Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi.
3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu.
4 .........
Simu isipopokelewa usipige tena
 
Hata ukinipigia simu mara 10 nikaja kupokea halafu ukasema nilikuwa nakusalimia siwezi kuchukia zaidi ya kujua na mimi nina umuhimu .
Siwezi kukasirika kisa mtu kanipigia mara nyingi au ametuma sms nyingi.
Hata ukinipigia video call nikiwa sehemu inayoruhusu napokea kiroho Safi.
Siwezi kufanya maisha yawe magumu kisa simu
 
Missed call moja inatosha na sio kila kitu mpaka upige simu kama ukiweza tuma tu meseji!
 
Mwanaume ni marufuku kula Pipi Kijiti(Lolipop) hadharani,ukilazimika basi ivunje vipande kisha kula ikiwa vipande vipande sio kulamba kwenye kijiti kama wanawake
 
Hata ukinipigia simu mara 10 nikaja kupokea halafu ukasema nilikuwa nakusalimia siwezi kuchukia zaidi ya kujua na mimi nina umuhimu .
Siwezi kukasirika kisa mtu kanipigia mara nyingi au ametuma sms nyingi.
Hata ukinipigia video call nikiwa sehemu inayoruhusu napokea kiroho Safi.
Siwezi kufanya maisha yawe magumu kisa simu
Safi hii ndo inatakiwa ukikuta mtu kakutafuta zaid ya mara 3 na lengo lake lilikuwa nikukusalimia tiu basi jua nawe kuna mtu anaona umuhimu wako
 
Mie sipendi kupigiwa simu in general. Period. Hasa muda wa kazi na unapiga simu bila mpango, eti kunisalimia. Kama kuna dharura, nitumie message, na nitakutafuta as soon as possible. Na hata kama siyo wakati wa kazi, sipendi kupigiwa hovyo hovyo, maana hata mimi sipigi hovyo hovyo.
 
1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi.
3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu.
4 .........
4.. usipangie watu namna ya kuishi
 
Mie sipendi kupigiwa simu in general. Period. Hasa muda wa kazi na unapiga simu bila mpango, eti kunisalimia. Kama kuna dharura, nitumie message, na nitakutafuta as soon as possible. Na hata kama siyo wakati wa kazi, sipendi kupigiwa hovyo hovyo, maana hata mimi sipigi hovyo hovyo.
Kwanza siku hizi wapumbavu wanarekodi mkiongea.
 
hakuna haja ya kujiwekea mipaka ishi unavyotaka tumia simu unavyotaka ukiweza chukua hata namba kwenye magazeti pigia watu salimia waulize wanaendeleaje huko daslam maisha ni kuishi ishi vile we unaona sawa asiyepokea asipokee pigia mwingine ambae hana kazi kama wewe atapokea
 
Mie sipendi kupigiwa simu in general. Period. Hasa muda wa kazi na unapiga simu bila mpango, eti kunisalimia. Kama kuna dharura, nitumie message, na nitakutafuta as soon as possible. Na hata kama siyo wakati wa kazi, sipendi kupigiwa hovyo hovyo, maana hata mimi sipigi hovyo hovyo.
Kama hupendi kupigiwa simu uligawa number zako za simu kwa watu ili iweje?
 
1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
Swali: Je, najuaje sasa kama simu niliyopiga inataka kukatika yenyewe na hivyo nikate kabla haijakatika yenyewe?
Umeniimecheka sana leo!
 
Hata ukinipigia simu mara 10 nikaja kupokea halafu ukasema nilikuwa nakusalimia siwezi kuchukia zaidi ya kujua na mimi nina umuhimu .
Siwezi kukasirika kisa mtu kanipigia mara nyingi au ametuma sms nyingi.
Hata ukinipigia video call nikiwa sehemu inayoruhusu napokea kiroho Safi.
Siwezi kufanya maisha yawe magumu kisa simu
Nzuri hii watu tunapenda sana ku complicate maisha
 
Haya maisha jamani unakuta mtu anakutafuta ana inshu ya maana then haupokei simu. Inabidi apige tena. Ntatoa mfano. Kuna mshkaji alitafuta mara nne kunipa koneksheni ya kazi ya kazi ambayo alihitajika mtu haraka.

Mwingine mwenye hizi idea zenu alinifanya hakunipa kazi eti nimekupigia ktk laini ya tigo hukupatikana. Nimetoa mfano mmoja tu wa kazi lakini matukio ya muhimu yapo mengi kulingana na mtu na mazingira

Ninachoamini kinachotakiwa kuwa kipimo cha kupiga simu nyiingi ni umuhimu wa tukio ili hata ukiona missed call basi uone umuhimu wa call back
Piga mara moja isipopokelewa . Tuma ujumbe mfupi unaojielezea ulitaka mwambia nini. Then asipokujibu vuta hata lisaa mpigie tena asipopokea subiria yeye akutafute. Asipokutafuta ndio imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom