Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Nina kitu cha ajabu sana katika maisha yangu.
Naweza kuwa nimetulia zangu mahali ghafla kwenye akili likanijia wazo kuwa...itakuwaje jambo flani likitokea hivi?

Au nasikia sautivikisema kitu...kama vile yale maandishi hutokea chini ya tv wakati wa taarifa ya habari.

Huwezi amini hilo jambo litatukia vile vile
 
...Ni Raia, ndio Wakawa Marais. Ni Raia kwanza. Je Marais wawili wa Marekani kati ya Raia Bilioni karibu Name wa Dunia Hawawezi Kuna na Mambo yanayofanana ? Na Kuna Kama Miaka Mia tofauti Yao ??
Leo Mwaka 2023 ni Miaka Mingapi baada Yao.
Imetuongezea lolote ?
Kuna wengine waliotokea kama hao ?
If there is anything between them, Mbona hawakufa Siku Moja wakiwa na Miaka sawasawa ?
Tusipoteze Muda Kwa Marais wa Marekani wa Miaka Mia iliyopita.
So what ...??

Tunayo mengi yanayotusibu !...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
shetani anaweza kuwa mungu lakin mungu hawez kuwa shetani
Yaan unamaanisha Shetani ni Mungu Ila Mungu sio Shetani? Au concept yako imekaaje? Kipi kinachomtenganisha Mungu na Shetani? Kipi kinafanya Mungu awe sio Shetani Ila Shetani awe ni Mungu?
 
Yaan unamaanisha Shetani ni Mungu Ila Mungu sio Shetani? Au concept yako imekaaje? Kipi kinachomtenganisha Mungu na Shetani? Kipi kinafanya Mungu awe sio Shetani Ila Shetani awe ni Mungu?
Hakuna kiumbe wa kumpa mungu laana maana kwenye spiritual rank as a soul or Uni mind yeye ndo top, nafsi saba za uwezo anazo yeye kitu ambazo ni kikubwa kuliko yeye ni neno lake mwenyewe
 
Lincoln aliuawa mysteriously. Hakuna aliyejua nani aliyemuua.
Kwa hiyo stage ilibidi ipangwe upya na actors wale.wale.
Lincoln alikuwa na secretary anaitwa Kennedy ambaye alimuonya asiende kwenye theatre.
Kennedy alikuwa na secretary anaitwa Lincoln aliyemuonya asiende Dallas.
Kwa hiyo stage ilikuwa set tena ili kuona kama muuaji atabainika.
Sasa Kennedy ameuawa,hakuna asiyejua nani kamuua Kennedy.
Naweza kuwataja wote waliomuua Kennedy.
But I don't want to get killed myself.
It is believed to be reincarnation,kwamba Kennedy na Lincoln ni mtu mmoja.
 
Hakuna kiumbe wa kumpa mungu laana maana kwenye spiritual rank as a soul or Uni mind yeye ndo top, nafsi saba za uwezo anazo yeye kitu ambazo ni kikubwa kuliko yeye ni neno lake mwenyewe
Hivi unajua Iblisi Shetani aliumbwa na Vito vingapi vya kung'aa, 9 au 12? Imebidi nikuingize ndani ya box
 
Ndio mara nyingi nawaeleza watu mbona kama nina kumbukumbu kwamba nilishawahi kuishi kabla ya miaka hii na mara nyingi naweza fika ugenini lakini nikawa na kumbukumbu kwamba upande huu kuna mto na unakuta ni kweli
 
Hii dunia before christo ilikuwa yake yeye ndo alikuwa Mungu wa hii dunia
Kwa hio baada ya kuja Kristo akaenda kumtoa pale juu akakaa Kristo? Kwa hio who is who Kristo or Lucifer au ni kiumbe yule yule Ila majina ni tofauti? Hii inafikirisha sana usije ukabomoa ubongo Mzee think out of the box
 
Safi sana umeandika Perfectly kasoro kitu kimoja tu..
Lucifer..
Umesahau hata Yesu naye alikuwa lucifer na anafahamika kama lucifer kwa lugha ya Kilatin or greek kama sijasahau
 
shetani sio jina ni utambulisho wa mlaaniwa, lucifer ni mlaaniwa shetani kwa Mungu Yehova lucifer its just a son, michaelbrother ni kakitu kadogo sana
Akasome angeology and demonology vyote viko aligned in the same line kikubwa ni kwamba Hayo wanaoambiwa ni viumbe sio actually viumbe ni Nguvu..
Mfano Michael..
Mikael (mika-el)
Gabriel (Gabri -El) means Nguvu ya Mungu Gabor vs El
 
Kwa hio baada ya kuja Kristo akaenda kumtoa pale juu akakaa Kristo? Kwa hio who is who Kristo or Lucifer au ni kiumbe yule yule Ila majina ni tofauti? Hii inafikirisha sana usije ukabomoa ubongo Mzee think out of the box
Mkuu Lucifer ni cheo kama Farao..
Tu kuna mafarao wengi sana..
Na yesu alichukua Cheo cha lucifer..
I can proove that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…