Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Eli means High God elifu,elohim
Majina yao halisi ni gabri Elohim(messenger),micha Elohim,(Amor of God)Rapha Elohim(Healer)uri Elohim
Mkuu i know Hebrew..

Gabor or Gabri means Power So Gabriel means The power of God..
Malakh is the messenger..
And About Elohom
Eloh (God in Male perspective)
Eloha(God in Feminine perspective)
Him means Plural
So
Elohim is Gods..
 
BC years Lucifer alikuwa mungu wa dunia
Who is Lucifer i think we've already Covered ..
But if you ment satan..
Satan and God are all the Same but different power of Works.

Just go and study Hinduism Mythology..
You will find Brahma is good creator and when doing good ataitwa hivyo...

Ila akiwa ana adhibu ataitwa
Braham/brahmanin/Brahm kaal..

Kwahyo.shetani na Mungu its all about condition not personality
 
Jesus is Lucifer in another point of view, do you agree?
Lazima tuelewe majina yote ya kiebrania ni Vitenzi

1.Yeshua ni kuokoa au kuleta, Je alileta au kuokoa kipi ?
2.Lucifer ( Cherub n worhsip Dep President ) au light bearer

Kwanini Yesu alijiita Nyota ya asubuhi ( Mbeba nuru ) ni kumu outshine alyekuwa akiitwa hivyo ambaye kwa muda huo ameshavuliwa gwanda
Hapo ni kumuonesha Jina na mamlaka yale si yake Tena na asijipe ukuu asiohusika nao

Names reveal character and Nature
Satan( Adversary ) hata akikuahidi kizuri Hana maana hiyo

Devil ( Slander ) Kuongea ukweli ili kuhalalisha au kushawishi uovu...Ukila haufi we kualaa

Destroyer ( critical damage ) Hakuna jema ni kill no intimacy.

Serpent ( Hyp au sura mbili za maigizo ) ni Kama alivyofanya kwa Eve na ni tavia za Nyoka kukaa kukusubir kwa kipindi kirefu Hadi ufike Sehem yaje sahihi ya kukushambulia

Temper hapa atakutest Kama Wewe Ni Mzinzi ukisema Mimi sizini Tena atatest your sanity n trust kwa kukuletea pisi Kali zinazokuvuruga kichwa.

Kwanini alifanikiwa kuondoka na baadhi ya malaika, tafuta Movie ya Lucifer Episode inayoongelea SANCTUARITY

From Lucifer ( L' bearer to Satan ( Accuser / Adversary )
Hawezi Tena kuwa Nyota atabakia kuongelea ilikuwa nafasi yangu ile
yeshua hawezi kuwa Satan
 
Temper hapa atakutest Kama Wewe Ni Mzinzi ukisema Mimi sizini Tena atatest your sanity n trust kwa kukuletea pisi Kali zinazokuvuruga kichwa.
Huyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?
 
Lazima mueleae majina yote ya kiebeania ni Vitenzi
1.Yeshua ni kuokoa au kuleta, Je alileta au kuokoa kipi ?
2.Lucifer ( Cherub n worhsip Dep President ) au light bearer Kama ilivyo nyota

Kwanini Yesu alijiita Nyota ya asubuhi ( Mbeba nuru ) ni kumu outshine alyekuwa akiitwa hivyo ambaye kwa muda huo ameshakuwa giza
Hapo ni kumuonesha Jina na mamlaka yale si yake Tena na asijipe ukuu asiohusika nao

Names reveal character and Nature
Satan( Adversary ) hata akikuahidi kizuri Hana maana hiyo

Devil ( Slander ) Kuongea ukweli ili kuhalalisha au kushawishi uovu...Ukila haufi we kualaa

Destroyer ( critical damage ) Hakuna jema ni kill no intimacy.

Serpent ( Hyp au sura mbili za maigizo ) ni Kama alivyofanya kwa Eve na ni tavia za Nyoka kukaa kukusubir kwa kipindi kirefu Hadi ufike Sehem yaje sahihi ya kukushambulia

Temper hapa atakutest Kama Wewe Ni Mzinzi ukisema Mimi sizini Tena atatest your sanity n trust kwa kukuletea pisi Kali zinazokuvuruga kichwa.

Kwanini alifanikiwa kuondoka na baadhi ya malaika, tafuta Movie ya Lucifer Episode inayoongelea SANCTUARITY

From Lucifer ( L' bearer to Satan ( Accuser / Adversary )
Hawezi Tena kuwa Nyota atabakia kuongelea ilikuwa nafasi yangu ile
yeshua hawezi kuwa Satan
Kwanza mkuu Lucifer sio jina la Kiebrania..
Its Latin word and firstly appeared in 405 AD on the bible translation into standard Latin language Called Latin Vulgate..

Kwa amri ya Papa Damasus 1..

The terms was actually means means "הֵילֵל" (heilel)...
Kwa Kiebrania..
Sasa nini maana ya Heilel ndo hiyo hiyo light bringer na Mng'ao pia..

Kasome post namba #213
Nimeaninisha kila kitu...

Nimeona Umeandika Satan..
But kwa information Chache ni kwamba Neno Satan halikuwahi kutumika kama nafsi Pekee..

Vizuri Umetaja Advi

Miaka yote Mpaka karne ya 6 BCE..
Ambapo Ndiyo kwenye Post Exilic Text za kwenye biblia zikaanza kumtaja Kama Hasatan..

Swala la sepernt ni kubwa sana..
Serpent anatumika kama Ishara ya ukombozi na pia kama Ishara ya Uadui..
Na hapo ndo inaprove dhana nzima ya Lucifer kuwa na Pande mbili..
Naqash au Nakhash ni nyoka kiebrania..
Ukitaka nielezee nitaelezea zaid..

