Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Au mtu anamenya ndizi ya kuiva halafu anaitia mdomoni mithiri ya wale wadada wa kwenye X wanavyoweka yale madubwana mdomoni.Mwanaume ni marufuku kula Pipi Kijiti(Lolipop) hadharani,ukilazimika basi ivunje vipande kisha kula ikiwa vipande vipande sio kulamba kwenye kijiti kama wanawake
Mwanaume unamenya ndizi halafu unaimega ndipo unatupia kile kipande mdomoni.