Nyongeza: unapokuwa na shida na bosi wako au kiongozi wako usimbeep na unapompigia hakikisha una Salio la kutosha kumaliza kueleza shida yako. Unapoishiwa Salio katikati ya maongezi na watu kama hao inaashiria yafuatayo
Hujiamini
Huna uhakika na jambo unalosema
Hauko Sirius na unalosema
Na ikiwa atakupigia mwenyewe kumalizia mazungumzo basi atakudharau na kujiona ni mkubwa kwako tuu hahaaaaaaa