Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Cdf atakua anajua Zaid kwa kua ni m ex seminary siku moja atakuja kutuambiaga5. Nakataa mpaka kesho!
mbSijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Na maofisa wenzako wanakujua ni mmbeya kwahiyo huwa wanajadili ujinga ukiwepo ila ukitoka tu ndio wanajadili Madili ya helaUkikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga
2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa
3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons
4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.
5. Magufuli alikufa kwa corona.
6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.
7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.
8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)
Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.
Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Afisa usafirishaji au hujaona kasema wakiwa safarini bila Shaka anazungumzia Muda wakiwa wanasafirisha abiria.Hao "maafisa wenzako" ni hawa MAAFISA UTAMU au MAAFISA VINYEO?
Ati maafisa wenzangu?
Kumbe we jamaa ni USALAMA WA TAIFA?
Cc: dronedrake Poor Brain Mzee wa kupambania
🤣🤣 ila we jamaa. Hivi huwaga ni kweli hauamini Mungu kabisa kabisa ?Utasikia Mungu ni mwema anatenda mahali pasipo na njia , wewe kila kitu mwachie Mungu🚮
Bivi na wewe ni afisa au ofisaUkikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga
2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa
3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons
4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.
5. Magufuli alikufa kwa corona.
6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.
7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.
8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)
Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.
Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Aise umenichekesha sana this is funny ila akili zetu watanzania wakati mwingine, yani kwa umbeya na porojo tupo vizuri kwa kweliUkikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga
2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa
3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons
4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.
5. Magufuli alikufa kwa corona.
6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.
7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.
8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)
Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.
Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Mh embu acheni uzuzu sasa ajifiche kwa kitu gani, kwani angekuwa hai kama mamlaka zimeamua asifanywe chochote nini mtafanya5 na 6 kuna uwezekano mkubwa ni ukweli
Kwa nini unahisi napaswa kuamini mkuu😁😁😁🤣🤣 ila we jamaa. Hivi huwaga ni kweli hauamini Mungu kabisa kabisa ?
Mimi ndiyo maana sitaki kusafiri kwenda nchi za watu kwenda kutafuta maisha nakomaa hapa hapa kwa sababu ma zero brain wengi hapa nchini ni mtaji mkubwa kwa kutusua maisha kwa mwenye akiliUkikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga
2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa
3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons
4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.
5. Magufuli alikufa kwa corona.
6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.
7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.
8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)
Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.
Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Hapo kwenye Corona na Jiwe ✅Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga
2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa
3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons
4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.
5. Magufuli alikufa kwa corona.
6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.
7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.
8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)
Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.
Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Yapi mkuuKuna mambo mawili hapo ni ya kweli, niamini mimi
14. Mwalimu Nyerere alikataa kumpa mkono malkia Elizabeth wa Uingereza badala yake akampa kifimbo ashike kwa sababu malkia alivaa "Gloves" kama ishara hataki ashikane mkono na mtu mweusi.9. Huwi tajiri mpaka uwe mchawi. Pia huwezi kufanikiwa katika kuchimba madini mpaka uwe mchawi.
10. Mwenge kuhusishwa na Imani za kishirikina. Na kiongozi wa mbio za mwenge lazima afe siku chache tu baada ya kukimbiza mwenye.
11. Kilimanjaro na baadhi sehemu za nchi hazikupaswa kuwa sehemu ya Tanganyika. Mwl. Nyerere alifanya ujanja kuzileta Tanganyika.
12. Wachina hujenga usiku Kwa sababu za kishirikina.
13. Fimbo ya Mwl. Nyerere ilikuwa Inampa taarifa juu ya matukio ya mbele katika muda, kama vile ajari, hivyo Mwl. Alichukuwa tahadhari kabla ya kwenda sehemu fulani au kufanya jambo fulani.