DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #61
Nilivichukua Zaman kipindi Website yetu ya Pdf Drive haijakufa baadhi ninavyo ila vingine nilinunua na vipo kwenye Kindle huwa nasomaHivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nielewe
Mkuu hapana Hiyo ni Unrealistic illusion level za pyramid Wanaoziharibu Wengi ni christian kwa kuogopa kwamba kwenye Pyramid wa kwanza kabisa huwa ni Yahwe wa juu kabisa ambaye ndo Mungu..Kama ni hv
Je Kuna ukweli wowote waweza kuupata kupitia maandishi ?
Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani, Je wewe una Amini Hilo ?
...invisible slavery of the monetary system.
...fear generated by religion.
...fear of being punished (imprisoned or killed) by the system.
...bad manners combined with constant indoctrination.
Mkuu Vipi kama ukiambiwa hakuna moto na hakuna Mtu atakayehukumiwa..?Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
Zipi ni doctrine zilizonyooka na zilianzishwaje yaani reference zipi zilitumika ?
Unaamini katika Taarifa ( Concept/ Idea ) Bila kujua precepts ( Real intent behind such info ) ?Mkuu hapana Hiyo ni Unrealistic illusion level za pyramid Wanaoziharibu Wengi ni christian kwa kuogopa kwamba kwenye Pyramid wa kwanza kabisa huwa ni Yahwe wa juu kabisa ambaye ndo Mungu..
Na kwenye sefirot wa kwanza kabisa kama umeona ni Baal halafu Cananietes
So hiyo ilioandikwa Shetani ni kwa makusudi kabisa..
Lakini ukisoma baadhi ya maandishi ni kwamba Shetani na Mungu its just a condition na wote ni kitu kimoja..
So satan and God all Are in the same Body same mind but Diffrent in Reaction..
Its kinda confusing but somehow its true
Ok unataka nikupe Facts by using the bibleUnaamini katika Taarifa ( Concept/ Idea ) Bila kujua precepts ( Real intent behind such info ) ?
Bado nawaza Kama shetani na Mungu Ni kitu kimoja iweje Kila Mmoja awe ana haribu kazi za mwenzake na Mmoja kureverse doctrine ya mwenzie
Nilichokua namuambia hiyo ni kupitia experience yangu na asilimia Kubwa ya Watu kufuata walichokikuta wazazi wao wanakifuata na kujikuta wanaamini huko.Mkuu Vipi kama ukiambiwa hakuna moto na hakuna Mtu atakayehukumiwa..?
Hakuna utofauti wa matendo..Matendo yote ni sawa tu?
Vipi ukiambiwa kwamba hakuna mtu aliyewahi kuhukumiwa na Mungu?
VIpi ukiambiwa mungu hana Hizo nguvu its all legendary tu?
Wewe tu bossOk unataka nikupe Facts by using the bible
Katika mabilioni ya watu duniani inaweza ikatokea hata zaidi ya mara 1000.Coincedence inaweza ikatokea zaidi ya mara 20 mkuu!
Huoni kama kuna kitu
Karibu mkuu..Wewe tu boss
Yeah but not for the Highly profile people ambao wanakuwa MaraisKatika mabilioni ya watu duniani inaweza ikatokea hata zaidi ya mara 1000.
Duh ndio vitu gani hivyoAhaah yesu alizaliwa Bethelehem kwa mujibu wa Biblia...nazareth alilelewa tu
Na unajua its Metaphorical sio Real meaning hizo..
Si unajua Bethelehem in metaphorical anatomy inamaanisha Lumbar plexus
Unajaribu tu kujiunganishia matukio kwa fikra zako ulizojijengeaMkuu asante kwa bandiko. Nilishaliona siku nyingi lakini it worth to put it here for discussion. Mimi huwa nadhani kunamambo mengi sana ambayo binadamu hatujayajua kutuhusu. Nasema hivi kwa sababu kuna ndoto ambazo mimi nikiota, basi kesho yake kuna tukio litanitokea hata nijaribu kuwa mwangalifu namna gani. Ni hivi: nikiota nimengalia juu angani halafu nikaona nyota nyingi lakini moja ina rangi nyekundu, basi kesho yake ni lazima nitaumia wakati nafanya kazi na damu itatoa. Hili limenitokea tangu nikiwa mdogo mpaka sasa. Siyo kila nikiumia na damu kutoka huwa nimekuwa nimeota jana yake, ila kila nikiota basi lazima nitaumia na damu kutoka.
Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel"I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the Lord do all these things."
Nimeaoma passage hii nilichokiongelea kuwa DVD alikengeuka na kujifanyia alichokiona sawa machoni pake1 mambo ya nyakati 21:1
"Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi
Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )1samuel 16:14.
"But the Good Spirit of the Lord departed from Saul, and an evil spirit from the Lord troubled him."
All the world’s biggest problems are rooted deep in the financial plague: wars are profitable, diseases are profitable, plunder of the earth is profitable, human slavery and inhumane working conditions are profitable.Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
Zipi ni doctrine zilizonyooka na zilianzishwaje yaani reference zipi zilitumika ?
This has been carefully designed because a person who is constantly “on the edge” will never have time for self-education, introspection, and – finally – spiritual awakening.Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
“They” want obedient “robots” just smart enough to operate the machines and keep the system running, but stupid enough to never ask questions.Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha
On the one hand, we are very close to our complete slavery, while on the other hand, we could easily crumble the soil of their power pyramid, simply uniting against its disappointment in a peaceful revolution of minds, hearts, and souls.Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )
Ruksa kunipa darasa
The faith of mankind hangs in the balance at this moment, as the octopus control of the World Order proliferates.Unajaribu tu kujiunganishia matukio kwa fikra zako ulizojijengea
Neno kuumba maana yake ni kutengeneza..Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha
soma tena hiyo Ni amri ilitoka kufanya sensa na alipomaliza alipeleka hesabu pia..Nimeaoma passage hii nilichokiongelea kuwa DVD alikengeuka na kujifanyia alichokiona sawa machoni pake
1 Mambo ya Nyakati 21:6-8.
Hapana soma tena Laana ni tofauti na Roho mbaya..Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )
Ruksa kunipa darasa