Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna mwanangu akiwa anakula bata huwa ananipigia video call ili anivimbie sijui, utakuta mda huo mm nipo gheto kizembe... huwa nacheka tu haya ni maisha, simply put tusiyachukulie serious sanaMa snitch niliosomaga nao wakapata kazi kabla yangu. huwa wananipigia video call waone jinsi nilivyochapiwa na life.
Kuna mwanangu akiwa anakula bata huwa ananipigia video call ili anivimbie sijui, utakuta mda huo mm nipo gheto kizembe... huwa nacheka tu haya ni maisha, simply put tusiyachukulie serious sana
Na kuna mwana yuko US anapiga audio call hana mambo mengi... wakati kajamaa kaliko sinza kanasumbua
😅😅😅 Huwa akinipigia napokea nazima cameraKuna mwanangu akiwa anakula bata huwa ananipigia video call ili anivimbie sijui, utakuta mda huo mm nipo gheto kizembe... huwa nacheka tu haya ni maisha, simply put tusiyachukulie serious sana
Na kuna mwana yuko US anapiga audio call hana mambo mengi... wakati kajamaa kaliko sinza kanasumbua
Huwa napokeaga tu bila shida kama nilivyosema ni life tu... simple, leo unakula chakula 5 star hotel baadae unaenda choon kutupa na njaa inauma palepale why stressing over idiots😅😅😅 Huwa akinipigia napokea nazima camera
Mwana anataka akusalimie pokea cm 😂Hakuna kitu nachukia kama watu na hasa wanaume wanaopiga simu mfululizo hata mara sita wakati wanaona hazipokelewi...kuna mshkaji mmoja juzi tu ilibidi nimtukane nipo kwenye ofisi za watu na mabosi wa ofisi nasotea tenda furani jamaa kapiga mara ya kwanza na nlikuwa nimesahau kuweka silent mode nikashtuka na nikawashtua vigogo nikamute ilipokata akarudia .......akarudia.....akarudiaa kama missed call nane hivi . Kwa kweli nlipoteza confidence na ni bahati tu wale vigogo walinielewa .. baada ya kutoka nampigia mshkaji namuuliza nini shida anaanza kumaind mbona hupokei simu wakati mi nlikuwa nataka nikusakimie tu khaaah...nilimtukana aisee....
Nyongeza: unapokuwa na shida na bosi wako au kiongozi wako usimbeep na unapompigia hakikisha una Salio la kutosha kumaliza kueleza shida yako. Unapoishiwa Salio katikati ya maongezi na watu kama hao inaashiria yafuatayo4. Usim-beep mwanamke, mwana ndo atatatua shida ya mwana
5. Ukifuma mawasiliano ya mwana na demu wako, komaa na demu wako, sio kumzingua mwana
6.
Huwezi amini nilimtukana halafu nikamwambia asinipigie tena...we umepiga mara ya kwanza mtu hajapokea kausha kwanza hata nusu saa kama hajakutafuta ndio mchek tena hapokei tuma hata msg then tulia kabisa...sasa siku ya kazi halafu saa tatu asubuhi mtu anapigaaaa inakata anarudia anapigaaaa inakata hakimu anarudia anapigaaaa khaaaah....nadhan mshkaji hatorudia aisee...Mwana anataka akusalimie pokea cm [emoji23]
Ya 5.... Muhimu sana4. Usim-beep mwanamke, mwana ndo atatatua shida ya mwana
5. Ukifuma mawasiliano ya mwana na demu wako, komaa na demu wako, sio kumzingua mwana
6.
Wa hivi hua wanazingua sana aiseHakuna kitu nachukia kama watu na hasa wanaume wanaopiga simu mfululizo hata mara sita wakati wanaona hazipokelewi...kuna mshkaji mmoja juzi tu ilibidi nimtukane nipo kwenye ofisi za watu na mabosi wa ofisi nasotea tenda furani jamaa kapiga mara ya kwanza na nlikuwa nimesahau kuweka silent mode nikashtuka na nikawashtua vigogo nikamute ilipokata akarudia .......akarudia.....akarudiaa kama missed call nane hivi . Kwa kweli nlipoteza confidence na ni bahati tu wale vigogo walinielewa .. baada ya kutoka nampigia mshkaji namuuliza nini shida anaanza kumaind mbona hupokei simu wakati mi nlikuwa nataka nikusakimie tu khaaah...nilimtukana aisee....
Utasikia au ulidhani nakuomba helaHakuna kitu nachukia kama watu na hasa wanaume wanaopiga simu mfululizo hata mara sita wakati wanaona hazipokelewi...kuna mshkaji mmoja juzi tu ilibidi nimtukane nipo kwenye ofisi za watu na mabosi wa ofisi nasotea tenda furani jamaa kapiga mara ya kwanza na nlikuwa nimesahau kuweka silent mode nikashtuka na nikawashtua vigogo nikamute ilipokata akarudia .......akarudia.....akarudiaa kama missed call nane hivi . Kwa kweli nlipoteza confidence na ni bahati tu wale vigogo walinielewa .. baada ya kutoka nampigia mshkaji namuuliza nini shida anaanza kumaind mbona hupokei simu wakati mi nlikuwa nataka nikusakimie tu khaaah...nilimtukana aisee....
Mwana anataka akusalimie pokea cm [emoji23]