Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kitu cha ajabu sana katika maisha yangu.Mkuu nahamu Sana kuijua hii elimu maana kuna vitu huwa navionaga nakuwa kama tayari nilishaviona uku nyuma, kwa mfano linaweza tokea tukio au naona kuna tukio litatokea na ninajua litakavyoaanza mpaka kuisha kwake, mara nyingine nakuwa naongea kitu alafu kinatokea
Nakubali. Tumeumbwa na nguvu kubwa,ziko domant kutokana na ignorant yetu. Tunatakiwa tuziamshe hizi nguvu.Your power is locked.... Few know how to unlock it
Yaan unamaanisha Shetani ni Mungu Ila Mungu sio Shetani? Au concept yako imekaaje? Kipi kinachomtenganisha Mungu na Shetani? Kipi kinafanya Mungu awe sio Shetani Ila Shetani awe ni Mungu?shetani anaweza kuwa mungu lakin mungu hawez kuwa shetani
Hakuna kiumbe wa kumpa mungu laana maana kwenye spiritual rank as a soul or Uni mind yeye ndo top, nafsi saba za uwezo anazo yeye kitu ambazo ni kikubwa kuliko yeye ni neno lake mwenyeweYaan unamaanisha Shetani ni Mungu Ila Mungu sio Shetani? Au concept yako imekaaje? Kipi kinachomtenganisha Mungu na Shetani? Kipi kinafanya Mungu awe sio Shetani Ila Shetani awe ni Mungu?
Hivi unajua Iblisi Shetani aliumbwa na Vito vingapi vya kung'aa, 9 au 12? Imebidi nikuingize ndani ya boxHakuna kiumbe wa kumpa mungu laana maana kwenye spiritual rank as a soul or Uni mind yeye ndo top, nafsi saba za uwezo anazo yeye kitu ambazo ni kikubwa kuliko yeye ni neno lake mwenyewe
lucifer hata aweje kwenye rank ni mdogoHivi unajua Iblisi Shetani aliumbwa na Vito vingapi vya kung'aa, 9 au 12? Imebidi nikuingize ndani ya box
Ndio mara nyingi nawaeleza watu mbona kama nina kumbukumbu kwamba nilishawahi kuishi kabla ya miaka hii na mara nyingi naweza fika ugenini lakini nikawa na kumbukumbu kwamba upande huu kuna mto na unakuta ni kweliNtajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....
Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)
Unaweza ukajiuliza maswali Je matukio hupangwa au Yalijikuta kufanana tu..
Na kama yalipangwa yalipangwa na nani?
Mfanano huo wa baadhi ya majina, matukio yao na mfanano wa miaka ya matukio yao ambayo yamepishana miaka 100 tu ila tarakimu kuwa sawa unatoa picha kuwa huenda we Live on simulation and we either Not have free wills au yalitokea just kwa bahati tu..
shughuli zao kisiasa
- Abrahamu lincoln alichaguliwa kwa mara ya kwanza bungeni mwaka (elected for congress) mwaka 1846,
- Wakati john F kennedy alichaguliwa bungeni (elected in congress) mwaka 1946
- Abrahamu Licncoln alichaguliwa kuwa Rais wa usa mwaka 1860
- Wakati JFK alichaguliwa kuwa Rais mwaka 1960
Katika muda waliokuwepo ofisini
Vifo vyao
- Secretary wa Lincoln aliitwa Kennedy wakati secretary wa Kennedy aliitwa Lincoln.
Mwisho...Kuhusu Hii case ya Surreal ya Lincoln na JKF..
- Marais wote waliuawa siku Ya ijumaa,Na wote walipigwa risasi za kichwa
- Wote waliuawa na Watu kutoka Kusini mwa USA yaani Southern so wote waliuliwa na Southerners
- John booth ambaye anasemekana alimuua Lincoln alizaliwa mwaka 1839 Lee osward ambaye inasemekana alimuua Kennedy alizaliwa mwaka 1939
- Lincoln aliuawa kwenye theater inayoitwa Ford , Na Kennedy aliuliwa kwenye Gari iliyotengenezwa na Ford..
- Limcoln alipopigwa pale theater muuaji alikimbia na kwenda kujificha Warehouse..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.
- Booth (Aliyemuua Lincoln) na oswald (Aliyemuua Kennedy) wote waliuliwa kabla ya kufikishwa mahakamani..
- Wote walifuatiwa na Marais kutoka southern huku wote waliowafatia wakiitwa President Johnson (Sir Johnson's) yaani Andrew Johnson na Lyndon Johnson
- Andrew Johnson aliemfuata Lincoln alizaliwa 1808 na lyndon Johnson aliyemfiata lincoln alizaliwa 1908
- Ni kwamba kabla ya kuuliwa wiki moja kabla Lincoln alikuwa sehemu moja inaitwa Monnroe Maryland ..Huku Na week moja kabla Kennedy kuuliwa alikuwa na mtu anayeiywa Maryland monroe
Kijujuu utaona hivyo.......lakini si kitu cha kawaidaNi coincidence to za kawaida bro chill
Sasa nini kilitokea ukasema Shetani anaweza kua Mungu?lucifer hata aweje kwenye rank ni mdogo
Hii dunia before christo ilikuwa yake yeye ndo alikuwa Mungu wa hii duniaSasa nini kilitokea ukasema Shetani anaweza kua Mungu?
Kwa hio baada ya kuja Kristo akaenda kumtoa pale juu akakaa Kristo? Kwa hio who is who Kristo or Lucifer au ni kiumbe yule yule Ila majina ni tofauti? Hii inafikirisha sana usije ukabomoa ubongo Mzee think out of the boxHii dunia before christo ilikuwa yake yeye ndo alikuwa Mungu wa hii dunia
Safi sana umeandika Perfectly kasoro kitu kimoja tu..okay, the perfection of universe it is its imperfection.
fallen angles ndo elites leaders,huyo mnae muita shetani napenda kumtania kumuita lord of fallens ndo top manyota, japokuwa inasemekana kuna viumbe sio binadam lakin havipatan na lucifer.
quantumly creation and destruction ndo rule,
ukumbuke yehova ana nafsi saba ukiitoa moja hawi tena mkamilifu,
spirit of the lord and lord him self are different things
Akasome angeology and demonology vyote viko aligned in the same line kikubwa ni kwamba Hayo wanaoambiwa ni viumbe sio actually viumbe ni Nguvu..shetani sio jina ni utambulisho wa mlaaniwa, lucifer ni mlaaniwa shetani kwa Mungu Yehova lucifer its just a son, michaelbrother ni kakitu kadogo sana
Mkuu Lucifer ni cheo kama Farao..Kwa hio baada ya kuja Kristo akaenda kumtoa pale juu akakaa Kristo? Kwa hio who is who Kristo or Lucifer au ni kiumbe yule yule Ila majina ni tofauti? Hii inafikirisha sana usije ukabomoa ubongo Mzee think out of the box
Waliishusha Database yao yote nahis alipata Federal Case!Mkuu pdf drive inagoma ku download vitabu huu mwezi wa 3 sasa, sijajua tatizo nini?
Emu funguka nikuoneMkuu Lucifer ni cheo kama Farao..
Tu kuna mafarao wengi sana..
Na yesu alichukua Cheo cha lucifer..
I can proove that
Scripture mkuu..And that is according to who, you or biblical scripture?