KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
- Thread starter
-
- #81
InsanityCDM will never recover to it's former glory, kama huamini u'r very delusional, hivi ndugu yako akiaga dunia (death) hautaamini na kuendelea kutunza mwili nyumbani hoping for recovery I.e ressurection??
Wewe unaugua ubongo wa minyoo kwenye kichwa cha kuku?CDM will never recover to it's former glory, kama huamini u'r very delusional, hivi ndugu yako akiaga dunia (death) hautaamini na kuendelea kutunza mwili nyumbani hoping for recovery I.e ressurection??
Mbona mnakuwa huru na kufanya fujo/violence, mnataka uhuru gani?Unajiuliza kwani uchaguzi ukiwa huru wao wanapata hasara gani nje ya ubinafsi wa madaraka?
Haki Haki HakiMbona mnakuwa huru na kufanya fujo/violence, mnataka uhuru gani?
Kama CHADEMA wasingekuwa GLORIOUS Sisi CCM tusingepambana usiku na Mchana kuwadidimiza na tungekubali TUME HURU KWELIKWELI.Wewe unaugua ubongo wa minyoo kwenye kichwa cha kuku?
I understand ukweli unauma sana, holistic counselling will make u understand and attain progressive mental stability and be useful to your communityWewe unaugua ubongo wa minyoo kwenye kichwa cha kuku?
Ni CDM tu ndyo inanyimwa haki sectvely? hiyo ni gross anomaly, tayari mko weak kwa mipasuko yenu, G55 kunani??Haki Haki Haki
Unaelewa hilo neno linamaana gani wewe nyonya damu?
nakemea roho ya kuvaa bullet proof kuelekea chadema HQ,Kuwa na akili ni pamoja na kufahamu, unachokishabikia kinamchango upi kwenye maisha yako
Unashabikia CCM ambapo inauwezo wa kumteka hata ndugu yako wa damu kisa kaenda kupugia kura chama kingine?
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Hio minyoo inakusumbua kwenye ubongo sio bureI understand ukweli unauma sana, holistic counselling will make u understand and attain progressive mental stability and be useful to your community
Not true at all, nikianza kuandika lugha ya Malkia hapa utakaa chonjoNi CDM tu iko na deficiency ya haki? hiyo ni gross anomaly
Wezi wa kura unafikiri wanataka iwe hivyo?, CCM Wezi wa kura Shahidi Steven WasiraUnajiuliza kwani uchaguzi ukiwa huru wao wanapata hasara gani nje ya ubinafsi wa madaraka?
Naona mavi yamekubana.... Where Lissu has been predicted as a winner!??? Au ndo kukurupukia post za watu....Nabii koko wewe katika ukoko wako
Manabii wote wanaootabiri kuhusu Lisu kushinda jiandaeni waumini wenu kuwakimbia makanisa yenu kwa jina la Yesu baada ya uchaguzi wa October na Samia kuapishwa
Hakuna atakayeendelea kuwaamini tena mtaachiwa majengo yenu msali na ngedere
Sababu mtathibitika ni.manabii wa uongo bila chenga
Natoa huu unabii hata bila kunena kwa lugha kabla ya kuutoa .mikanisa yenu inaenda kufa baada ya uchaguzi mkuu
Waulize vyama vyote vilivyo kubali kuingia uchaguzi, yaani nyie ni "Odd man out' ??Not true at all, nikianza kuandika lugha ya Malkia hapa utakaa chonjo
Nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki?
..hama inchi basi, hapa utaendelea kuteseka na staus quoWezi wa kura unafikiri wanataka iwe hivyo?, CCM Wezi wa kura Shahidi Steven Wasira
Haipo hio wewe hujuiWaulize vyama vyote vilivyo kubali kuingia uchaguzi, yaani nyie ni "Odd man out' ??
Sio staus quo huo ndio ukweli hata wewe unaujua..hama inchi basi, hapa utaendelea kuteseka na staus quo