Simu isipopokelewa usipige tena1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi.
3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu.
4 .........
Hahah au sioShida ni kwamba mkuu alikua saiti[emoji38]
sasa mkuu what if huyo mtu anashida na wewe pekee ndo ulikuwa na uwezo wa kumsaidiaKutokumtafuta mtu niliyekuta missed call zake zaidi ya mbili (hili huwa nalichukulia kama usumbufu)
Piga simu mara moja, ukiona simu haipokelewi tuma SMS kama suala lako lina uzito basi nitakutafuta nikiwa na nafasi.sasa mkuu what if huyo mtu anashida na wewe pekee ndo ulikuwa na uwezo wa kumsaidia
Safi hii ndo inatakiwa ukikuta mtu kakutafuta zaid ya mara 3 na lengo lake lilikuwa nikukusalimia tiu basi jua nawe kuna mtu anaona umuhimu wakoHata ukinipigia simu mara 10 nikaja kupokea halafu ukasema nilikuwa nakusalimia siwezi kuchukia zaidi ya kujua na mimi nina umuhimu .
Siwezi kukasirika kisa mtu kanipigia mara nyingi au ametuma sms nyingi.
Hata ukinipigia video call nikiwa sehemu inayoruhusu napokea kiroho Safi.
Siwezi kufanya maisha yawe magumu kisa simu
Daaah pole mkuu.Ma snitch niliosomaga nao wakapata kazi kabla yangu. huwa wananipigia video call waone jinsi nilivyochapwa na life.
4.. usipangie watu namna ya kuishi1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi.
3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu.
4 .........
Kwanza siku hizi wapumbavu wanarekodi mkiongea.Mie sipendi kupigiwa simu in general. Period. Hasa muda wa kazi na unapiga simu bila mpango, eti kunisalimia. Kama kuna dharura, nitumie message, na nitakutafuta as soon as possible. Na hata kama siyo wakati wa kazi, sipendi kupigiwa hovyo hovyo, maana hata mimi sipigi hovyo hovyo.
Kama hupendi kupigiwa simu uligawa number zako za simu kwa watu ili iweje?Mie sipendi kupigiwa simu in general. Period. Hasa muda wa kazi na unapiga simu bila mpango, eti kunisalimia. Kama kuna dharura, nitumie message, na nitakutafuta as soon as possible. Na hata kama siyo wakati wa kazi, sipendi kupigiwa hovyo hovyo, maana hata mimi sipigi hovyo hovyo.
Swali: Je, najuaje sasa kama simu niliyopiga inataka kukatika yenyewe na hivyo nikate kabla haijakatika yenyewe?1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
Nzuri hii watu tunapenda sana ku complicate maishaHata ukinipigia simu mara 10 nikaja kupokea halafu ukasema nilikuwa nakusalimia siwezi kuchukia zaidi ya kujua na mimi nina umuhimu .
Siwezi kukasirika kisa mtu kanipigia mara nyingi au ametuma sms nyingi.
Hata ukinipigia video call nikiwa sehemu inayoruhusu napokea kiroho Safi.
Siwezi kufanya maisha yawe magumu kisa simu
Piga mara moja isipopokelewa . Tuma ujumbe mfupi unaojielezea ulitaka mwambia nini. Then asipokujibu vuta hata lisaa mpigie tena asipopokea subiria yeye akutafute. Asipokutafuta ndio imeisha hiyo.Haya maisha jamani unakuta mtu anakutafuta ana inshu ya maana then haupokei simu. Inabidi apige tena. Ntatoa mfano. Kuna mshkaji alitafuta mara nne kunipa koneksheni ya kazi ya kazi ambayo alihitajika mtu haraka.
Mwingine mwenye hizi idea zenu alinifanya hakunipa kazi eti nimekupigia ktk laini ya tigo hukupatikana. Nimetoa mfano mmoja tu wa kazi lakini matukio ya muhimu yapo mengi kulingana na mtu na mazingira
Ninachoamini kinachotakiwa kuwa kipimo cha kupiga simu nyiingi ni umuhimu wa tukio ili hata ukiona missed call basi uone umuhimu wa call back