Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Hivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nielewe
Nilivichukua Zaman kipindi Website yetu ya Pdf Drive haijakufa baadhi ninavyo ila vingine nilinunua na vipo kwenye Kindle huwa nasoma
 
Kama ni hv
Je Kuna ukweli wowote waweza kuupata kupitia maandishi ?

Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani, Je wewe una Amini Hilo ?
Mkuu hapana Hiyo ni Unrealistic illusion level za pyramid Wanaoziharibu Wengi ni christian kwa kuogopa kwamba kwenye Pyramid wa kwanza kabisa huwa ni Yahwe wa juu kabisa ambaye ndo Mungu..
Na kwenye sefirot wa kwanza kabisa kama umeona ni Baal halafu Cananietes

So hiyo ilioandikwa Shetani ni kwa makusudi kabisa..

Lakini ukisoma baadhi ya maandishi ni kwamba Shetani na Mungu its just a condition na wote ni kitu kimoja..
So satan and God all Are in the same Body same mind but Diffrent in Reaction..

Its kinda confusing but somehow its true
 
Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.

Zipi ni doctrine zilizonyooka na zilianzishwaje yaani reference zipi zilitumika ?
...invisible slavery of the monetary system.

...fear generated by religion.

...fear of being punished (imprisoned or killed) by the system.

...bad manners combined with constant indoctrination.
 
Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.

Zipi ni doctrine zilizonyooka na zilianzishwaje yaani reference zipi zilitumika ?
Mkuu Vipi kama ukiambiwa hakuna moto na hakuna Mtu atakayehukumiwa..?
Hakuna utofauti wa matendo..Matendo yote ni sawa tu?

Vipi ukiambiwa kwamba hakuna mtu aliyewahi kuhukumiwa na Mungu?
VIpi ukiambiwa mungu hana Hizo nguvu its all legendary tu?
 
Mkuu hapana Hiyo ni Unrealistic illusion level za pyramid Wanaoziharibu Wengi ni christian kwa kuogopa kwamba kwenye Pyramid wa kwanza kabisa huwa ni Yahwe wa juu kabisa ambaye ndo Mungu..
Na kwenye sefirot wa kwanza kabisa kama umeona ni Baal halafu Cananietes

So hiyo ilioandikwa Shetani ni kwa makusudi kabisa..

Lakini ukisoma baadhi ya maandishi ni kwamba Shetani na Mungu its just a condition na wote ni kitu kimoja..
So satan and God all Are in the same Body same mind but Diffrent in Reaction..

Its kinda confusing but somehow its true
Unaamini katika Taarifa ( Concept/ Idea ) Bila kujua precepts ( Real intent behind such info ) ?

Bado nawaza Kama shetani na Mungu Ni kitu kimoja iweje Kila Mmoja awe ana haribu kazi za mwenzake na Mmoja kureverse doctrine ya mwenzie
 
Ok unataka nikupe Facts by using the bible
 
Mkuu Vipi kama ukiambiwa hakuna moto na hakuna Mtu atakayehukumiwa..?
Hakuna utofauti wa matendo..Matendo yote ni sawa tu?

Vipi ukiambiwa kwamba hakuna mtu aliyewahi kuhukumiwa na Mungu?
VIpi ukiambiwa mungu hana Hizo nguvu its all legendary tu?
Nilichokua namuambia hiyo ni kupitia experience yangu na asilimia Kubwa ya Watu kufuata walichokikuta wazazi wao wanakifuata na kujikuta wanaamini huko.

Kama Sisi kwa Sisi tunahukumiana ni wazi matendo yanatofautiana
 
Wewe tu boss
Karibu mkuu..

Kwanza unatakiwa kujua kuna Duality of Nature inaexiat kwenye kila kitu..
Kisu kina ubaya na kina uzuri wake..
Wanawake wana ubaya wana uzuri wao pia..
Thats how the universe works

Sasa twende kwenye facts za kwenye biblia..

Tuanze na Isaya 45:7

"I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the Lord do all these things."

Tuendelee

1 samuel 16:14.

"But the Good Spirit of the Lord departed from Saul, and an evil spirit from the Lord troubled him."

Au swahili version..

