipata mtoto mapema asee , kijana wangu wa kwanza now ana 18😊 katimiza juzi tu ina raha yake na karaha pia.
 
Hapo tumejifunza siyo lazima uoe ndiyo uwe na familia(watoto) . Kumbe unaweza kataa ndoa na bado ukazalisha fresh tuu..
 
Umesema kweli, lkn ukweli mchungu mkuu,na mbona umetumia maneno makali Kama mbuzi wewe!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…