- Thread starter
- #41
Sijawahi mkuuInaonekana hujawahi kuishi na Wamarekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi mkuuInaonekana hujawahi kuishi na Wamarekani.
Jana katekwa nani,leo katekwa nan?Acha kuchadadia mamboKila siku watu wanatekwa bado unahubiri amani?
Tatizo linaanzia hapo.Sijawahi mkuu
We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4Tatizo linaanzia hapo.
Upo sahihi kabisa mkuuMambo ya kawaida
Jana katekwa nani,leo katekwa nan?Acha kuchadadia mambo
Nitaandika kesho leo tuishi humuUmesahau mambo mengine muhimu zaidi. Hayo yote uliyoyaandika, Tanzania haiwezi kujivunia kwa sababu hayakutokana na utaalam, bidii au ujuzi wao. Hayo wa kusifiwa ni Muumba wa mbingu na nchi.
Lakini kuna mambo ambayo tunaweza kujisifu, ambayo ni matokeo ya bidii yetu:
1) Kuteka na kuua wanaokataa kuwa machawa wa Rais.
2) Nchi pekee ambayo watawala hupora rasilimali asilia za nchi na kuwagawia wageni alimradi wao wakipata hongo iliyonenepa, na baada ya hapo machawa hushindana katika kuwasifu hao watawala.
3) Nchi pekee ambayo wananchi wake wameridhia kuongozwa na watu wenye akili na upeo mdogo.
4) Nchi pekee ambayo vyombo vya ulinzi na usalama, hasa polisi na TISS vipo kwaajili ya kupambana na watu wanaomkosoa mtawalabadala ya kushughulika na usalama wa wananchi na mali zao.
5) Nchi pekee ambayo mambo ya kijinga hupewa uzito mkubwa kuliko yale ambayo ni ya muhimu, kama vile nchi kukosa pesa ya kutoa elimu bora au huduma bora za afya, lakini ina pesa tele za kuwazungusha wasanii Duniani kote wakilipwa posho ya dola 1,000 kwa siku baada ya kuwalipia gharama zote, au kuwa na pesa tele ya kununua magoli.
6) Nchi pekee ambayo viongozi muda wote hawajishughulishi kufikiria ustawi wa Taifa, bali wanafikiria namna ya kubakia madarakani, iwe kwa njia za kishetani au njia halali.
Sasa ndiyo kila siku?Wewe kimeo kama hufuatilii vyombo vya habari ni juu yako. Juzi tu hapo Abdul Nondo alichukuliwa bado Kuna Tarimo alinusurika kutekwa, Ally Kibao, Sativa, baadhi ya wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kuuwawa. Hayo ni matukio machache tu.
SAsa kwanini sisi mamasikini mashenziIngiwa nchi ya Marekani ina maendeleo makubwa ya kiteknolojia na kiuchumi, yapo mambo kadhaa ambayo Tanzania tumewaacha mbali mno.
1. Rasilimali za asili na utalii wa kiikolojia
Tanzania kuna hifadhi maarufu kama Serengeti, Ngorongoro crater, na Mlima Kilimanjaro, ambazo ni kivutio kikubwa cha utalii wa kiokolojia duniani.
● Biodiversity, Tanzania ina aina ya wanyama wakubwa wa porini kwa wingi na aina mbalimbali ya mimea ikilinganishwa na maeneo mengi ya Marekani.
11. Utulivu wa kijamii na kitamaduni
Utamaduni wa ujamaa mshikamano wa jamii na maisha ya kijamii ya mjini na vijijini ni imara zaidi nchini Tanzania kulinganisha na Tanzania.
● Amani na usalama wa kijamii, Tanzania kuna amani ya kijamii ukilinganisha na Marekani ambapo kuna ghasia za mara kwa mara kwenye jamii zao.
111. Chakula asili na lishe
● Chakula kisicho na kemikali, Tanzania kuna uzalishaji wa chakula cha asilia huku sehemu kubwa ya wakulima wakilima chakula pasipo kutegemea asili kulinganisha na Marekani ambao kilimo chao utegemea njia zisizo asilia.
1v. Hali ya hewa
Tanzania kuna hali ya hewa ya joto na unyevuunyevu,huku maeneo mengi ya Marekani yakipata hali mbaya za hewa kama kimbunga,baridi kali na vimbunga.
V. Gharama za maisha nafuu
Gharama za maisha nchini Tanzania kama malazi ,chakula na huduma za afya ni ndogo ukilinganisha na Marekani.
Vi. Matumizi madogo ya silaha
Tanzania ina viwango vya chini vya umiliki wa silaha na matukio machache ya uhalifu wa kutumia silaha tofauti na Marekani ambako matumizi ya silaha ni makubwa na matukio ya ghasia yanayojumlisha matumizi ya silaha ni ya juu.
Lindi Nachingwea hujakaa na Wamarekani kwao. Wamarekani wanajua sana kubadilika na mazingira kama vinyonga hivyo ukiwa nao kwenu Lindi Nachingwea kwanza hujapata cross section ya Wamarekani umepata a peep of that, pili hata hao inawezekana walikuwa wamekupa uso fulani wa kukusoma huku wakiwa ugenini zaidi ya uhalisi wao.We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4
Hata mm sijui nikuulize wwSAsa kwanini sisi mamasikini mashenzi
Basi ww iliekaa nao kwao hongera ila nimeishi nao miaka ya kutosha mfano swala la hali ya hewa na urahisi wa maisha ndiyo ilikuwa nyimbo yao kila sikuLindi Nachingwea hujakaa na Wamarekani kwao. Wamarekani wanajua sana kubadilika na mazingira kama vinyonga hivyo ukiwa nao kwenu Lindi Nachingwea kwanza hujapata cross section ya Wamarekani umepata a peep of that, pili hata hao inawezekana walikuwa wamekupa uso fulani wa kukusoma huku wakiwa ugenini zaidi ya uhalisi wao.
Kama hujakaa na Wamarekani Marekani bado huna hoja ya kusema unawajua Wamarekani. Kuna Wamarekani wabishi mnaweza kutumia saa nzima kwenye mkutano mnajadili wapi muweke nukta tu.
Ukikaa nao hao ndiyo utajua Watanzania si wabishi kama Wamarekani.
Embu uliza weweKwaiyo wachangiaji mnataka kusema hamna jambo zuri lolote Tz inaizidi Marekani?
Rudi Nditi saivi kuna Wachina wana deal na Nickel.We Acha kujiona mwamba nimefanya kazi lindi nachingwea eneo linaitwa nditi mgodi wa wamerikani unaotwa access minerals yani toka mgjodi umefungwa hauna hata wiki 3,hao wamarekani nilikuwa nao daily miaka zaidi ya 4
Hata access minerals biashara yao kubwa kwa % ni nickelRudi Nditi saivi kuna Wachina wana deal na Nickel.
Mbele pale KIBUTUKA njia ya Liwale watu wanachimba dhahabu kwa Jembe
Hizi ni Id' mbili tofautiUmedilisha jina mkuu.. 🤔🤔 Lile la bird.... Ndo lilikuwa linakufaa