Mambo ambayo nchi ya Marekani imezidiwa kwa mbali na nchi ya Tanzania

Me: "I'm from Tanzania"
American: "Did you say Tasmania?".

Wamarekani wengi hata hawajui Tanzania iko wapi kwenye ramani.
Kutoijua Tanzania aijustfy kwamba kuna mambo tumewazidi
 
Facts sawa lakini je zinatusaidiaje sisi raia wake,kama hazina msaada ni takataka,mimi ukiacha hiyo ya silaha na natural disaster vingine sioni umuhimu wake
Hii mzee ni habari taarifa lengo ni kukupasha habari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…