Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Pambaneni na hali yenu na lichama lenu lililokosa mvuto mpaka watu kwa sasa wanaona aibu kuvaa magwanda yenu ya CHADEMA maana wanaona ni nukusi tu.
Mkuu unatakiwa kuwa realistic na kuacha kuendekeza uchama sana...wewe kwa maono yako unaona waobeba mabango ya wanasiasa kwenye mpira wanafanya jambo lenye afya katika mwendelezo wa mpira?
Au chukulia jezi mojawapo ya mchezaji akakiandika kuwa Mbowe wewe jembe au Rais Samia wewe Jembe then wakawa wanakabana uwanjani.
Maana ya neno football is the fear game ni nini sasa.
 
Katika hili usitumie nguvu kubwa wala jazba


Hao waliobeba mabango ni machawa na wametumwa kuja kufanya hivyo, wengine wamekuja kwa lengo hilo tu na sio mpira

Wengine ni wanasoka kweli ila nao machawa
 
Ujinga mtupu!
 
Pale kwenye mageti sidhani kama ukitinga nguo za upinzani na mabango utaruhusiwa kuingia uwanjani!!
 
Hata magori matano ya Yanga kwa simba Tunamshukuru Rais Samia kwa kuwezesha😆😆
 
Watu wameamua kumsifia Rais wao waachwe wafanye hivyo kwasababu hakuna sheria waliyovunja. Ninawapongeza sana hao mashabiki wa soka kuelewa anachokifanya Rais kwa maendeleo ya soka.
 
99.9999999999999999999999999999999999999999% ya watanzania ni takataka
Unasema hivyo, ukiwa na maana tutaendelea kuwa ndani ya takataka milele!

Maana namba hiyo hata ufanye nini huwezi kubadili chochote hapo.
 
Hayo mazingira waliyopo wabeba mabango unaona yana fanana na kwa mkapa ???
Pamoja na kwamba siungi mkono ila Inaonekana hayo mabango yalioneshwa nyakati tofauti tofauti Raisi alipokutana na washabiki wa timu hizo
Ni ujinga haswa kufanya hivyo
 
Idiot is you father man!
 
Na nyie bebeni mabango ya Mbowe au Lissu
 
CHADEMA wanaruhusiwa kubeba mabango ya Lissu au Mbowe uwanja wa taifa wakati wa mechi?
 
Upendo haulazimishwi wala hauhitaji promo
 
Kama hajawaelewa(hajakubaliana) na hoja za wachangiaji huko juu hata wewe hawezi kukuelewa(kukubaliana) na hoja yako. Huyu ana jambo lake!
 
we tunakujua ulivyo mpumbavu na utakufa ukiwa hivyo.
 
Watu wameamua kumsifia Rais wao waachwe wafanye hivyo kwasababu hakuna sheria waliyovunja. Ninawapongeza sana hao mashabiki wa soka kuelewa anachokifanya Rais kwa maendeleo ya soka.
Hata hivyo mbona wameachwa,wakaingia na hayo mabango uwanjani?. Upendo haulazimishwi wala hauhitaji promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…