Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

Ukiingia kwenye Jeneza kwa mara ya kwanza na ukifa kweli kwa mara ya kwanza, furaha yake sio ya Dunia hii
Umeongea vitu adimu sana mkuu , mafanikio ya kweli ni kufa tu , tunaishi ili tufe[emoji4]
 
Umeongea vitu adimu sana mkuu , mafanikio ya kweli ni kufa tu , tunaishi ili tufe[emoji4]
Kila siku tunakufa Ila kuna siku unakufa kweli sasa pale watu wanalia kumbe wewe upande wa pili full shangwe maana vuupu upo New York vuupu Washington DC,
 
Kufa ni furaha iliyoje ndio maana baadhi ya tamaduni ukifa wanakufanyia sherehe DJ anazungusha watu mduara kusherehekea kufa kwako km watu ukizaliwa wanafanya sherehe kwanini ukifa wasifanye sherehe? Kifo ni sherehe ndio maana ukifa kunapikwa pilau na minyamanyama ya kutosha
 
Back
Top Bottom