Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Lakini hilo halizidi lile la mwanasiasa fulani anayetamani kuwa Raisi wa nchi hii ila ana makazi ulaya na familia yake ina uraia wa marekani. Inashusha heshima sana kaa nchi maana wazungu wanajiuliza, 'so this idiot is a president in the making?!!!'
 
Nje ya mada
 
Kwa hili nakuunga Mkono kwa 100%.
Nchi hii inao unafiki uliopitiliza mpaka nafikiria tungekuwa ndio tunatandikwa kama Palestina!
 

Idiot ni wewe. Kwani watoto kuzaliwa marekani shida ipo wapi?. Punguza unafiki na chuki.
 

Na siku ikifika huko mpira utakosa maana. Zamani haya hayakuwepo, ila chawa Kama wewe ndio mmeyaleta kwa kuendeleza njaa.
 
Pambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
Usichanganye mpira na siasa. Hata Sheria za FIFA hazitaki. Naamini TFF watatolea tamko hii ya mabango ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…