Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

mkuu Rabbon..
Huoni kama wewe ndo unapotisha hakuna mahali
Kuna sehemu shetani aliota mkia Wa mbuzi 🤣🤣🤣..
Labda kama ulikuwa ni utani nitachukulia hivyo..
Nionyeshe sehemu nilipopindisha ili nijifunze mkuu..

Na kingine malaika walioasi wote walifungwa kwa mujibu wa Yuda hao mashetani wanatoka wapi..

YUDA 1:6

"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."
Huna ulijualo,

Shetani ndiyo amefungwa,

Husomi maandiko shetani huyo huyo aliyetupwa chini, aliyefungwa ndo huyo huyo anamjaribu Yesu mlimani?

Hujui kuwa Malaika hao hao waliofungwa katika vifungo, ndo hao waletao Matetemeko na tsunami duniani!!

Neno kufungwa, Si katika Hali uijuayo, kufungwa ni kuwekewa mipaka katika kufanya unachofanya. Akiruhusuwa shetani au akifunguliwa sasa, madhara yatakuwa makubwa, amewekewa limit na Mungu, Mmoja aitwaye Yesu Kristo.

Mambo ya kiroho kuyatambua Bila kufafanuliwa na Roho mtakatifu lazima utakuwa mpinga kristo tu kama wewe unavyofanya.
 
Kumbe na wewe huwa unaifuatilia Hii series , movies za Hollywood kwangu mm huwa ni darasa , kuna secret codes huwa zinaonyweshwa Kiana,
Kuna movie inaitwa "The lost symbol" Kaitafute ni fupi sio ndefu sana
 
Ningependa zaidi kama tutafanya mjadala kuhusu hilo tufanye mjadala wa kisomi..
Unaouwezo wa kupinga itakavyo..

Kwa sababu sio lazma tufanane upande..
Hata hilo neno lenyewe ilumminate sijui kama unajua hata maana yake
Sihitaji kujua hayo.

Muda wangu mwingine nautumia kumjua Mungu.

Pia sibishani na yeyote kisomi, maelezo nitoayo situmii utashi na akili zangu pekee, ninaongozwa na Roho wa Yesu aitwaye Roho MTAKATIFU.

Amen
 
Huna ulijualo,

Shetani ndiyo amefungwa,

Husomi maandiko shetani huyo huyo aliyetupwa chini, aliyefungwa ndo huyo huyo anamjaribu Yesu mlimani?

Hujui kuwa Malaika hao hao waliofungwa katika vifungo, ndo hao waletao Matetemeko na tsunami duniani!!

Neno kufungwa, Si katika Hali uijuayo, kufungwa ni kuwekewa mipaka katika kufanya unachofanya. Akiruhusuwa shetani au akifunguliwa sasa, madhara yatakuwa makubwa, amewekewa limit na Mungu, Mmoja aitwaye Yesu Kristo.

Mambo ya kiroho kuyatambua Bila kufafanuliwa na Roho mtakatifu lazima utakuwa mpinga kristo tu kama wewe unavyofanya.
Mkuu basi sana maana nimesema Mjadala wa kielimu ila nachoona unaingiza mambo ya kiroho..
Ambayo hayawezi kuthibitishwa kwa hali ya kawaida..
Nikikwambia kwamba mimi ni Yesu kiroho utakubali?
 
Sihitaji kujua hayo.

Muda wangu mwingine nautumia kumjua Mungu.

Pia sibishani na yeyote kisomi, maelezo nitoayo situmii utashi na akili zangu pekee, ninaongozwa na Roho wa Yesu aitwaye Roho MTAKATIFU.

Amen
Bhasi mkuu mchana mwema..
THE GENERATION OF BLIND FOLLOWER IMEISHA..
Its either kustick kwenye ukweli tu..

Na naomba nikutakiwa Asubuhi Njema
 
Mkuu Nimeweka lugha zaidi ya moja hapo
Neno lucifer linamaanisha morning star kama umesoma Kilatin utakuwa unanielewa zaidi..
Na mara Nyingi wanaiita Venus kama morning star kwa sababu huonekana Asubuhi..

NAfikir nimeweka lugha zote unaweza ukasoma mpaka mwisho hata kwenye petro pia

Isaiah 14:12 in Other Translations​

KJV
12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!

ESV
12 "How you are fallen from heaven, O Day Star, son of Dawn! How you are cut down to the ground, you who laid the nations low!

NLT
12 “How you are fallen from heaven, O shining star, son of the morning! You have been thrown down to the earth, you who destroyed the nations of the world.

MSG
12 What a comedown this, O Babylon! Daystar! Son of Dawn! Flat on your face in the underworld mud, you, famous for flattening nations!

