DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #241
Mkuu i know Hebrew..Eli means High God elifu,elohim
Majina yao halisi ni gabri Elohim(messenger),micha Elohim,(Amor of God)Rapha Elohim(Healer)uri Elohim
Who is Lucifer i think we've already Covered ..BC years Lucifer alikuwa mungu wa dunia
Lazima tuelewe majina yote ya kiebrania ni VitenziJesus is Lucifer in another point of view, do you agree?
Balaa linaanzia hapani Kama alivyofanya kwa Eve
Movie au Series?Movie ya Lucifer Episode inayoongelea SANCTUARITY
Nafikiri nii seriesMovie au Series?
Liweke wazi tuBalaa linaanzia hapa
Huyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?Temper hapa atakutest Kama Wewe Ni Mzinzi ukisema Mimi sizini Tena atatest your sanity n trust kwa kukuletea pisi Kali zinazokuvuruga kichwa.
Leta linkNafikiri nii series
Hio simulizi fikirishi sanaLiweke wazi tu
Kwanza mkuu Lucifer sio jina la Kiebrania..Lazima mueleae majina yote ya kiebeania ni Vitenzi
1.Yeshua ni kuokoa au kuleta, Je alileta au kuokoa kipi ?
2.Lucifer ( Cherub n worhsip Dep President ) au light bearer Kama ilivyo nyota
Kwanini Yesu alijiita Nyota ya asubuhi ( Mbeba nuru ) ni kumu outshine alyekuwa akiitwa hivyo ambaye kwa muda huo ameshakuwa giza
Hapo ni kumuonesha Jina na mamlaka yale si yake Tena na asijipe ukuu asiohusika nao
Names reveal character and Nature
Satan( Adversary ) hata akikuahidi kizuri Hana maana hiyo
Devil ( Slander ) Kuongea ukweli ili kuhalalisha au kushawishi uovu...Ukila haufi we kualaa
Destroyer ( critical damage ) Hakuna jema ni kill no intimacy.
Serpent ( Hyp au sura mbili za maigizo ) ni Kama alivyofanya kwa Eve na ni tavia za Nyoka kukaa kukusubir kwa kipindi kirefu Hadi ufike Sehem yaje sahihi ya kukushambulia
Temper hapa atakutest Kama Wewe Ni Mzinzi ukisema Mimi sizini Tena atatest your sanity n trust kwa kukuletea pisi Kali zinazokuvuruga kichwa.
Kwanini alifanikiwa kuondoka na baadhi ya malaika, tafuta Movie ya Lucifer Episode inayoongelea SANCTUARITY
From Lucifer ( L' bearer to Satan ( Accuser / Adversary )
Hawezi Tena kuwa Nyota atabakia kuongelea ilikuwa nafasi yangu ile
yeshua hawezi kuwa Satan
Ni series ndefu sana...Nafikiri nii series
Kwenye kumjaribu Mtu biblia imekataa mtu hajaribiwi na shetani wala Mungu..Huyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?
Ila tunaambiwa alifunga siku 40 huku anajaribiwa wewe unaweza?Kwenye kumjaribu Mtu biblia imekataa mtu hajaribiwi na shetani wala Mungu..
Ni Tamaa yakd yeye mwenywe
Elohim ameuwa watu kibao kakin hajawahi kuitwa shetani sasa kama huyo braham yuko ivo ni yeye maana miungu iko mingi, kba hau wahindi ndo hawaelewek kabisa lei unajuta ngombe kesho nyoko na vitu vingiWho is Lucifer i think we've already Covered ..
But if you ment satan..
Satan and God are all the Same but different power of Works.
Just go and study Hinduism Mythology..
You will find Brahma is good creator and when doing good ataitwa hivyo...
Ila akiwa ana adhibu ataitwa
Braham/brahmanin/Brahm kaal..
Kwahyo.shetani na Mungu its all about condition not personality
Huyo eloha ndo nani?Mkuu i know Hebrew..
Gabor or Gabri means Power So Gabriel means The power of God..
Malakh is the messenger..
And About Elohom
Eloh (God in Male perspective)
Eloha(God in Feminine perspective)
Him means Plural
So
Elohim is Gods..
40 days ni Numerological metaphor ina maana nyingine..Ila tunaambiwa alifunga siku 40 huku anajaribiwa wewe unaweza?
..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.
Mkuu unajua maana ya Duality?Elohim ameuwa watu kibao kakin hajawahi kuitwa shetani sasa kama huyo braham yuko ivo ni yeye maana miungu iko mingi, kba hau wahindi ndo hawaelewek kabisa lei unajuta ngombe kesho nyoko na vitu vingi
Uko sahihi kabisa mkuu..Hivi JFK aliuawa kwenye ukumbi au eneo la wazi?
Nimefanikiwa kufika eneo ambalo huyo bwana aliuawa, mbona ni barabarani pale na sio ukumbini?