Mkuu unatakiwa kuwa realistic na kuacha kuendekeza uchama sana...wewe kwa maono yako unaona waobeba mabango ya wanasiasa kwenye mpira wanafanya jambo lenye afya katika mwendelezo wa mpira?Pambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
Au chukulia jezi mojawapo ya mchezaji akakiandika kuwa Mbowe wewe jembe au Rais Samia wewe Jembe then wakawa wanakabana uwanjani.
Maana ya neno football is the fear game ni nini sasa.