ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Naona una wenge la usingiziYap hayo kwa sababu kuna matatu apo ni jukumu langu kukufanya uya experience [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
5 na 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona una wenge la usingiziYap hayo kwa sababu kuna matatu apo ni jukumu langu kukufanya uya experience [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sijalala bado[emoji16]Naona una wenge la usingizi
5 na 7
Majibu ya ukimwi yakitoka neg , unajiapitiza hutoiloweka tena [emoji28][emoji28] .Naona una wenge la usingizi
5 na 7
Ukiingia kwenye Jeneza kwa mara ya kwanza na ukifa kweli kwa mara ya kwanza, furaha yake sio ya Dunia hiiKama ipo nyingine ongezea...
Aisee!😂 Mungu atupe mwisho mwema tu.Majibu ya ukimwi yakitoka neg , unajiapitiza hutoiloweka tena [emoji28][emoji28] .
Mwisho ni mwisho tu haijalishi umekuja vp😂Aisee!😂 Mungu atupe mwisho mwema tu.
Kuna mwisho wa mateso magonjwa, ajaliMwisho ni mwisho tu haijalishi umekuja vp😂
Umeongea vitu adimu sana mkuu , mafanikio ya kweli ni kufa tu , tunaishi ili tufe[emoji4]Ukiingia kwenye Jeneza kwa mara ya kwanza na ukifa kweli kwa mara ya kwanza, furaha yake sio ya Dunia hii
SureKuna mwisho wa mateso magonjwa, ajali
Kila siku tunakufa Ila kuna siku unakufa kweli sasa pale watu wanalia kumbe wewe upande wa pili full shangwe maana vuupu upo New York vuupu Washington DC,Umeongea vitu adimu sana mkuu , mafanikio ya kweli ni kufa tu , tunaishi ili tufe[emoji4]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila siku tunakufa Ila kuna siku unakufa kweli sasa pale watu wanalia kumbe wewe upande wa pili full shangwe maana vuupu upo New York vuupu Washington DC,
Kabisa tunasema mshahara unafunga na rubble bundi😄Kupata kazi inayolipa 7 to 8 figures ndio kitu cha kuweza kunifurahisha kwa sasa.
Kupata kazi inayolipa 7 to 8 figures ndio kitu cha kuweza kunifurahisha kwa sasa.
Yah ina feel nzrKupata kazi inayolipa 7 to 8 figures ndio kitu cha kuweza kunifurahisha kwa sasa.
Of courseNamba 7 tamu sana asikuambie mtu.
Nyingine ongeza, mwanao kukuambia anakupenda.