CSB
12 Shining morning star, how you have fallen from the heavens! You destroyer of nations, you have been cut down to the ground.
======================

Tafsiri zipo nyingi kutegemea na aina ya biblia uliyosoma, Ila bado hujathibitisha Lucifer ndiye Yesu....kutumia tafsiri moja tu kufikia hitimisho haiwezi kuwa sahihi.
 
Isaiah 14:12 in Other Translations​

KJV
12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!
ESV
12 "How you are fallen from heaven, O Day Star, son of Dawn! How you are cut down to the ground, you who laid the nations low!
NLT
12 “How you are fallen from heaven, O shining star, son of the morning! You have been thrown down to the earth, you who destroyed the nations of the world.
MSG
12 What a comedown this, O Babylon! Daystar! Son of Dawn! Flat on your face in the underworld mud, you, famous for flattening nations!
CSB
12 Shining morning star, how you have fallen from the heavens! You destroyer of nations, you have been cut down to the ground.

Tafsiri zipo nyingi kutegemea na biblia uliyosomea, Ila bado hujathibitisha Lucifer ndiye Yesu
Mkuu kama umefatilia Alwayz sichukui from only English translation nachukua from the sources translated kwa mfano...hebrew and greek or Latin vulgate..

Kuna kitu Kimoja kikubwa nakushauri mkuu wangu..

Si lazma sana Ukubali au Udigest hili neno kwa siku moja It takes Time kujua (Just immagine the path i have been through nilipokuwa nasoma Textual Critics/ analysis)..

..unahitaji kufanya Research nyingi zilizo Nje ya box..(Zilizo na upande unaokubali sana hapo ndo utajua ukweli)..

Katika research hutakiwi kuchukua side yoyote Just do the Questinaire Then leave for the facts to solve your Thesis...

ili uweze kujua wapi iko sawa na wapi haiko sawa...

Mchezaji alioko ndani hawezi kujua wapi anakosea kwahyo anahitaji kocha Ambaye anaona mchezo na kumwambia kuwa hapa umekosea..

SAsa nisikilize..

Katika isaya 14:12 uliyotaja..Ntakuwekea Kwa hebrania na ntakutafasiria ukitaka...

יב אֵיךְ נָפַלְתָּ מִשָּׁמַיִם, הֵילֵל בֶּן-שָׁחַר; נִגְדַּעְתָּ לָאָרֶץ, חוֹלֵשׁ עַל-גּוֹיִם.

Inatamkwa hivi..

"Eich nafalta mishamayim, heilel ben-shachar; nigda'ta la'aretz, cholesh al-goyim"

"How you have fallen from heaven, morning star (Lucifer), son of the dawn! You have been cast down to the earth, you who once laid low the nations"
meno heilel Ben-Shachar..
heilel maana yake ni morning star Yaani Nyota ya Asubuhi..AU mleta mwangaza "Light bringer" na ndo hiyo katika lugha kilatin ikatafsiriwa kama Lucifer
Mnamo mwaka 405 AD kwa tafsiri ya Latin Vulgate..
ndo neno Lucifer lilitambulishwa..
Na neno Ben shachar kwa kiswahili maana yake ni "Ben" ni Mwana na Shachar " alfajir au "Asubuhi inayoanza"..
Au kwa kingereza wanasema "Dawn" sasa Dawn na Morning ni Vitu vinavyoweza kutumika sawa lakini vyenye maana tofauti..
Kafanye research..utagundua..
Sasa kwanini Morning star imeitwa ni Mwana wa Alfajiri..
giza likianza kuondoka Kwenye saa kumi au saa kumi na mbili utaona kunatokea nyota fulani huwa zinang'aa sana ndo huitwa kama mtoto wa Alfajiri maana Usiku huwa ni nadra kuziona na asubuhi ikishafika huondoka (Hapa panahitaji akili kuelewa hii sentensi ya Ben shachar)..
Sasa nisikuchoshe..
Ntakupa fungu moja la 2 Petro 1:19..
KWa kiswahili tulichozoea ni..

2 Petro 1:19

"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu."

Sasa naomba unifate katika Latin Vulgate kuhusu ilo fungu hapo juu...

"Et habemus firmiorem propheticum sermonem: cui bene facitis attendentes quasi lucernae lucenti in caliginoso loco donec dies inlucescat et lucifer oriatur in cordibus vestris."
Umeona neno Lucifer..
najua umeliona unaweza ukaverify kwa Latin vulgate yoyote Ila iwe standard ya mwaka 405..

sasa hiyo nyote ya asubuhi (Lucifer) tunayosubiri ije mioyoni mwetu ni ipi...

Sasa ndo nakurudisha kwenye

Ufunuo wa Yohana 2:28 ambapo yesu anasema yeye atakayeshinda atawapa Ile nyota ya Asubuhi maana yake ni kwamba watafanyika WANA WAKE..

Ufunuo wa Yohana 2:28

"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."

"And I will give him the morning star."