Na ndo maana hata Kwenye Alama za AFYA hutumika Nyoka..

Kuna vitu hujaelewa .. pitia kwanza post 213 hakafu nitakuelewesha
 
Huyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?
Kwenye kumjaribu Mtu biblia imekataa mtu hajaribiwi na shetani wala Mungu..
Ni Tamaa yakd yeye mwenywe
 
Who is Lucifer i think we've already Covered ..
But if you ment satan..
Satan and God are all the Same but different power of Works.

Just go and study Hinduism Mythology..
You will find Brahma is good creator and when doing good ataitwa hivyo...

Ila akiwa ana adhibu ataitwa
Braham/brahmanin/Brahm kaal..

Kwahyo.shetani na Mungu its all about condition not personality
Elohim ameuwa watu kibao kakin hajawahi kuitwa shetani sasa kama huyo braham yuko ivo ni yeye maana miungu iko mingi, kba hau wahindi ndo hawaelewek kabisa lei unajuta ngombe kesho nyoko na vitu vingi
 
Ila tunaambiwa alifunga siku 40 huku anajaribiwa wewe unaweza?
40 days ni Numerological metaphor ina maana nyingine..

Na ndo maana Alifunga hizo siku kabla ya kuanza kazi yyote umewahi kujiuliza kwanini alifunga Jangwani..

The bible has alot of symbolism and structural numeral Watu wanazimis interprate..

Umewahi kujiuliza Kwanini..

Haya twende..
  • Yesu alifunga siku 40 Jangwani Akijaribiwa na mwisho wa siku alifanikiwa na akaanza kazi..
  • Wana wa Israel walitembea Miaka 40 jangwani kutoka misri kwenda kaanani nchi ya ahadi huku wakipata majaribu na mwisho walifanikiwa
  • Eliya alifunga siku 40, Jangwani na alipitia majaribu mengi baada ya kukosana na mfalme jezebel ila baadae alirudi kumkabili..
  • Gharika ya Nuhu Mvua ilinyesha Siku 40
  • Wapelelezi walipelekwa kuichunguza Nchi ya Kanani kabla ya kuingi huko walipeleleza Kwa siku 40
  • Kabla ya Goliati kuuliwa na Daudi alikuwa Anaenda kutamba na kutukana Israel kwa siku 40
Bible is settled in symbolic and Numeral approach ngoja niishie hapo kwanza
 
..Ila kennedy aliuliwa kwenye warehouse na muuaji alienda kujificha Kwenye theater.

Hivi JFK aliuawa kwenye ukumbi au eneo la wazi?

Nimefanikiwa kufika eneo ambalo huyo bwana aliuawa, mbona ni barabarani pale na sio ukumbini?
 
Elohim ameuwa watu kibao kakin hajawahi kuitwa shetani sasa kama huyo braham yuko ivo ni yeye maana miungu iko mingi, kba hau wahindi ndo hawaelewek kabisa lei unajuta ngombe kesho nyoko na vitu vingi
Mkuu unajua maana ya Duality?
Kwamba kuna kitu kina pande mbili kuna upande wa uovu na upande wa wema kikufanya wema hakiitwi ovu ila kinaitwa chema kikifanya uovu kinaitwa Uovu..

Lets make this Clear..
Waziri Ni mbunge na Ni Waziri..
Akiwa anatimiza majukumu Yake kama waziri tutamwita waziri..
Ila akiwa anatimiza majukumu kama mbunge hatutamwita waziri ila mbunge wa sehemu fulni..

Or let make in this format..

Rais Samia ni Mama na Mke wa mtu..
Akiwa ofisini anatimiza majukumu kama Rais na sio mama wa Mtu au mke wa Mtu..
Lakini akiwa nyumbni anatimiza majukumu kama mama na mke wa mtu..

Thats what we call duality..

Nimetoa aya moja ambayo imechanua vizuri hizi duality..

Sijui kama ulizipitia ila nitazirudia..

Isaya 45:7

"Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote."

"I form the light, and create darkness: I make peace, and create (chaos) evil: I the LORD do all these things."

Pia...

1 Mambo ya Nyakati 21:1

"Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli."

"And Satan stood up against Israel, and provoked David to number Israel."

The original verses ya Hii chronicles iko..

2 Samweli 24:1

"Tena hasira ya BWANA ikawaka juu ya Israeli, akamtia Daudi nia juu yao, akisema, Nenda, ukawahesabu Israeli na Yuda."

"And again the anger of the LORD was kindled against Israel, and he moved David against them to say, Go, number Israel and Judah."

Sasa.sijui kwanini unabisha mkuu vitu vilivyo wazi
 
Hivi JFK aliuawa kwenye ukumbi au eneo la wazi?

Nimefanikiwa kufika eneo ambalo huyo bwana aliuawa, mbona ni barabarani pale na sio ukumbini?
Uko sahihi kabisa mkuu..

msafara uliokuwa umembeba Rais JFK ulikuwa unapita katika Dealey Plaza hapo Dallas,
ila Risasi zilizomuua Kennedy inasemekana zilifyatuliwa kutoka dirishani la ghorofa ya sita ya jengo la Texas School Book Depository, which is a warehouse-like building inayoangaliana na Dealey Plaza. Kama umesema unapajua vizuri utakuwa umejenga picha fulani..
Na baada ya kumuua muuaji alikimbilia Texas Theater

na uko sawa Kabisa Msafara wake ulikuwa ukipita kwenye barabara za Dallas wakati anapatikkana na kifo..
 
Back
Top Bottom