Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .

Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .

Iko siku mambo haya yataleta machafuko .

View attachment 2804899View attachment 2804900
kwanza we kenge ujue nchi yetu inaheshimika sana we na familia yako ndiyo mnaodharauliwa. Na kwa upumbavu wako km huu utaendelea kudharauliwa. Shenz wahid.
 
Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .

Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .

Iko siku mambo haya yataleta machafuko .

View attachment 2804899View attachment 2804900
Inavyoonesha watu mmekuwa wabishi kwenda kwenye 'mikutano' Kwa hiyari sasa mnafuatwa huko huko unakokupenda. Nchi tamu sana hii[emoji3]
 
Samia endelea kukaza hapohapo usiachie sindano..dawa inaingia taratiiibu chapasana kristapen...

Yaani post hii imenichekesha sana ahahahahhaha watu Wana hasira kama Mayahudi ya galilaya!
 
Haya mambo ndio yalinifanya niache kuwa mshabiki wa hizi timu. Na CCM ilishajua ujinga wa watanzania ikaingia kati.Na kiukweli huwezi kutenganisha hizi timu na CCM , YANGA ni CCM na Simba ni CCM huo ndio ukweli ndio maana wengine tuliona si lazima kushabikia hizi timu,kuna timu nyingi duniani za kushabikia ambazo kwao siasa na michezo haviingiliani
 
Back
Top Bottom