Shukrani mkuu ila ili uujue ukweli fanya research nyingi sana maana ukweli wanauficha sana siku hizi tafuta manuscript za zaman soma achana na Hivi new Standard version za translation ambazo kuna zaidi ya mafungu 100 yameondolewa..
Jifunze latin, jifunze Hebrew sio lugha ngumu ,Jifunze greek kama ukiweza Koine kabisa..

Karibu tumalizie Christmas mkuu hapa....
 
Unajua hiyo adverb "metaphorically" inachomaanisha?
Nisingejua mkuu,Nisingeandika..
But am alwayz stand to be corrected..

But kwa faida ya wengi ni sawa na kusema kiswahili Lugha ya Picha au Lugha ishara au Symbolic Language..
 
Nisingejua mkuu,Nisingeandika..
But am alwayz stand to be corrected..

But kwa faida ya wengi ni sawa na kusema kiswahili Lugha ya Picha au Lugha ishara au Symbolic Language..
Usichanganye "metaphor" na "metaphysics". Adverb ya "metaphysics" ni "metaphysically". Halafu huwezi kusema "But am always stand to be corrected", unasema "But I always stand to be corrected".

"Symbolic language" ni ipi? Neno sahihi ni "metaphor".
 
Nilichomaanisha sio metaphysics, i think wewe ndo umepuyanga..

Kuna utofauti mkubwa sana kati ya Metaphysics na metaphorical na ndo maana nikakuambia Maana yake symbolic language..

Sasa sio jukumu langu kukuelewesha zaidi just go and Learn more about them..

Kingine i think unahitaji kusoma au nichukulie haukuwa Serious..
Sentensi "But I am always Stand to be corrected"

Nahisi umeweka utani pengine "I am always"
Is gramatically correct...
 
Huyu anaetest kifaa au kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe au kukitengeneza mwenyewe ni Mungu au Shetani? Au Mungu anaumba alafu anamtuma Shetani atest mitambo? Hivi umefikiria kwa umakini zaidi wewe unaweza ukazaa mtoto alafu ukaanza kumfanyisha majaribio magumu ambayo yote unajua fika hata afanyaje lazima tu atafeli?
Hapo nilikuwa nazungumzia Yale majina, character na nature za Satan Wala si vingine
*Usimjaribu bwana Mungu wako
 
Kwanza mkuu Lucifer sio jina la Kiebrania..
Its Latin word and firstly appeared in 405 AD on the bible translation into standard Latin language Called Latin Vulgate..

Kwa amri ya Papa Damasus 1..

The terms was actually means means "הֵילֵל" (heilel)...
Kwa Kiebrania..
Sasa nini maana ya Heilel ndo hiyo hiyo light bringer na Mng'ao pia..

Kasome post namba #213
Nimeaninisha kila kitu...

Nimeona Umeandika Satan..
But kwa information Chache ni kwamba Neno Satan halikuwahi kutumika kama nafsi Pekee..

Vizuri Umetaja Advi

Miaka yote Mpaka karne ya 6 BCE..
Ambapo Ndiyo kwenye Post Exilic Text za kwenye biblia zikaanza kumtaja Kama Hasatan..

Swala la sepernt ni kubwa sana..
Serpent anatumika kama Ishara ya ukombozi na pia kama Ishara ya Uadui..
Na hapo ndo inaprove dhana nzima ya Lucifer kuwa na Pande mbili..
Naqash au Nakhash ni nyoka kiebrania..
Ukitaka nielezee nitaelezea zaid..

Na ndo maana hata Kwenye Alama za AFYA hutumika Nyoka..

Kuna vitu hujaelewa .. pitia kwanza post 213 hakafu nitakuelewesha
Nikosa, sikuweka maneno sawa

ila swala Medical industry kuficha ukweli wa Madawa na technolojia yao kuwa sio Uchawi Ni Sayansi mm moja kwa moja naiunga Sayansi na Uchawi kuwa kitu kimoja.
1703413818228.jpg

Based on etymology Pharmokos au pharamkeia au Medicine ni Witchcraft na inaenda kushambuliwa nafsi kimya kimya

Mfano wa Nyoka aliefanywa na Mussa wakati waisrael washavunja miiko alikuwa kipimo Cha imani kwao na si kwamba yule Nyoka ndiye aliyekuwa akiwaponya na mwisho utaona watu walivyo waajabu na kupenda kutumia vitu wanavyoamin vimewatendea Jambo kuwa Idol wao

Na chochote kinachotuma kwenye mti kilikuwa na maana ya kulaaniwa kibinadamu na upande wa pili kilichokuja kubeba laana au Dhambi hizo.

Yesu mtini
Bronze Serpent kwenye mti Hawa walitumika na Mungu

Shida inakuja mtu kuchukua tool ( Physical thing ) Kama kitu chenye kubeba uponyaji na kukiabudu
 
Back
Top Bottom