Lakini hilo halizidi lile la mwanasiasa fulani anayetamani kuwa Raisi wa nchi hii ila ana makazi ulaya na familia yake ina uraia wa marekani. Inashusha heshima sana kaa nchi maana wazungu wanajiuliza, 'so this idiot is a president in the making?!!!'Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .
Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .
Iko siku mambo haya yataleta machafuko .
View attachment 2804899View attachment 2804900