The “elite” world requires our children to learn from conformity and thinking from within the box. They don't want our children to think out of the box.Wengi kuhusu dini hii kutokea ktk umri wa kuamriwa na wazazi ndio hujiunga huko iwe kwa kuamini baba au Mama yupo sahihi sidhani kama ni vitisho vinaweweka huko.
Schools are no longer what they used to be and children are learning to memorize without thinking and obeying without question.Kama ni hv
Je Kuna ukweli wowote waweza kuupata kupitia maandishi ?
Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani, Je wewe una Amini Hilo ?
Is the world being controlled and ruled by invisible hands?Nilivichukua Zaman kipindi Website yetu ya Pdf Drive haijakufa baadhi ninavyo ila vingine nilinunua na vipo kwenye Kindle huwa nasoma
Hivi vitabu naweza kupata bure au vya kulipia? Kiingereza changu cha kuungaunga lakini nitajikaza kwerikwrri nisome na kuelewa hata kwa kurudia sentensi mara 10 mpaka nielewe
I think some sorts of heritage organisationIs the world being controlled and ruled by invisible hands?
....who rule over the world with an iron hand in the velvet glove technique?.I think some sorts of heritage organisation
Hii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..Home - BooksFree
Booksfree provides free pdf books. Download pdf books without user registration, easy one-click download, unlimited download without any redirect.www.booksfree.org
Free only internet connection needed
Mkuu nahamu Sana kuijua hii elimu maana kuna vitu huwa navionaga nakuwa kama tayari nilishaviona uku nyuma, kwa mfano linaweza tokea tukio au naona kuna tukio litatokea na ninajua litakavyoaanza mpaka kuisha kwake, mara nyingine nakuwa naongea kitu alafu kinatokeaMKuu hizi Agnosticism na ignosticism nilijifunza sana na vitabu ninavyo si chini ya 15 na ndo ilinipelekaga kujifunza kuhusu ANUNAKI na pia kuhusu Atheist...
hIi kwa mtu ambaye hayuko tayari kuupokea Ukweli asije akajaribu kugusa kusoma hizo vitu wengi wanachanganyikiwa..
Yeah mkuuu thats "wielding power.."....who rule over the world with an iron hand in the velvet glove technique?.
Alternative ni hio nimeweka link mkuu, yes pdf drive was big library Ila zipo nyingine ingawa hazifikii Ila zina materials nyingi ukiingia hata internet archiveHii haiwezi kufikia Pdfdrive aisee ilikuwa poa sana hakuna kitabu utakosa pale..
Hii inabaki kuwa The Former big library books sahzi unaweza kuviona ila huwezi kuvichukua..
PDF Drive - Search and download PDF files for free.
PDF Drive is your search engine for PDF files. As of today we have 75,036,752 eBooks for you to download for free. No annoying ads, no download limits, enjoy it and don't forget to bookmark and share the love!www.pdfdrive.com
Unasali Sehemu gani mkuu!Mkuu nahamu Sana kuijua hii elimu maana kuna vitu huwa navionaga nakuwa kama tayari nilishaviona uku nyuma, kwa mfano linaweza tokea tukio au naona kuna tukio litatokea na ninajua litakavyoaanza mpaka kuisha kwake, mara nyingine nakuwa naongea kitu alafu kinatokea
Unasali Sehemu gani mkuu!
Nenda kamsome Nero the Younger Rome Emperor na Mama yake Agrippina kwanza then you will be enlightened, then soma the rise of ChristianityMimi ni Roman Catholics mkuu
Ok sawa ila ukianza kusoma hivi vitu you will be no longer Roman catholic I promice 😆😆..Mimi ni Roman Catholics mkuu
uoga wako tu mkuu Sometimes the universe try to teach us some lessonKuna coisedence zingine za ajab sana. Nyumban kwangu napokwenda au kurud toka mihangaikon kuna umbali flan huwa napenda kutembea baada ya kushuka gari kituoni kama nimepanda dala dala
Sasa kuna siku moja ikatokea nikiwa natembea nikapokea simu toka kwa mshkaji wangu Elly, nikwa naongea ghafla nyoka akapita mbele yangu.
Sku nyingine tena nikiwa natembea njia hiyo, nikawa naongea na huyo huyo mshkaji Elly, ghafla tena mbele akapita nyoka.
Siku nyingine tena ikawa hivyo.
(Huyu ni mtu tuna uhusiano wa kikaz so ni obvious kuongea nae mara kwa mara).
Baada ya tukio la mara ya 3 kujirudia, nikaapa sitakaa kumoigia wala kupokea simu ya mshkaji nikiwa natembea maeneo hayo. Ikawa ndio sheria. Nitaongea nae nikiwa popote pemfine ila sio kwwnye hako ka njia. 😂😂
Mpe vitabu usimnyime Ila awe tayari kujinyima usingizi asome aelewe,Ok sawa ila ukianza kusoma hivi vitu you will be no longer Roman catholic I promice 😆😆..
Ntaanza kukuPM vitabu
....so-called Satanic Bloodlines? Wewe una amini vipi? Hakuna shetani?Nimeona kwenye pyramids ktk level za juu yupo shetani
NImemuwekea kwanza vya kuhusu how they Change the bible and Religion baadae ataapata vingine..Mpe vitabu usimnyime Ila awe tayari kujinyima usingizi asome aelewe,
Asome kwa kutulia alafu akirudi arudi akiwa ameshiba vizuri hayo maandishi,NImemuwekea kwanza vya kuhusu how they Change the bible and Religion baadae ataapata vingine..
Kuhusu history and other stuff..
Anatakiwa aanze kutambaa kwanza kabla ya kuanza kukimbia