"Basi, roho ya Bwana ikamwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa Bwana ikamsumbua"

HII ya mwisho itakupa Picha kamili.
.(Hii ilikuwa Sensa ya kwanza israel)

2 samuel 24:1

"Tena hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, akamtia Daudi nia juu yao, akisema, Nenda, ukawahesabu Israeli na Yuda"

Lakini in duality existense sehemu nyingine badala ya kusema Bwana wakataja shetani..

1 mambo ya nyakati 21:1

"Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli."
Wanatheolojia wote wa Kiyahudi na kikristo wanakubaliana kwamba Jina la Shetani akiwa Mbingni aliitwa Samael ..
unajua maana ya Samael..(סמאל)
Ni "Sumu Ya Mungu"
Au uchungu wa Mungu..
so shetani ni Upande wa Mungu wenye Uchungu...
 
Mkuu asante kwa bandiko. Nilishaliona siku nyingi lakini it worth to put it here for discussion. Mimi huwa nadhani kunamambo mengi sana ambayo binadamu hatujayajua kutuhusu. Nasema hivi kwa sababu kuna ndoto ambazo mimi nikiota, basi kesho yake kuna tukio litanitokea hata nijaribu kuwa mwangalifu namna gani. Ni hivi: nikiota nimengalia juu angani halafu nikaona nyota nyingi lakini moja ina rangi nyekundu, basi kesho yake ni lazima nitaumia wakati nafanya kazi na damu itatoa. Hili limenitokea tangu nikiwa mdogo mpaka sasa. Siyo kila nikiumia na damu kutoka huwa nimekuwa nimeota jana yake, ila kila nikiota basi lazima nitaumia na damu kutoka.
Unajaribu tu kujiunganishia matukio kwa fikra zako ulizojijengea
 
"I form the light, and create darkness: I make peace, and create evil: I the Lord do all these things."
Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha

1 mambo ya nyakati 21:1

"Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi
Nimeaoma passage hii nilichokiongelea kuwa DVD alikengeuka na kujifanyia alichokiona sawa machoni pake
1 Mambo ya Nyakati 21:6-8.

1samuel 16:14.

"But the Good Spirit of the Lord departed from Saul, and an evil spirit from the Lord troubled him."
Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )

Ruksa kunipa darasa
 
Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.

Zipi ni doctrine zilizonyooka na zilianzishwaje yaani reference zipi zilitumika ?
All the world’s biggest problems are rooted deep in the financial plague: wars are profitable, diseases are profitable, plunder of the earth is profitable, human slavery and inhumane working conditions are profitable.

Our leaders have been corrupted by money and the collective mission of humanity on Earth has been kidnapped by money.

So why do we need the financial system in the first place?
 
Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
This has been carefully designed because a person who is constantly “on the edge” will never have time for self-education, introspection, and – finally – spiritual awakening.

Is not this our main purpose on Earth? To become spiritual beings (and by spiritual, obviously, I do not mean religious) and complete the cycle of incarnation?

“They” do not need educated people, who are capable of critical thinking and have spiritual goals. No, these types of people are dangerous to the establishment.
 
Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha
“They” want obedient “robots” just smart enough to operate the machines and keep the system running, but stupid enough to never ask questions.
 
Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )

Ruksa kunipa darasa
On the one hand, we are very close to our complete slavery, while on the other hand, we could easily crumble the soil of their power pyramid, simply uniting against its disappointment in a peaceful revolution of minds, hearts, and souls.
 
Nilichoelewa hapa Ni bkessings for those who obey the order and punishment for those who rebel
#Ruksa kunisahihisha
Neno kuumba maana yake ni kutengeneza..
Dhambi haikuumbwa wala kutengenezwa..
Baraka haikuumbwa wala kutengenezwa..
Kuna kitu kinaitwa condition au state..
Ni tofauti na kitu kilicho umbwa mungu anasema kuumba hizo Duality..
NA hizo duality ndo state of been..
Au condition of been..
Nimeaoma passage hii nilichokiongelea kuwa DVD alikengeuka na kujifanyia alichokiona sawa machoni pake
1 Mambo ya Nyakati 21:6-8.
soma tena hiyo Ni amri ilitoka kufanya sensa na alipomaliza alipeleka hesabu pia..

Nilichoelewa hapa roho ( neno ) ambayo ni laana iliyoachiliwa juu yake ndiyo iliyokuwa ikimtesa Huku DVD akibarikiwa na kutengwa ( Annointed )

Ruksa kunipa darasa
Hapana soma tena Laana ni tofauti na Roho mbaya..
 
Back
Top Bottom