Kumbe na wewe huwa unaifuatilia Hii series , movies za Hollywood kwangu mm huwa ni darasa , kuna secret codes huwa zinaonyweshwa Kiana,Ni series ndefu sana...
Yule jamaa ananifurahisha anapokuwa anawauliza "whats your desire"
Huna ulijualo,mkuu Rabbon..
Huoni kama wewe ndo unapotisha hakuna mahali
Kuna sehemu shetani aliota mkia Wa mbuzi 🤣🤣🤣..
Labda kama ulikuwa ni utani nitachukulia hivyo..
Nionyeshe sehemu nilipopindisha ili nijifunze mkuu..
Na kingine malaika walioasi wote walifungwa kwa mujibu wa Yuda hao mashetani wanatoka wapi..
YUDA 1:6
"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."
Kuna movie inaitwa "The lost symbol" Kaitafute ni fupi sio ndefu sanaKumbe na wewe huwa unaifuatilia Hii series , movies za Hollywood kwangu mm huwa ni darasa , kuna secret codes huwa zinaonyweshwa Kiana,
Sihitaji kujua hayo.Ningependa zaidi kama tutafanya mjadala kuhusu hilo tufanye mjadala wa kisomi..
Unaouwezo wa kupinga itakavyo..
Kwa sababu sio lazma tufanane upande..
Hata hilo neno lenyewe ilumminate sijui kama unajua hata maana yake
Mkuu basi sana maana nimesema Mjadala wa kielimu ila nachoona unaingiza mambo ya kiroho..Huna ulijualo,
Shetani ndiyo amefungwa,
Husomi maandiko shetani huyo huyo aliyetupwa chini, aliyefungwa ndo huyo huyo anamjaribu Yesu mlimani?
Hujui kuwa Malaika hao hao waliofungwa katika vifungo, ndo hao waletao Matetemeko na tsunami duniani!!
Neno kufungwa, Si katika Hali uijuayo, kufungwa ni kuwekewa mipaka katika kufanya unachofanya. Akiruhusuwa shetani au akifunguliwa sasa, madhara yatakuwa makubwa, amewekewa limit na Mungu, Mmoja aitwaye Yesu Kristo.
Mambo ya kiroho kuyatambua Bila kufafanuliwa na Roho mtakatifu lazima utakuwa mpinga kristo tu kama wewe unavyofanya.
Bhasi mkuu mchana mwema..Sihitaji kujua hayo.
Muda wangu mwingine nautumia kumjua Mungu.
Pia sibishani na yeyote kisomi, maelezo nitoayo situmii utashi na akili zangu pekee, ninaongozwa na Roho wa Yesu aitwaye Roho MTAKATIFU.
Amen
AsanteKuna movie inaitwa "The lost symbol" Kaitafute ni fupi sio ndefu sana
Mkuu Nimeweka lugha zaidi ya moja hapo
Neno lucifer linamaanisha morning star kama umesoma Kilatin utakuwa unanielewa zaidi..
Na mara Nyingi wanaiita Venus kama morning star kwa sababu huonekana Asubuhi..
NAfikir nimeweka lugha zote unaweza ukasoma mpaka mwisho hata kwenye petro pia
Unajua hiyo adverb "metaphorically" inachomaanisha?Its imposible scientifically only possible spiritualy and metaphorically
Mkuu kama umefatilia Alwayz sichukui from only English translation nachukua from the sources translated kwa mfano...hebrew and greek or Latin vulgate..Isaiah 14:12 in Other Translations
KJV
12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!
ESV
12 "How you are fallen from heaven, O Day Star, son of Dawn! How you are cut down to the ground, you who laid the nations low!
NLT
12 “How you are fallen from heaven, O shining star, son of the morning! You have been thrown down to the earth, you who destroyed the nations of the world.
MSG
12 What a comedown this, O Babylon! Daystar! Son of Dawn! Flat on your face in the underworld mud, you, famous for flattening nations!
CSB
12 Shining morning star, how you have fallen from the heavens! You destroyer of nations, you have been cut down to the ground.
Tafsiri zipo nyingi kutegemea na biblia uliyosomea, Ila bado hujathibitisha Lucifer ndiye Yesu
Nisingejua mkuu,Nisingeandika..Unajua hiyo adverb "metaphorically" inachomaanisha?
Hapo sasa..Inaweza, kama haivunji sayansi na mantiki inaweza.
Ila hii nadharia ya simulation naikubali, swali ambalo hua najiuliza, nani anendesha hiyo simulaton?
Usichanganye "metaphor" na "metaphysics". Adverb ya "metaphysics" ni "metaphysically". Halafu huwezi kusema "But am always stand to be corrected", unasema "But I always stand to be corrected".Nisingejua mkuu,Nisingeandika..
But am alwayz stand to be corrected..
But kwa faida ya wengi ni sawa na kusema kiswahili Lugha ya Picha au Lugha ishara au Symbolic Language..
Nilichomaanisha sio metaphysics, i think wewe ndo umepuyanga..Usichanganye "metaphor" na "metaphysics". Adverb ya "metaphysics" ni "metaphysically". Halafu huwezi kusema "But am always stand to be corrected", unasema "But I always stand to be corrected".
"Symbolic language" ni ipi? Neno sahihi ni "metaphor".
Hapo nilikuwa nazungumzia Yale majina, character na nature za Satan Wala si vingineHuyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?
Nikosa, sikuweka maneno sawaKwanza mkuu Lucifer sio jina la Kiebrania..
Its Latin word and firstly appeared in 405 AD on the bible translation into standard Latin language Called Latin Vulgate..
Kwa amri ya Papa Damasus 1..
The terms was actually means means "הֵילֵל" (heilel)...
Kwa Kiebrania..
Sasa nini maana ya Heilel ndo hiyo hiyo light bringer na Mng'ao pia..
Kasome post namba #213
Nimeaninisha kila kitu...
Nimeona Umeandika Satan..
But kwa information Chache ni kwamba Neno Satan halikuwahi kutumika kama nafsi Pekee..
Vizuri Umetaja Advi
Miaka yote Mpaka karne ya 6 BCE..
Ambapo Ndiyo kwenye Post Exilic Text za kwenye biblia zikaanza kumtaja Kama Hasatan..
Swala la sepernt ni kubwa sana..
Serpent anatumika kama Ishara ya ukombozi na pia kama Ishara ya Uadui..
Na hapo ndo inaprove dhana nzima ya Lucifer kuwa na Pande mbili..
Naqash au Nakhash ni nyoka kiebrania..
Ukitaka nielezee nitaelezea zaid..
Na ndo maana hata Kwenye Alama za AFYA hutumika Nyoka..
Kuna vitu hujaelewa .. pitia kwanza post 213 hakafu nitakuelewesha
Ukipata nistue, nahitaji sanaa.Na mimi mkuu DR Mambo Jambo