Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Acha ukichaa wewe, kwani TFF ndio imepeleka mabango? Hujuwi ni mapenzi na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wao kipenzi mama samia? Kama umeumia kunywa sumu au pasukaaa au beba ya Mbowe uende nayo uone utakavyozomewa.Usichanganye mpira na siasa. Hata Sheria za FIFA hazitaki. Naamini TFF watatolea tamko hii ya mabango ya kisiasa
Sina chuki hata kidogo mkuu, naelezsa uhalisia tu.Idiot ni wewe. Kwani watoto kuzaliwa marekani shida ipo wapi?. Punguza unafiki na chuki.
Acha ukichaa wewe ,kwani TFF ndio imepeleka mabango? Hujuwi ni mapenzi na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wao kipenzi mama samia? Kama umeumia kunywa sumu au pasukaaa au beba ya Mbowe uende nayo uone utakavyozomewa.Usichanganye mpira na siasa. Hata Sheria za FIFA hazitaki. Naamini TFF watatolea tamko hii ya mabango ya kisiasa
Kwa hiyo wewe mtu anayekuwa na wazo tofauti na wewe ni mfuasi wa Mh. Mbowe? Basi ungeendelea kuweka na namba ya simu baada ya majibu yako haya... Au umesahau kaka?Acha ukichaa wewe ,kwani TFF ndio imepeleka mabango? Hujuwi ni mapenzi na upendo mkubwa walionao watanzania kwa Rais wao kipenzi mama samia? Kama umeumia kunywa sumu au pasukaaa au beba ya Mbowe uende nayo uone utakavyozomewa.
Kwa huu ujinga binafsi sitakaa niende uwanjani tena na sitalipia kadi ya uanachama
Ncji hii wamejaa wajinga waliopitiliza. Hata chawa mwenye akili hawezi kufanya uwendawazimu kama huo. Unapokuwa na wajinga wa namna hii, usitegemee nchi kufanikiwa katika lolote.Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .
Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .
Iko siku mambo haya yataleta machafuko .
View attachment 2804899View attachment 2804900
Punguani mwingine huyu hapa. Huenda huyu ndiye huyo aliyeshika hilo bango.Pambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
ππππ
Siku za huko nyuma, nchi haikuwa na punguani wa kufikia viwango vya juu kama akina Mwashambwa. Ndiyo maana hakukuwa na huo upunguani. Matendo ya kipunguani huwa mengi pale unapokuwa na punguani wengi.Halafu huu ubwege haukuwepo zamani
Imefikia wakati unampangia mtanzania mwenzako cha kufanya wakati havunji Sheria huku ni kuingilia uhuru wa mtu, wewe kama hauwezi kubeba bango ni akili zako Mimi nitaanza kwenda Kwa mkapa na picha ya mama Samia namkubali sana mama. Wewe mwenye akili umewazidi Nini hao walio beba mabango?Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball , ni sawa na kumkejeli .
Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia , UWT , UVCCM , LUMUMBA , CHIMWAGA na KIZIMKAZI , hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm .
Iko siku mambo haya yataleta machafuko .
View attachment 2804899View attachment 2804900
Bila shaka hukuiangalia mechi ya leo. Hata camera mara kadhaa zilikuwa zinaonesha hayo mabango. Hayo mabango yalikuwepo leo uwanjani.Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
Jitoe ufahamu ubebe bango la mbowe tutakufurusha ukatafute kowanja chako cha kuonyesha bango iloHii haikubaliki, ipo siku tutaona mabango ya wasiasa yamejaa uwanjani. TFF watolee maelekezo.
Ipo siku tutaona picha ya zito na maneno anapigania uzalendo
Tundu lisu mpigania haki
Mbowe sijui baba wa demokrasia katika mpira
Makanda kivutio cha mashabiki uwanjani
Kinana mzee wa michezo
Umelogwa sana !Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
Pamoja na dhiki zote ulizonazo !Imefikia wakati unampangia mtanzania mwenzako cha kufanya wakati havunji Sheria huku ni kuingilia uhuru wa mtu,wewe kama hauwezi kubeba bango ni akili zako Mimi nitaanza kwenda Kwa mkapa na picha ya mama Samia namkubali sana mama .Wewe mwenye akili umewazidi Nini hao walio beba mabango?
Siwezi kuwa na dhiki nimezaliwa kwenye mfumo ,acha wivu na wewe na wewe beba la DJ Mbowe ππππPamoja na dhiki zote ulizonazo !
Hoja yangu ungewaachia wenye akili Timamu na uwezo mkubwa wa kiakili ndio wajadili.wewe subiri hoja za wenye akili ndogo na kisoda kama wewe ndio saizi yako na ndiko unastahili kukurupukia kujibu. Ni ngumu mtoto wa chekechea kujibu mtihani wa darasa la saba.Punguani mwingine huyu hapa. Huenda huyu ndiye huyo aliyeshika hilo bango.
Watu wanahoji mantiki ya kitendo kilicho kinyume cha maadili ya soka, yeye anakuja na mambo yasiyoendana na hoja iliyopo.

Wewe utakuwa shogerPambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
OhooooWewe utakuwa shoger