Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Usichanganye mpira na siasa. Hata Sheria za FIFA hazitaki. Naamini TFF watatolea tamko hii ya mabango ya kisiasa
Acha ukichaa wewe, kwani TFF ndio imepeleka mabango? Hujuwi ni mapenzi na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wao kipenzi mama samia? Kama umeumia kunywa sumu au pasukaaa au beba ya Mbowe uende nayo uone utakavyozomewa.
 
Hii haikubaliki, ipo siku tutaona mabango ya wasiasa yamejaa uwanjani. TFF watolee maelekezo.

Ipo siku tutaona picha ya zito na maneno anapigania uzalendo

Tundu lisu mpigania haki

Mbowe sijui baba wa demokrasia katika mpira

Makanda kivutio cha mashabiki uwanjani

Kinana mzee wa michezo
 
Usichanganye mpira na siasa. Hata Sheria za FIFA hazitaki. Naamini TFF watatolea tamko hii ya mabango ya kisiasa
Acha ukichaa wewe ,kwani TFF ndio imepeleka mabango? Hujuwi ni mapenzi na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wao kipenzi mama samia? Kama umeumia kunywa sumu au pasukaaa au beba ya Mbowe uende nayo uone utakavyozomewa.
 
Kwa hiyo wewe mtu anayekuwa na wazo tofauti na wewe ni mfuasi wa Mh. Mbowe? Basi ungeendelea kuweka na namba ya simu baada ya majibu yako haya... Au umesahau kaka?
 
Kwa huu ujinga binafsi sitakaa niende uwanjani tena na sitalipia kadi ya uanachama

Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
 
Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .

Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .

Iko siku mambo haya yataleta machafuko .

View attachment 2804899View attachment 2804900
Ncji hii wamejaa wajinga waliopitiliza. Hata chawa mwenye akili hawezi kufanya uwendawazimu kama huo. Unapokuwa na wajinga wa namna hii, usitegemee nchi kufanikiwa katika lolote.

Sasa mabango ya Rais, uwanjani yanahusiana vipi na soka? Kwa upunguani wao, wanagombania haki ya kumiliki picha ya Rais!!

Rais akienda uwanjani, hasa timu ya Tanzania inapocheza na timu ya nje, anafanya hivyo kwa sababu ya utaifa, lakini punguani wanaona Rais amekuwa shabiki wa hiyo timu inayocheza siku hiyo.
 
Pambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
Punguani mwingine huyu hapa. Huenda huyu ndiye huyo aliyeshika hilo bango.

Watu wanahoji mantiki ya kitendo kilicho kinyume cha maadili ya soka, yeye anakuja na mambo yasiyoendana na hoja iliyopo.
 
Halafu huu ubwege haukuwepo zamani
Siku za huko nyuma, nchi haikuwa na punguani wa kufikia viwango vya juu kama akina Mwashambwa. Ndiyo maana hakukuwa na huo upunguani. Matendo ya kipunguani huwa mengi pale unapokuwa na punguani wengi.
 
Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .

Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .

Iko siku mambo haya yataleta machafuko .

View attachment 2804899View attachment 2804900
Imefikia wakati unampangia mtanzania mwenzako cha kufanya wakati havunji Sheria huku ni kuingilia uhuru wa mtu, wewe kama hauwezi kubeba bango ni akili zako Mimi nitaanza kwenda Kwa mkapa na picha ya mama Samia namkubali sana mama. Wewe mwenye akili umewazidi Nini hao walio beba mabango?
 
Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
Bila shaka hukuiangalia mechi ya leo. Hata camera mara kadhaa zilikuwa zinaonesha hayo mabango. Hayo mabango yalikuwepo leo uwanjani.
 
Hii haikubaliki, ipo siku tutaona mabango ya wasiasa yamejaa uwanjani. TFF watolee maelekezo.

Ipo siku tutaona picha ya zito na maneno anapigania uzalendo

Tundu lisu mpigania haki

Mbowe sijui baba wa demokrasia katika mpira

Makanda kivutio cha mashabiki uwanjani

Kinana mzee wa michezo
Jitoe ufahamu ubebe bango la mbowe tutakufurusha ukatafute kowanja chako cha kuonyesha bango ilo
 
Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
Umelogwa sana !
 
Imefikia wakati unampangia mtanzania mwenzako cha kufanya wakati havunji Sheria huku ni kuingilia uhuru wa mtu,wewe kama hauwezi kubeba bango ni akili zako Mimi nitaanza kwenda Kwa mkapa na picha ya mama Samia namkubali sana mama .Wewe mwenye akili umewazidi Nini hao walio beba mabango?
Pamoja na dhiki zote ulizonazo !
 
Punguani mwingine huyu hapa. Huenda huyu ndiye huyo aliyeshika hilo bango.

Watu wanahoji mantiki ya kitendo kilicho kinyume cha maadili ya soka, yeye anakuja na mambo yasiyoendana na hoja iliyopo.
Hoja yangu ungewaachia wenye akili Timamu na uwezo mkubwa wa kiakili ndio wajadili.wewe subiri hoja za wenye akili ndogo na kisoda kama wewe ndio saizi yako na ndiko unastahili kukurupukia kujibu. Ni ngumu mtoto wa chekechea kujibu mtihani wa darasa la saba.
 
Back
Top Bottom