Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

Kabisa mkuu ila kwangu mimi hiyo nimewaachia vijana kwa sasa😁
Wee starehe haina vijana wala wazeee...alisema mwingi ndugu zangu ugo jwa umemaa pabaya...vijana wanapataka wazee wanapataka🀣🀣🀣🀣
 
Yes n umri sahihi miaka 21 kijana anamaliza Chuo mtaani 🀣anarudi kusumbua tu
Kijana wa chuo ina bidi ajiongezee, kipindi hicho pale dodoma sisi ndio tulikua na maduka ya mwanzo ya wanachuo pale ngongona mkuu , kwa sababu tulisoma huku tukijua tumeacha familiaπŸ€”
 
Wee starehe haina vijana wala wazeee...alisema mwingi ndugu zangu ugo jwa umemaa pabaya...vijana wanapataka wazee wanapataka🀣🀣🀣🀣
Mkuu humu unaonekana kama unanuka mbususu mda woteπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu humu unaonekana kama unanuka mbususu mda woteπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa sii bora nanuka mbususu wapo wanao nuka mavi 🀣🀣🀣🀣
 
Nashukuru min -me, najua.
Nakumbuka kuna wakati fulani ililetwaga mada kama hii watu waliponda vibaya kuhusu umri na mafanikio, wanasema vinapishana sana πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mafanikio yanapatikana kwenye umri wowote ule wala hakuna haja ta kujipa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…